Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi (Sugu) aanza ziara ya kikazi jimboni humo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,711
218,260
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mwekezaji na Mfanyabiashara wa Kimataifa ambaye pia ni Rais wa Jimbo hilo leo ameanza Rasmi ziara ya kikazi kwenye kata zote za Mbeya Mjini.

IMG_7154.jpeg

Kwa kuanzia leo ilikuwa Kata ya Nzovwe ambako Mkutano mkubwa sana wa hadhara umepigwa, huku ratiba ya Kesho ikionyesha kwamba atavurumisha mkutano mkubwa wa hadhara kwenye Kata ya Igawilo.

Usiondoke JF maana kuna makubwa sana yanakuja kutoka Mbeya .

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Kweli akili za wanachadema mnazijuwa wenyewe,kwa hiyo Saizi baada ya kupata kiinua mgongo Cha ubunge na kufungua hotel tayari ameshakuwa Billionea?
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini , Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Mwekezaji na Mfanyabiashara wa Kimataifa , ambaye pia ni Rais wa Jimbo hilo , leo ameanza Rasmi ziara ya kikazi kwenye kata zote za Mbeya Mjini.

Kwa kuanzia leo ilikuwa Kata ya Nzovwe , ambako Mkutano mkubwa sana wa hadhara umepigwa , huku ratiba ya Kesho ikionyesha kwamba atavurumisha mkutano mkubwa wa hadhara kwenye Kata ya Igawilo.

Usiondoke JF maana kuna makubwa sana yanakuja kutoka Mbeya .

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile aph

Haukuwa mkutano wa Kata Bali Kanda ya kusini inayojumiisha Kata ya iwambi,iyunga,kalobe,itende,Nzovwe,mabatini,mbalizi road,iyela,forest,sisimba nk,idadi ya watu ilikua ndogo kulinganisha na hadhi ya mkutano wenyewe,kesho wataka igawailo.
 
Kuna kanda huko Mbeya ?

Back
Top Bottom