Bashe anaenda kuua kilimo !

Bashe anaenda kuua kilimo !

Chawa wa Zamani

Senior Member
Joined
Mar 12, 2023
Posts
146
Reaction score
224
Huyu jamaa anaenda kuua kilimo kama hatodhibitiwa, hana future hata chembe na wakulima, huko jimbon kwake tu mpaka sasa wakulima wake tunalia! Mbolea uchwara kila siku na hazifiki Kwa wakati ama kuchelewa kabisaa..

Mdee Kauliza Hoja za msingi Yeye anakwepa kwepa.

Bila Soni Kuna 'Makalikonji' hapa wanamtetea wakidhan hayawahusu hovyooo!

Ni aibu na Matusi yasio na kifani Kwa kila Mwenye Akili timamu kuendelea kuongozwa na Kiongoz huyo' wa 'kisomali'

Adhibitiwe kabla ajatia aibu zaidi huko mbeleni hafai! hafai! hafai! kuwepo hata Kwa dakika Moja Mbele.

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Mdude Nyagali anasema Bashe ni zao la malezi ya mafisadi. Kwa maana amelelewa, kufunzwa na kuingizwa siasani na Mafisadi wale wa zamani aka magamba matatu
 
Mdude Nyagali anasema Bashe ni zao la malezi ya mafisadi. Kwa maana amelelewa, kufunzwa na kuingizwa siasani na Mafisadi wale wa zamani aka magamba matatu
atoke!! atoke!! atoke!! huko Mbele tutashundwa kulima hata 'MaTEMBELE' Jamaa hopeless kabsaa..cjui ilikuwaje akapewa Uwazr!

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Mdude Nyagali anasema Bashe ni zao la malezi ya mafisadi. Kwa maana amelelewa, kufunzwa na kuingizwa siasani na Mafisadi wale wa zamani aka magamba matatu
Huyo Mdude Nyagali yuko sahihi kabisa. Haka ka Hussein Bashe ni kachawa ka muda mrefu ka Rostam Aziz! Kamwe hakawezi kuwa na uchungu wowote ule na Watanzania.
 
Acheni chuki za kifala dhidi ya Bashe ni lini sera ya kilimo ya nchi hii ikawa hai mpaka ije kuuliwa na Bashe?
Eweehhh!! 'Kalikonji' mwambien Ajiudhuru Basi kama n hvyo...Sio mnaishia kula nae mirungi tu hilo Li BBT lake la hovyo mbona wawekezaj zaji wakubwa wanamkimbia ... hakuna hata professor Yeyote kutoka SUA alishirikishwa katika hio plan.

inamaana usipoona Haya utayaona yap Mwambien Kwa sauti kubwa hata kama anawanunulia MIRUNGI ya kuwa hafai! hafai! hafai! hafai! atoke!! atoke!! atoke!!...

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Huenda kasimikwa hapo na watu wazito awafanyie mambo yao, nchi isharudi kwa matajiri hii.....r.i.p Magu.
 
eweehhh!! 'Kalikonji' mwambien Ajiudhuru Basi kama n hvyo...Sio mnaishia kula nae mirungi tu hilo Li BBT lake la hovyo mbona wawekezaj zaji wakubwa wanamkimbia...
Ww kama unategemea kulisha familia yako kwa kuwa chawa wa wana siasa kama jina la ID yako usidhani kila mtu yuko hivyo.

Tangu uhuru ndani ya nchi hii kulisha wahi kuwepo sera gani ya maana ya kilimo mpaka uanze kumshutumu Bashe kuwa ana iharibu?
 
Huenda kasimikwa hapo na watu wazito awafanyie mambo yao, nchi isharudi kwa matajiri hii.....r.i.p Magu.
Hata kipindi cha huyo jiwe wenu nchi ilikuwa kwa matajiri kwa sababu ndo walikuwa walipa kodi iliyo kuwa inaendesha serikali yake.
 
Hata kipindi cha huyo jiwe wenu nchi ilikuwa kwa matajiri kwa sababu ndo walikuwa walipa kodi iliyo kuwa inaendesha serikali yake.
Si na wenyewe wanafanya biashara na kupata faida, nchi hii kila mtu analipa kodi kupitia VAT, PAYE, tozo nk. nk.
 
Mkuu hapo ungechagua moja, mbolea uchwara au zinachelewa..... Mana kama mbolea ni uchwara zikichelewa unalalamika nini?
 
Ulioleta Hoja za 'usomali' Tu..
Hata kama ulikuwa na point watu wenye akili watakudharau sana
 
Back
Top Bottom