Vyama vya upinzani havijaonekana kwenye Sherehe za Mei mosi Morogoro hata vile vikubwa Chadema na ACT wazalendo
Halafu 2025 mtasema CCM inaiba kura hasa wewe Devotha mshindani wa Abood
Rais...
Yamekuwa na nadhani yataendelea kuwa maoni yangu kwamba kubadili mitaala ya nchi ni moja ya mambo makubwa kabisa yanayoweza kuacha alama kwenye vizazi vyetu, na hivyo wakati Serikali inapofanya...
Kanisa la TAG wakitafuta kupendwa na Magufuli enzi hizo. Ujinga mtupu , eti nao ni Maaskofu.
Leo Malasusa na Pengo eti shatani Musiba asamehewe! Rubbish!
Ukiangalia historia ya uhuru wa tanzania utaona imechangia kwa kiasi kikubwa kushape fikra za watanzania wa leo, yaani ukisoma huon struggle kabisa zaid ya watu waliokua wanakutania kwenye bao na...
Wataalam wa Hesabu naomba msaada wenu kuhusiana na Hesabu za Seti.
Seti mbili zikiungana unakuwa ni Muungano (Union) na vile Vitu vinavyohusika na Seti zote mbili kwa kufanana ndio Ungano.
Je...
Mbunge wa Viti Maalum Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate kufuatia Sikukuu ya Mei Mosi iliyofanyika Kitaifa Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro amempongeza...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 16 leo Mei 2, 2023.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Serikali ipo kwenye hatua ya Mwisho ya kufungua Soko la Parachichi...
Mkulima Thomas Nkola ametaja watu 10 ambao wametajwa kwenye ripoti ya CAG anakusudia kuwafikisha mahakamani Mwigulu Nchemba, January Makamba, Prof. Makame Mbarawa, Prof. Palamagamba Kabudi...
Mh waziri
Elimu inabidi kufanyiwa maboresho katika maeneo muhimu kama haya
Wazazi wanabidi kushirikiana na walimu katika kuandaa ustawi bora wa watoto wao ikiwemo swala la shule ambazo ni day...
Mswahili alisema kuwa muda mara zote huwa ni hakimu mzuri.
Msanii Kipanya leo ametuletea mawazo na matamanio ya wabunge walioingia bungeni kwa hisani.
Wameanza kuweweseka kila kalenda inavyozidi...
MHANDISI MAGESA AKEMEA UPOTOSHAJI MRADI WA MAJI CHANKOLONGO
Mbunge wa Jimbo la Busanda, Mhandisi Tumaini Magesa amewatoa hofu wananchi wa Mamlaka ya Mji mdogo wa Katoro juu ya mradi wao wa maji...
Waziri WyEST, yawezekana kanuni, taratibu na mifumo ya mitihani yetu ya Kitaifa haiwezi kufanya mtu aliyepata matatizo akapa namna nyingine ya kufanya kwa wakati hayupo sawa kuifanya mitihani...
Leo dola moja ni Tsh 2350 mtandaoni. Gharama za vitu tunavyoagiza itazidi kupanda. Shida nini pesa yetu kuporomoka namna hii? Hivi kuna namna tunaweza kuachana na kuagiza vitu kwa dola?
Na Mwl Udadis, Morogoro
Uweledi wa kiongozi hupimwa kwa hatua na matokeo. Leo tukisherehekea siku ya wafanyakazi #MeiMosi hatuna budi kuangalia hatua alizochukua Rais Samia tangu alipoingia...
Serikali imeiwezesha Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) Sh. bilioni 4.65 kununua vitendea kazi na ng'ombe wazazi ili kuboresha na kuongeza uzalishaji wa kampuni hiyo.
Hayo yamefahamika wakati wa...
Kwa maoni yangu yanayotokana na mashambulizi dhidi ya ofisis ya CAG, ni bora tuifute ofisi hiyo maana ni Kama inadharaulika.
Naomba nijadili matukio mawili ambayo yamesabaisha nifikie hitimisho...
Ilikuwa April 24,2021 katika fukwe za bahari ya Hindi huko Lindi. Jamaa hawa walikamatwa na zaidi ya tani moja ya dawa za kulevya,wakati huo kukiwa na tishio la Kimbunga JOB.
Mpaka leo sijui hii...
Viongozi mbalimbali wakimpongeza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mara baada ya kuwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa Fedha 2023/24 kupitshwa na Bunge.
Pamoja na Changamoto za kupanda kwa gharama za maisha na Mambo mengine,Serikali inajitahidi Sana kwa kutoa ajira rasmi kwa watanzania,tangu Mwaka huu uanze,Majeshi yote yametoa nafasi za kutosha...
Tuwe wawazi, tena kIroho safi tu.
Kupigania haki dhidi ya serikali za kiafrika si kazi ndogo:
Mtanzania gani mwenye kuwa na uhalali (moral authority) wa kumbeza Odinga kwenye harakati za huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.