Dkt. Mpango: Baadhi ya Mafisadi, Wala Rushwa na Wasioheshimu Taasisi ya Ndoa ni Waumini wa Dini ya Kikristo

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,119
Makamu wa Rais Dr Mpango amesema Baadhi ya Mafisadi, Wala Rushwa na Wasioheshimu Taasisi ya Ndoa ni Waumini wa Dini ya Kikristo.

Dr Mpango amewataka Viongozi wa Dini kutokaa kimya wakati Nchi inachezewa na wahuni. Aidha Dr Mpango amesema Mafisadi wote waliotajwa kwenye Ripoti ya CAG watakapothibitika Watachukuliwa hatua kali sana.

Dr Mpango alikuwa mgeni rasmi kwenye Ibada ya kumsimika Askofu wa KKKT Dayosisi ya Dodoma akimwakilisha Rais Samia aliyeko safarini.

Waziri wa Fedha Dr Mwigullu, Waziri mkuu mstaafu mh Pinda pia walihudhuria Ibada hiyo.

Dr Mpango ametoa hotuba bora Kabisa na amenikumbusha zile hotuba pendwa za Mwalimu Nyerere.

Source: Upendo Tv
 
Makamu wa Rais Dr Mpango amesema Baadhi ya Mafisadi, Wala Rushwa na Wasioheshimu Taasisi ya Ndoa ni Waumini wa Dini ya Kikristo

Dr Mpango amewataka Viongozi wa Dini kutokaa kimya wakati Nchi inachezewa na wahuni. Aidha Dr Mpango amesema Mafisadi wote waliotajwa kwenye Ripoti ya CAG watakapothibitika Watachukuliwa hatua kali sana

Dr Mpango alikuwa mgeni rasmi kwenye Ibada ya kumsimika Askofu wa KKKT Dayosisi ya Dodoma akimwakilisha Rais Samia aliyeko safarini

Waziri wa Fedha Dr Mwigullu, Waziri mkuu mstaafu mh Pinda pia walihudhuria Ibada hiyo

Dr Mpango ametoa hotuba bora Kabisa na amenikumbusha zile hotuba pendwa za Mwalimu Nyerere

Source: Upendo Tv
Saa 100 yuko wapi ?

USSR
 
Cha kukushangaza ni nini hapo?. Au unadhani kwa kauli hiyo basi a amaanisha kwa Waislamu hakuna hao wala rushwa, mafisadi n.k.?
 
Makamu wa Rais Dr Mpango amesema Baadhi ya Mafisadi, Wala Rushwa na Wasioheshimu Taasisi ya Ndoa ni Waumini wa Dini ya Kikristo

Dr Mpango amewataka Viongozi wa Dini kutokaa kimya wakati Nchi inachezewa na wahuni. Aidha Dr Mpango amesema Mafisadi wote waliotajwa kwenye Ripoti ya CAG watakapothibitika Watachukuliwa hatua kali sana

Dr Mpango alikuwa mgeni rasmi kwenye Ibada ya kumsimika Askofu wa KKKT Dayosisi ya Dodoma akimwakilisha Rais Samia aliyeko safarini

Waziri wa Fedha Dr Mwigullu, Waziri mkuu mstaafu mh Pinda pia walihudhuria Ibada hiyo

Dr Mpango ametoa hotuba bora Kabisa na amenikumbusha zile hotuba pendwa za Mwalimu Nyerere

Source: Upendo Tv
Amesema vyema; waumini wa dini ya Kikristo; si waamini wa Kristo. Tofauti ya Ukristo na dini ya Kikristo ni kubwa sana😀
 
Yeye kama makamu wa Rais aliyeapa kuisimamia na kuitetea katiba ya JMT, alipaswa atoe kauli yenye kuashiria kuwa mkono wa sheria utapambana na wote waliohusika...

Mambo ya sijui mafisadi ni dini gani hayasaidii chochote...

Hao viongozi wa dini wenyewe kwa asilimia kubwa nao ni mafisadi kwenye taasisi wanazoziongoza...
 
Makamu wa Rais Dr Mpango amesema Baadhi ya Mafisadi, Wala Rushwa na Wasioheshimu Taasisi ya Ndoa ni Waumini wa Dini ya Kikristo

Dr Mpango amewataka Viongozi wa Dini kutokaa kimya wakati Nchi inachezewa na wahuni. Aidha Dr Mpango amesema Mafisadi wote waliotajwa kwenye Ripoti ya CAG watakapothibitika Watachukuliwa hatua kali sana

Dr Mpango alikuwa mgeni rasmi kwenye Ibada ya kumsimika Askofu wa KKKT Dayosisi ya Dodoma akimwakilisha Rais Samia aliyeko safarini

Waziri wa Fedha Dr Mwigullu, Waziri mkuu mstaafu mh Pinda pia walihudhuria Ibada hiyo

Dr Mpango ametoa hotuba bora Kabisa na amenikumbusha zile hotuba pendwa za Mwalimu Nyerere

Source: Upendo Tv
Kesho viongozi wa dini wakisema wataambiwa
  1. Wachochezi
  2. Wanaingilia siasa
  3. Hawatii mamlaka
  4. Wanasahau majukumu yao
 
Dr Mpango amesema Baadhi ya Mafisadi, Wala Rushwa na Wasioheshimu Taasisi ya Ndoa ni Waumini wa Dini ya Kikristo
Vipi mkutano wa Kawe viwanja vya MECCO kuna mashambulizi gani baada ya baadhi ya rangi kuzuiwa
 
Back
Top Bottom