Spika Tulia kugombea Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani, nafasi ya Juu kabisa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,149
Spika wa Bunge la JMT Dr Tulia amesema atagombea nafasi ya Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU)

Hii ni Nafasi ya Juu kabisa katika mihimili ya Mabunge Duniani kote

Source: Ayo tv
 
Hakuna umuhimu wowote wa yeye kuupata huo uongozi.

Ameshindwa hapa Tz kuendesha bunge kwa matakwa ya wananchi "waliowachagua" wawakilishi wao, huko atawezaje kuiwakilisha nnchi!!??
 
Huyu Feminist wa CCM naombea akose tena aangukie pua kwenye huo uchaguzi.

Eeeeee Bwana

WanaJF wanajibu kwapamoja : Tunakuomba utusikie.
 
Kama Bunge tuu linamshonda kuheshimu katiba na sheria zake ndio ataweza huko?
Tunapeleka aibu tuu
 
Spika wa Bunge la JMT Dr Tulia amesema atagombea nafasi ya Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU)

Hii ni Nafasi ya Juu kabisa katika mihimili ya Mabunge Duniani kote

Source: Ayo tv
Huu ni ULIMWENGU wa wasomiiii. Safi saana tulia aksoni mwansasu. Gombea na hata usiposhinda lakini historia umeiandikaa. Lakini Kwa maombi yangu na ulivyo MSOMI na mwanasheria nguli, utashinda mamaa. Utashinda. Utashinda. YESU YUKO UPANDE WAKO. UTASHINDA TULIA AKSONI UTASHINDAAAAAAAAAAA.
 
Spika wa Bunge la JMT Dr Tulia amesema atagombea nafasi ya Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU)

Hii ni Nafasi ya Juu kabisa katika mihimili ya Mabunge Duniani kote

Source: Ayo tv
Hatoshi kuwa raisi wa umoja wa mabunge duniani, kama ameshindwa kushughulikia wabunge wa covid na report CAG anaitamia wakati pesa za wayonge zinatafunwa please msimuongezee kazi zingine huyu mama. Wanao taka aende huko hawampendi wanamtafutia red card.
Bado bungeni kwetu zinaingia bajeti za kubumba na zinazopelekea upotevu mkubwa wa pesa za serikali. Ukiangalia mpango wa wizara ya kilimo unaona kabisa huu ni mchongo umechomekwa ndani na haoni, atakuja kuona miaka 2 mbele baada ya CAG kutoa report.

Yapo mengi akiacha ukada yangempa umaarufu na dunia ikamjua zaidi kuliko kurundika vyeo visivyokuwa na tija kwa watanzania. Bunge letu bado linataka mtu mwenye maamuzi na mabadiliko makubwa sasa. Katiba tunayotumia ni ya kikoloni na inaviraka vingi mno.

Huyu mama hataki upinzani humu nchini wala ushindani sasa duniani kunataka usawa sawa wa kushindana katika siasa. Plse kuwa mwanamke si kigezo cha kugombea kila kilicho mbele yako tunataka tija.
 
Back
Top Bottom