Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika kipindi cha Medani za Siasa kilichorushwa hivi karibuni Star TV nilishuhudia Ado Shaibu, Katibu mkuu wa ACT akijibu swali la umilikaji wa Ofisi zao kijanja na kwa kona kona nyingi sana...
0 Reactions
2 Replies
471 Views
Yule Mwamba Mramba pamoja na kwamba alishwa twaliwa ila jamaa walipiga pesa enzi zao, yule mzee nina uhakika ana pesa ya ambayo hata vitukuu vya vitukuu vyake vitakula. Mramba walikuwa na...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Ningali ninaisaka ripoti kamili ya Dr. Mwakyembe kuhusiana na Law School nipate kuibukua kifungu kwa kifungu. Aliye nayo tafadhali itapendeza aki I share. Hata hivyo nimefuatilia extracts kadhaa...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mtoto Hamimu Mustapha Baranyikwa (15) mwenye matatizo ya ngozi ambaye ni mkazi wa Nyakanazi Mkoani...
12 Reactions
39 Replies
6K Views
MHE. BAHATI NDINGO AIWEZESHA VIFAA VYA TEHAMA NA SARUJI MADIBIRA SEKONDARI Mbunge wa Viti Maalum CCM (UWT) Mkoa wa Mbeya Mhe. Bahati Keneth Ndingo na Mwazilishi wa Bahati Ndingo Foundation &...
0 Reactions
1 Replies
656 Views
Ikiwa leo ni maadhimisho ya miaka 59 muungano wa Tanganyika na Zanzibar, tunatambua kazi kubwa inayofanywa na viongozi wetu Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu na Rais Dkt. Hussein Mwinyi katika kuleta...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini na Mjumbe wa kamati kuu mh Godbless Lema amesema ataendelea kuwapenda na kuwaheshimu Halima Mdee na Esther Bulaya kwa sababu ni dada zake lakini pia ni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kesho Mbunge mmoja asimame amtake waziri wa ulinzi na Jeshi la kujenga taifa Innocenti Bashungwa awaeleze watanzania usalama wa ndugu zao waliopo Darfur wakilinda amani maana tangu mchana vyombo...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari.... Natamani kujua kuhusu Umoja wa Afrika (AU) hivi utendaji kazi wake upoje maana migogoro mingi ya kisiasa na matatizo mengine ni mengi sana kwenye bara letu la Afrika ila uhusikaji wake...
1 Reactions
1 Replies
382 Views
Katika kuadhimisha miaka 59 ya Muungano wa Tanzania Bara tarehe 26 Aprili, 2023 Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Mamlaka aliyopewa chini ya Ibara 45(1)(d) ya Katiba ya...
0 Reactions
5 Replies
951 Views
Nukuu kama hizi zinazofundisha ni nadra sana kuzisikia yule Kwa Rais wa Wanyonge ,Samia ni zaidi ya Kiongozi. "Mbali na kuwa kufunga kunarekebisha hali afya ya mwanadamu kwa kupunguza uzito...
13 Reactions
121 Replies
4K Views
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam "Nilisikia Rais Samia anapita Nyakanazi na mimi kwetu ni pale pale Nyakanazi. Wazazi walinikataza, wewe usiende na hali hiyo uliyokua nayo watu wanakukimbia...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa muda sasa mji Mkuu wa Sudan, Kahrtoum umegeuka uwanja wa vita ukishuhudi mapigano makali ya kati ya jeshi la nchi hiyo na wanamgambo nchini humo ambapo miundombinu imeharibiwa kwa kiasi...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Atateuliwa na Chama chake,na atachaguliwa na wananchi. Kwa hiyo,kama political analysis,we can safely say Samia Suluhu atakuwa rais mpaka 2030. Kwa sababu huyu ni rais amefanya vizuri,better than...
0 Reactions
1 Replies
880 Views
Waziri wa Nishati January Makamba amesema ameridhishwa na kasi ya Ujaaji maji kwenye Bwawa la Nyerere ambapo Lita bilioni 6 zimeshaingia na zimebaki mita 13 tu maji yaweze kuzungusha Mitambo...
7 Reactions
140 Replies
8K Views
Akiongea katika viwanja vya Ikulu,Jaji Amiri Manento amekiri jambo gumu ambola Tume ya Haki za binadamu na utawala bora imesimamia kwa nguvu ni sakata la kifo cha Mwangosi. Na amekiri serikali...
5 Reactions
70 Replies
12K Views
Aliyekuwa Katibu mkuu wa CHADEMA na Balozi wa Tanzania nchini Sweden Dr. Slaa amesema Siasa na Utumishi wa Umma ni vitu viwili tofauti. Dr. Slaa amesema watu wengi hawajui hili ndio sababu...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Mwandishi wa Habari nguli mh Atiki amesema siyo kweli kwamba Watanganyika wamezuiwa kununua ardhi Zanzibar au kuajiriwa SMZ SMZ kuna Watanganyika wengi tu Wameajiriwa pale ila kwa sababu wako...
0 Reactions
6 Replies
574 Views
Back
Top Bottom