Kikwete ndio Rais bora wa wakati wote toka mfumo wa vyama vingi uanzishwe

Lituye

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
1,862
5,679
Kikwete kama binadamu wengine anayo mapungufu lakini ukipima mapungufu yake na kulinganisha na wengine unaona Kikwete alikuwa Rais bora na wa mfano kuliko wote. Hapa sijamuweka huyu aliyepo sasa kwa kuwa muda wa kumpima bado.

Labda tukumbushane tuu machache yanayo kumbukwa wakati wa kikwete.
Kwa upande wa miundo mbinu Kikwete alijenga barabara nyingi na madaraja kuunganisha nchi mkoa na mkoa na alikuwa anaelekea kuunganisha wilaya.

Kwa upande wa uchumi ulikuwa imara na ukikua kwa kasi. Biashara za uhakika ndani na nje ya nchi zilikuwa na uwekezaji wa mitaji ya kigeni ilishamili.

Wakati wa kikwete ndio tulio shuhudia kuanzishwa kwa shule za sekondari za kata na kuongezeka kwa vyuo vikuu vingi kama Udom, na vingine vingi. Udahiri wa wanafunzi uliongezekawengi secondary na vyuo vikuu.

Demokrasia ilikuwa na kufurahisha. Ktk kipindi cha Kikwete uchaguzi ulikuwa na maana walau kwa wananchi. Wakati wa Kikwete tulishudia Chadema na CCM vikiingia ktk uchaguzi wa mbunge wa marudio kule Arumeru mashariki Rais Mstaafu B. Mkapa na vigogo kibao wa CCM wakiwemo mawaziri walipiga kambi kumnadi mgombea wa CCM. Lakini matokeo yaliyo tangazwa ni kuwa kijana Joshua Nasari wa CHADEMA aliibuka mshindi.

Kikwete aliona mapungufu mengi aliyo kumbana nayo yalitoka na mfumo mbovu wa Kikatiba. Akaanzisha mchakato wa Kupata katiba mpya na Jaji warioba akatuletea katiba pendekezwa ya wanachi.

Wenzake wakaogopa Katiba mpya na kuivuruga hapo huwezi mlaumu Kikwete alisha onesha njia.

Maendeleo hayana chamaa.
 
Virginia te

Demokrasia ilikuwa na kufurahisha. Ktk kipindi cha Kikwete uchaguzi ulikuwa na maana walau kwa wananchi.
Wakati wa Kikwete tulishudia Chadema na CCM vikiingia ktk uchaguzi wa mbunge wa marudio kule Arumeru mashariki Rais Mstaafu B. Mkapa na vigogo kibao wa CCM wakiwemo mawaziri walipiga kambi kumnadi mgombea wa CCM. Lakini matokeo yaliyo tangazwa ni kuwa kijana Joshua Nasari wa CHADEMA aliibuka mshindi.

Kikwete aliona mapungufu mengi aliyo kumbana nayo yalitoka na mfumo mbovu wa Kikatiba. Akaanzisha mchakato wa Kupata katiba mpya na Jaji warioba akatuletea katiba pendekezwa ya wanachi. Wenzake wakaogopa Katiba mpya na kuivuruga hapo huwezi mlaumu Kikwete alisha onesha njia.
Maendeleo hayana chamaa.
Virginia tena?!
 
Ndo kipindi ambacho tulishuhudia ufisadi wa Tegeta Escro, Richmond, Watumishi hewa, madawa ya kulevya, kutekwa kwa magari maporini, baa kufunguliwa saa moja asubuhi n.k

Kwenye upande wa siasa ni kipindi ambacho mtumbwi wa CCM ulitaka kuzama. Wamshukuru Magufuli kwa kutumia unable.
 
Mtaimba nyimbo za Kila aina.

Ila Watanzania huwambii chochote Kuhusu MAGUFULI

Magufuli kafanya mambo yasosahaulika ,kaacha alama, hamnaa Rais ( Ukimtoa Nyerere) , hamnaaaaa, ALOFANYA mazuri kama JPM, na huenda, Asipatikane Tena Rais Bora kama JPM.
Watanzania gani unao waeleza ndugu yangu? Ni wale waliotekwa kupotezwa na kuuawa au ninyi akina Sabaya na Makonda?
 
Ndo kipindi ambacho tulishuhudia ufisadi wa Tegeta Escro, Richmond, Watumishi hewa, madawa ya kulevya, kutekwa kwa magari maporini, baa kufunguliwa saa moja asubuhi n.k

Kwenye upande wa siasa ni kipindi ambacho mtumbwi wa CCM ulitaka kuzama. Wamshukuru Magufuli kwa kutumia unable.
Dar iligeuka uwanja wa vita.majambazi eiiiii
 
1-.jpeg
 
Kuna kipindi huyu mzee alitamani washirika wa maendeleo wampe ma T kadhaa ili aonyeshe maajabu mkwere wa watu
 
Kikwete kama binadamu wengine anayo mapungufu lakini ukipima mapungufu yake na kulinganisha na wengine unaona Kikwete alikuwa Rais bora na wa mfano kuliko wote. Hapa sijamuweka huyu aliyepo sasa kwa kuwa muda wa kumpima bado.

Labda tukumbushane tuu machache yanayo kumbukwa wakati wa kikwete.
Kwa upande wa miundo mbinu Kikwete alijenga barabara nyingi na madaraja kuunganisha nchi mkoa na mkoa na alikuwa anaelekea kuunganisha wilaya.

Kwa upande wa uchumi ulikuwa imara na ukikua kwa kasi. Biashara za uhakika ndani na nje ya nchi zilikuwa na uwekezaji wa mitaji ya kigeni ilishamili.

Wakati wa kikwete ndio tulio shuhudia kuanzishwa kwa shule za sekondari za kata na kuongezeka kwa vyuo vikuu vingi kama Udom, na vingine vingi. Udahiri wa wanafunzi uliongezekawengi secondary na vyuo vikuu.

Demokrasia ilikuwa na kufurahisha. Ktk kipindi cha Kikwete uchaguzi ulikuwa na maana walau kwa wananchi. Wakati wa Kikwete tulishudia Chadema na CCM vikiingia ktk uchaguzi wa mbunge wa marudio kule Arumeru mashariki Rais Mstaafu B. Mkapa na vigogo kibao wa CCM wakiwemo mawaziri walipiga kambi kumnadi mgombea wa CCM. Lakini matokeo yaliyo tangazwa ni kuwa kijana Joshua Nasari wa CHADEMA aliibuka mshindi.

Kikwete aliona mapungufu mengi aliyo kumbana nayo yalitoka na mfumo mbovu wa Kikatiba. Akaanzisha mchakato wa Kupata katiba mpya na Jaji warioba akatuletea katiba pendekezwa ya wanachi.

Wenzake wakaogopa Katiba mpya na kuivuruga hapo huwezi mlaumu Kikwete alisha onesha njia.

Maendeleo hayana chamaa.
Unasahau 2015 nusuru CCM iondoke madarakani kwa uongozi wake. JK alishindwa kuendesha Nchi na CCM. Ndugu yake Sa100 anaelekea huko kwa speed ya ajabu. Muda siyo mrefu CCM wataanza kuficha t-shirts zao.
 
Mtaimba nyimbo za Kila aina.

Ila Watanzania huwambii chochote Kuhusu MAGUFULI

Magufuli kafanya mambo yasosahaulika ,kaacha alama, hamnaa Rais ( Ukimtoa Nyerere) , hamnaaaaa, ALOFANYA mazuri kama JPM, na huenda, Asipatikane Tena Rais Bora kama JPM.
mfuate kuzimu huyo shetani wako sisi hatujaona alichofanya zaidi ya kupasua nchi vipande vipande, mbaguzi, kuua raia bila hatia, kunyanyanyasa watanzania, kutesa watanzania wengine wanateseka mpaka leo kwa kutokua na ajira. Mwamba Kikwete alikuwa anaajiri kila mwaka, maisha yalikuwa mazuri. Alijenga barabara nyingi sana na madaraja. Tuambie huyo kima wako alijenga barabara ipi mpya zaidi ya kuwa msimamizi wa barabara za Kikwete. Mwenyenzi Mungu ampe maisha marefu baba Kikwete maana bado anahitajika hata kwa mawazo mazuri kusaidia watanzania.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom