Toka umepitishwa kuwa Spika umefanya mambo mengi unconstitutional likiwemo hili la kuendelea kuweka wabunge 19 wasio wanachama wa vyama vya siasa kibabe.
Hili ni bunge la nchi moja tu tena yenye...
#MauaYaSamia
Mawakili wasomi wanaokutana Arusha mwaka huu 2023 wamekunwa na sera nzuri na tamu za SSH. Mawakili hao wamesema Sasa wanafanya kazi kwa Uhuru mkubwa na utawala wa sheria umetamalaki...
Kwenye bandiko hili pale litakapotumika neno Jaji au Majaji ndiyo itajumuisha pia na mahakimu toka mahakama za mwanzo mpaka Mkoa.
Sisi kama Taifa tumerithi mfumo wa kale na maarufu zaidi wa kuwa...
"Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Ndugu Bernard Membe. Kwa zaidi ya miaka 40, Ndugu Membe alikuwa mtumishi mahiri wa umma, mwanadiplomasia, Mbunge na Waziri aliyeitumikia nchi yetu kwa...
Kikwete kama binadamu wengine anayo mapungufu lakini ukipima mapungufu yake na kulinganisha na wengine unaona Kikwete alikuwa Rais bora na wa mfano kuliko wote. Hapa sijamuweka huyu aliyepo sasa...
Hii ndio kauli iliyotolewa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) kwa watu wote Duniani , kama ilivyosemwa na Mkurugenzi wa Itifaki wa Chama hicho , John Mrema .
Mrema amesema kwamba...
Sitetei chochote kuhusu yaliyojiri kumhusu mh Membe yakimhusisha mmiliki wa magazeti ya Tanzanite kumdhalilisha mh Membe kwa kumchafua, na sipangani na sheria yoyote ya nchi iliyotumika, ila...
Mara kadhaa Viongozi Wetu wamekuwa wakituomba tuwaombee na tuliombee Taifa, Binafsi sikutilia sana maanani Swala hili.
Lakini jana kupitia al jazeera/ BBC nimemuona Rais Ruto akifanya toba kwenye...
Huyu jamaa anaenda kuua kilimo kama hatodhibitiwa, hana future hata chembe na wakulima, huko jimbon kwake tu mpaka sasa wakulima wake tunalia! Mbolea uchwara kila siku na hazifiki Kwa wakati ama...
Ndio unakuta walikuwepo akina Shehe Yahya, Askofu Kulola, Kardinali Rugambwa, Askofu Sepetu nk
Viongozi hawa walikuwa na jukumu la kuwafanya Viongozi wa kisiasa kutokuwa mfano wa kutenda dhambi...
Ndugu walitaka apelekwe China, Mkapa akagoma
Profesa Mwakyusa alimtelekeza, Gachuma akajitosa
Mazingira ya kutia mashaka yaelezwa, hali inatisha
Na Waandishi Wetu, Musoma
Baada ya Mbunge wa...
Uendeshaji wa kesi ya kunajisi Bunge Tukufu la wananchi ya kuingia wabunge 19 ulipaswa kuwa katika rada zako na kuhakikisha hauwezi kuendeshwa kama kesi ya talaka.
Kama Jaji Mkuu unafahamu uzito...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mwekezaji na Mfanyabiashara wa Kimataifa ambaye pia ni Rais wa Jimbo hilo leo ameanza Rasmi...
Hizo ndio taarifa zinazoenea kwamba Ofisi ndogo ya Bunge imegoma kufungua mlango kupokea Barua ya Spika Tulia Kutoka Bawacha.
Kufuatia hali hiyo Katibu mkuu wa Bawacha CPA Ruge aliibandika Barua...
Spika wa Bunge la JMT Dr Tulia amesema atagombea nafasi ya Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU)
Hii ni Nafasi ya Juu kabisa katika mihimili ya Mabunge Duniani kote
Source: Ayo tv
Ukweli ni kwamba Rais Samia anaupenda u Rais na hayupo tayari kabisa kuuachia na kwa gharama yeyote inaonekana yu-radhi kuupambania kwa namna yeyote ile.
Samia hataki kabisa kuona yeyote yule...
Watanzania wamesha advance mno kwa siasa kama anazozifanya Tundu lissu, wanashangaa lakini wengi wanamkebei na kuona huyu jamaa anajaribu kutengeneza attention kwa UMMA kizamani kabisa kwa watu...
Hii ndio Taarifa waliyoisambaza kwa vyombo vya habari.
Ikumbukwe kwamba hata uchunguzi wa jambo hili haujakamilika lakini wao tayari wamehitimisha.
Aibu kubwa sana!
Pia, soma: Polisi yatoa...
Mambo aliyoyafanya Membe pale Act wazarendo Kila mtu anajua alivyotulaghai watanzania ingawa alipata kula nyingi kutoka kwa majasusi wenzake.
Sasa Ili la kumdai cyripian musiba nalo likepotea...
Sema tu nao wameonyesha kumbe maandamano ya amani yanaruhusiwa.
Lakini sioni lolote litakalofanyika kama zao au majibu kwa akina mama hao kwani kama Mbowe anayeingia Ikulu mara kwa mara kashindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.