Akili za Chifu Mangungo wa Msovero

Burkinabe

JF-Expert Member
Feb 12, 2023
1,888
3,179
Kati ya viongozi ambao hawakupaswa kuandikwa hata kwenye vitabu vya kihistoria ni chifu Mangungo wa Msovero maana ni kielelezo kibaya sana na cha aibu kwa Taifa letu.
Siku nikifanikiwa kuwa kwenye nafasi ya kufanya maamuzi, nitapiga marufuku kabisa kwa viongozi wote wenye kariba ya Chifu Mangungo kuwekwa kwenye historia ya nchi yetu.

Watoto wetu wanapaswa kufundishwa habari za kina Chifu Mkwawa wa Iringa, Chifu Mirambo wa Tabora, Chifu Isike n.k.

Hiyo itawafanya na wao kuwa na moyo wa uzalendo kama ya hao mashujaa niliowataja hapo juu.

Huenda labda kwa kufanya hivyo tukafanikiwa kuwa na viongozi wazalendo watakaolivusha Taifa letu, kututoa tulipo, na kutupeleka sehemu nzuri zaidi.

Naomba kuwasilisha.
 
duh aiseee hawa viongozi bado tunao hata leo hii
Inasikitisha sana..
Kiongozi mmoja aliwahi kusema, iko siku makaburi ya viongozi kama hao yatachapwa viboko!
Mimi nadhani tusisubiri hadi wafe ndo tukawatandike. Inabidi watandikwe wakiwa bado hai ili na wengine wapate kujifunza.
 
Kati ya vitu alinisikitisha sana ni pamoja na hiki cha kuungana na mabeberu wanaoliibia Taifa letu!
Sina imani kabisa na uzalendo wake kwa nchi yetu.

Kitu gani unaibiwa na makaburu boss? Nchi hii wakoloni wameondoka miaka 60 iliyopita, hawa wote waliopa hapa nchini mnawaita wawekezaji na wana mikataba halali. Unaweza kutoonyesha mkataba hata mmoja wa raslimali za nchi hii amesaini Lisu?
 
Kati ya viongozi ambao hawakupaswa kuandikwa hata kwenye vitabu vya kihistoria ni chifu Mangungo wa Msovero maana ni kielelezo kibaya sana na cha aibu kwa Taifa letu.
Siku nikifanikiwa kuwa kwenye nafasi ya kufanya maamuzi, nitapiga marufuku kabisa kwa viongozi wote wenye kariba ya Chifu Mangungo kuwekwa kwenye historia ya nchi yetu.

Watoto wetu wanapaswa kufundishwa habari za kina Chifu Mkwawa wa Iringa, Chifu Mirambo wa Tabora, Chifu Isike n.k.

Hiyo itawafanya na wao kuwa na moyo wa uzalendo kama ya hao mashujaa niliowataja hapo juu.

Huenda labda kwa kufanya hivyo tukafanikiwa kuwa na viongozi wazalendo watakaolivusha Taifa letu, kututoa tulipo, na kutupeleka sehemu nzuri zaidi.

Naomba kuwasilisha.
Heri ya hao aisee. Kuliko viongozi tulionao sasa mkuu
 
Mangungo hakujua kusoma Wala kuandika kijerumani,alidanganywa ili tu Carl pieters apate dole gumba lake akaoneshe kwao ujerumani,alipokuja kuambiwa baadae kwamba alimpa mjerumani nchi yake alipinga
 
Kati ya viongozi ambao hawakupaswa kuandikwa hata kwenye vitabu vya kihistoria ni chifu Mangungo wa Msovero maana ni kielelezo kibaya sana na cha aibu kwa Taifa letu.
Siku nikifanikiwa kuwa kwenye nafasi ya kufanya maamuzi, nitapiga marufuku kabisa kwa viongozi wote wenye kariba ya Chifu Mangungo kuwekwa kwenye historia ya nchi yetu.
Naona umekuwa mpwayupwayu tu, unamuonea Chief Mangungo bure tu. Hivi alikuwa anajua kusoma na kuandika, hasa lugha ya kijerumani?

Mambo mengine munajifanya kujua sana hivi sasa kwa kuwa mumesoma, po pote pale mzungu alipotaka kupachukuwa alipachukua iwe kuna mkataba feki au la.
 
Lazima wamsome aiseeh, maana anaakisi kabisaa viongozi tulio nao leo.

Tena bora yeye hata kusoma na kuandika hakujua, haswa hicho kijerumani. Malimani akamuingiza chaka. Hawa wa wakati wetu excuse yao ni nini?
 
Kwa hiyo hao wengine kina Mkwawa, Mirambo, Isike n.k wao walijulia wapi kusoma na kuandika?
Kama na wao hawakujua kusoma na kuandika, mbona waliwalinda watu wao mpaka tone lao la mwisho la damu?
 
Kitu gani unaibiwa na makaburu boss? Nchi hii wakoloni wameondoka miaka 60 iliyopita, hawa wote waliopa hapa nchini mnawaita wawekezaji na wana mikataba halali. Unaweza kutoonyesha mkataba hata mmoja wa raslimali za nchi hii amesaini Lisu?
Good analysis
 
Lazima wamsome aiseeh, maana anaakisi kabisaa viongozi tulio nao leo.

Tena bora yeye hata kusoma na kuandika hakujua, haswa hicho kijerumani. Malimani akamuingiza chaka. Hawa wa wakati wetu excuse yao ni nini?
Sina uhakika sana na hili ulilolisema kumuhusu chifu kilaza kabisa kuwahi kutokea katika nchi yetu kama siyo duniani! Ila naungana na wewe pia kwamba baadhi ya wanaotuongoza wanafuata nyayo zile zile za mangungo
 
Kati ya viongozi ambao hawakupaswa kuandikwa hata kwenye vitabu vya kihistoria ni chifu Mangungo wa Msovero maana ni kielelezo kibaya sana na cha aibu kwa Taifa letu.
Siku nikifanikiwa kuwa kwenye nafasi ya kufanya maamuzi, nitapiga marufuku kabisa kwa viongozi wote wenye kariba ya Chifu Mangungo kuwekwa kwenye historia ya nchi yetu.

Watoto wetu wanapaswa kufundishwa habari za kina Chifu Mkwawa wa Iringa, Chifu Mirambo wa Tabora, Chifu Isike n.k.

Hiyo itawafanya na wao kuwa na moyo wa uzalendo kama ya hao mashujaa niliowataja hapo juu.

Huenda labda kwa kufanya hivyo tukafanikiwa kuwa na viongozi wazalendo watakaolivusha Taifa letu, kututoa tulipo, na kutupeleka sehemu nzuri zaidi.

Naomba kuwasilisha.

Usimfute kwenye vitabu vya historia. Ni mfano wa kuonya (warning example).
 
Alikua na maono ambayo hakuna chief mwingine angeona aliiifanya kilosa na maeneo yanaizunguuka kilosa kua ndo sehemu ya biahsara na maendeleo ya miji kama vile umeme,maji Safi nyumba za kisasa,na Vingine ..popote alipo tawala chief genius magungo palikua na maendeleo cos aliwakalibisha wawekezaji na pia akafanya ubinafsishaji kama alivyo fanya Mkapa, JK.........

Binafs namkubali ni kiongoz wa kuigwaaa........kabisa
 
Nchi hii wakoloni wameondoka miaka 60 iliyopita, hawa wote waliopa hapa nchini mnawaita wawekezaji na wana mikataba halali.
Mikataba ya kinyonyaji. Haina tofauti yeyote na yanayo husishwa na dole gumba la Chifu!
 
Back
Top Bottom