Kati ya viongozi ambao hawakupaswa kuandikwa hata kwenye vitabu vya kihistoria ni chifu Mangungo wa Msovero maana ni kielelezo kibaya sana na cha aibu kwa Taifa letu.
Siku nikifanikiwa kuwa kwenye...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema ametoboa siri aliyekuwa Katibu CCM, Ally Bashiru kutaka kumlipia deni alilokuwa anadaiwa bungeni kwa...
Bila ya shaka utakuwa umesikia leo taarifa ya lile daraja refu zaidi kupita bahari limefunguliwa huko China leo. Daraja hilo liitwalo Daraja la Qingdao Jiazhou lina urefu wa kilometa 42 (sawa na...
Ni swali tu kwa Mamlaka za mishahara za Tanzania na labda kwa wafanyakazi wenyewe, Tunatambua kwamba Tanzania ni kama vile haina Chama cha Wafanyakazi, maana viongozi wa kinachoitwa Chama cha...
Viongozi wanapopata ajali tumezoea kuona viongozi wenzake kupitia akaunti zao binafsi za mitandao ya kijamii zikitoka pole Ila kwa huyu Naibu Waziri watu wamekaa kimya.
Sidhani kama inaleta...
Kama Rais hana muda wa kupokea waandamanaji wote basi waratibu wa sherehe hizi za Mei Mosi walipaswa kupunguza makundi ya waandamanaji.
Watu wamepoteza muda wao kujiandaa, wakatafuta na t-shirts...
Lusubilo Mwakabibi aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, alitimuliwa kwenye kazi hiyo na kushitakiwa Mahakamani kwa Uhujumu uchumi, ambako aliachiwa kwa dhamana huku kesi yake ikipangiwa...
Akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara huko Sengerema , Mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema , Ezekia Wenje amesema kwamba kila Wilaya nchini Tanzania ina DSO mwenye mafunzo yote na ina OCD mwenye...
Za ndani kabisa zinadai risala ya shirikisho la umoja wa vyama vya wafanyakazi imejaa "asante" na "pongezi" nyingi kwa mama.
Yaani risala haina tofauti na ile inayosmwa na UVCCM. Vyama vya...
Kama umemsikiliza vizuri Utouh alipokuwa anaongea juzi, ni kwamba ingawa katika Halmashauri umetokea ubadhirifu mkubwa na labda wizi, lakini kwa ujumla, Serikali Kuu imeweza kupunguza ubadhirifu...
Ikiwa yamebakia masaa machache kabla ya kuhitimishwa kwa muda uliotolewa na Mahakama, wa Cyprian Musiba kumlipa Ndugu Bernard Membe kitita cha hela Taslim zaidi ya Bil 9 za kitanzania , na huku...
Kamati za Kudumu za Bunge ndio jicho la wananchi kwenye kuisimamia Serikali na tumeona kila leo zinafanya ziara na kukagua miradi ya maendeleo na kutoa pongezi kwamba kwa kazi nzuri zinazofanywa...
Hivi ni kweli mpaka leo umekosekana ufumbuzi wa suala la umeme, nchi nzima na kiza kimetanda, au mama hajui au anaongopewa? Mpaka imejidhihirisha uwanjani mechi za kimataifa haoni? Hizi kelele...
Hili la umeme kwangu mimi Uzima Tele ndilo pekee hunifanya nimkumbuke kwa uzuri hayati Rais John P. Magufuli kuwa alifanya vyema chini ya u - Rais wake.
Honestly, katika kipindi cha uongozi wake...
Mhe. Rais kilichofanywa na wizara ya Habari hakina hata chembe ya Haki. Ukisoma barua ya wizara inasimamisha wafanyakazi kazi kisha barua hiyo hiyo inaeleza kwamba wanaharakisha mchakato WA tenda...
MHE. HAMIS TABASAM AWAKARIBISHA WANAMWANZA KWENYE SHEREHE ZA MEI MOSI ZITAKAZOFANYIKA SENGEREMA
Mbunge wa Jimbo la Sengerema Mkoa wa Mwanza, Mhe. Hamis Tabasam amewakaribisha wananchi wa...
MBUNGE MHE. ABOOD ANAWAKARIBISHA WATANZANIA WOTE KATIKA SHEREHE ZA MEI MOSI MOROGORO
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini MHE. DKT. ABDULAZIZ M. ABOOD anawakaribisha Watanzania wote kutoka kila Eneo...
Kwa wale Waislamu inatakiwa Muunge Mkono pendekezo la Siku ya Ijumaa kujumuishwa kama public holiday yaani Weekend hakuna kufanya kazi.
Kwa nini Jumapili na Jumamosi ni Weekend na sio Ijumaa...
Sasa imebainika wazi waliomuua aliyekuwa waziri wa Fedha Dr.Mgimwa.
Watuhumiwa hao walitumia ustadi na umakimi wa hali ya juu kuhakikisha kuwa huyu waziri anaondoka katika nafasi ya Waziri wa...