Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,622
- 287,355
Hii ndio kauli iliyotolewa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) kwa watu wote Duniani , kama ilivyosemwa na Mkurugenzi wa Itifaki wa Chama hicho , John Mrema .
Mrema amesema kwamba kwanza walitaka kupuuza uzushi huo , kwa sababu hauna maana wala ukweli wowote , lakini wanaona kwamba ili kuufunga mjadala huo wa kizushi kulikuwa na haja ya kutoa Ufafanuzi .
==========
Kwahiyo wale wavimba macho wanaokesha na kutunga uchawi kuhusu Chadema mnapaswa kutafuta kazi nyingine , maana hii imekwishabuma .
Mungu ibariki Chadema .
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app