Yono Auction Mart yazidiwa na wateja wanaotaka kununua mali za Musiba

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,377
217,438
Ikiwa yamebakia masaa machache kabla ya kuhitimishwa kwa muda uliotolewa na Mahakama, wa Cyprian Musiba kumlipa Ndugu Bernard Membe kitita cha hela Taslim zaidi ya Bil 9 za kitanzania , na huku kukikosekana dalili zozote za Ndugu Musiba au Marafiki zake kulipa fidia hiyo , Habari zilizotufikia zinadai kwamba Madalali waliopewa idhini ya kuuza mali hizo Wamezidiwa na Wateja .

Taarifa zinaeleza kwamba ofisi za Yono za Dar es salaam na Dodoma zimefurika maombi ya Wateja kiasi cha kuwachanganya wahusika , Hata hivyo kampuni ya Yono imedai kwamba atakayeuziwa ni yule atakayelipa zaidi kuliko wengine .

Kwa kifupi ni kwamba mali zote za Musiba ni kama zishauzwa , kinachosubiriwa ni kukamilika kwa michakato ya kisheria tu .

Tunarudia tena kuonya kama tulivyofanya miaka yote kwamba vijana jitahidini kuishi kwa haki , maana siku ya siku KILA UBAYA UTALIPWA .

JamiiForums-805405886_539x307.jpg
 
Mimi nataka nyumba ya kijijini kwake....akose kabisa pa kuhemea!

Biblia inasema usimnyime mtoto fimbo.... please MEMBE asitunyime fimbo tufunze kupitia hii issue ya MUSIBA. Haiwezekani gazeti liandike ZITTO NA MAALIM wanagombea shoga na bado mwandishi anatamba.

Tufunze ili practically tuelewe kuwaheshim wengine, ukimsamehe itatufanya tuwe viburi na watukana wazee
 
Ikiwa yamebakia masaa machache kabla ya kuhitimishwa kwa muda uliotolewa na Mahakama, wa Cyprian Musiba kumlipa Ndugu Bernard Membe kitita cha hela Taslim zaidi ya Bil 9 za kitanzania , na huku kukikosekana dalili zozote za Ndugu Musiba au Marafiki zake kulipa fidia hiyo , Habari zilizotufikia zinadai kwamba Madalali waliopewa idhini ya kuuza mali hizo Wamezidiwa na Wateja .

Taarifa zinaeleza kwamba ofisi za Yono za Dar es salaam na Dodoma zimefurika maombi ya Wateja kiasi cha kuwachanganya wahusika , Hata hivyo kampuni ya Yono imedai kwamba atakayeuziwa ni yule atakayelipa zaidi kuliko wengine .

Kwa kifupi ni kwamba mali zote za Musiba ni kama zishauzwa , kinachosubiriwa ni kukamilika kwa michakato ya kisheria tu .

Tunarudia tena kuonya kama tulivyofanya miaka yote kwamba KILA UBAYA UTALIPWA .

View attachment 2602743
what is this? anatafuta michango visinadiwe? Bladifaken bastard!
 
Ikiwa yamebakia masaa machache kabla ya kuhitimishwa kwa muda uliotolewa na Mahakama, wa Cyprian Musiba kumlipa Ndugu Bernard Membe kitita cha hela Taslim zaidi ya Bil 9 za kitanzania , na huku kukikosekana dalili zozote za Ndugu Musiba au Marafiki zake kulipa fidia hiyo , Habari zilizotufikia zinadai kwamba Madalali waliopewa idhini ya kuuza mali hizo Wamezidiwa na Wateja .

Taarifa zinaeleza kwamba ofisi za Yono za Dar es salaam na Dodoma zimefurika maombi ya Wateja kiasi cha kuwachanganya wahusika , Hata hivyo kampuni ya Yono imedai kwamba atakayeuziwa ni yule atakayelipa zaidi kuliko wengine .

Kwa kifupi ni kwamba mali zote za Musiba ni kama zishauzwa , kinachosubiriwa ni kukamilika kwa michakato ya kisheria tu .

Tunarudia tena kuonya kama tulivyofanya miaka yote kwamba vijana jitahidini kuishi kwa haki , maana siku ya siku KILA UBAYA UTALIPWA .

View attachment 2602743
Upuuzi mtupu,watu kibao wanauza mali zao na wamewapa huu mwaka wa tatu hakuna mteja wao wanasema eti wamezidiwa . pathetic

We jamaa habari zako nyingi za uongo uongo

USSR
 
Ikiwa yamebakia masaa machache kabla ya kuhitimishwa kwa muda uliotolewa na Mahakama, wa Cyprian Musiba kumlipa Ndugu Bernard Membe kitita cha hela Taslim zaidi ya Bil 9 za kitanzania , na huku kukikosekana dalili zozote za Ndugu Musiba au Marafiki zake kulipa fidia hiyo , Habari zilizotufikia zinadai kwamba Madalali waliopewa idhini ya kuuza mali hizo Wamezidiwa na Wateja .

Taarifa zinaeleza kwamba ofisi za Yono za Dar es salaam na Dodoma zimefurika maombi ya Wateja kiasi cha kuwachanganya wahusika , Hata hivyo kampuni ya Yono imedai kwamba atakayeuziwa ni yule atakayelipa zaidi kuliko wengine .

Kwa kifupi ni kwamba mali zote za Musiba ni kama zishauzwa , kinachosubiriwa ni kukamilika kwa michakato ya kisheria tu .

Tunarudia tena kuonya kama tulivyofanya miaka yote kwamba vijana jitahidini kuishi kwa haki , maana siku ya siku KILA UBAYA UTALIPWA .

View attachment 2602743
Mbona Chadema mnashadadia maugomvi ya CCM? Membe, Musiba wote walewale ila nyie ndio mnavipa vitu hivi airtime sana. Hao kesho wakipatana mnafanyaje?

Chadema mmeruhusiwa kufanya mikutano imekufa yote! Lissu ni kama hayupo! Hivi nyie ndio kweli kwa dhati mnaitaka ikulu?

Sisi wengine mnatuona wakorofi lakini mmejaa maigizo sana!
 
Majina huumba..musiba musiba
 
Mkuu sisi hapa Jf tuna kazi moja tu , kuleta taarifa na habari kwa wenye uwezo wa kusoma , hata wewe nakushauri , usikalie habari , kama unazo za Lissu kuwa kama hayupo fungua uzi humu tutachangia .

Jf ni sehemu maalum ya habari motomoto si kwa ajili ya mikutano ya Chadema pekee
 
Ikiwa yamebakia masaa machache kabla ya kuhitimishwa kwa muda uliotolewa na Mahakama, wa Cyprian Musiba kumlipa Ndugu Bernard Membe kitita cha hela Taslim zaidi ya Bil 9 za kitanzania , na huku kukikosekana dalili zozote za Ndugu Musiba au Marafiki zake kulipa fidia hiyo , Habari zilizotufikia zinadai kwamba Madalali waliopewa idhini ya kuuza mali hizo Wamezidiwa na Wateja .

Taarifa zinaeleza kwamba ofisi za Yono za Dar es salaam na Dodoma zimefurika maombi ya Wateja kiasi cha kuwachanganya wahusika , Hata hivyo kampuni ya Yono imedai kwamba atakayeuziwa ni yule atakayelipa zaidi kuliko wengine .

Kwa kifupi ni kwamba mali zote za Musiba ni kama zishauzwa , kinachosubiriwa ni kukamilika kwa michakato ya kisheria tu .

Tunarudia tena kuonya kama tulivyofanya miaka yote kwamba vijana jitahidini kuishi kwa haki , maana siku ya siku KILA UBAYA UTALIPWA .

View attachment 2602743
Hakika hakuna jiwe litakalosalia juu ya jiwe.

Kuna watu wengi wameumizwa hata wengine kuuawa ili kumfurahisha bwana mkubwa.

Leo tunaona Musiba anaonewa kwa makusudi na vitisho alivyovitoa tena akiuthibitishia umma kuwa anachokisema hatanii.

Kinachomtokea Musiba ni halali na haki yake kwa sababu hakuna mtu aliyegusa uhai wake ambapo yeye alikuwa radhi na kufurahia wengine waishi kwa uchungu, hofu hata wapate madhara kutokana na mdomo wake.

Chemical Ali kapatwa na jua leo.

Mnada uwe wa wazi kama walivyomuaibisha Lugumi
 
Membe chonde chonde shikilia hapohapo usikubali sijui kusameheana kwa sababu hili jambo litaleta historia mpya katika nchi, itakuwa historia yenye funzo hususani kwa wale wanaodhani mamlaka za juu zitawalinda milele na kufanya watakayo. Tukitoka hapo tumebakiza mafisadi papa Hawa bado hawajapata dawa
 
Back
Top Bottom