Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Karibu kufuatilia yanayojiri Bungeni leo Aprili 24, 2023 kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 12. Mbunge Prof. Shukrani Elisha ameonesha masikitiko kwa Ofisi ya Mkamu wa Rais, Mazingira...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Huyu Nape anaonekana kama kajiniazi fulani. Ana charisma, hata akiongea ni kama anaongea kwa kunata na biti na madaha. Na kale kamiwani kake, na venye anamkonga samia, basi ni vyema awe Rais wetu...
12 Reactions
106 Replies
4K Views
Kada wa CCM ambaye pia ni Rais wa Chama cha Wacheza Bao mzee Monday Likwepa amesema hakuna Mwananchi wa Ukonga aliyemtuma Jerry Slaa aiombe Serikal iongeze Bei ya Mafuta Likwepa amesema ni Tabia...
8 Reactions
23 Replies
2K Views
Kijana mwenzetu akutana na Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, wakati wa ziara yake nchini Tanzania. Kijana huyu anaitwa Gibson Kawago elimu yake ni Diploma na ni mwanzilishi wa...
12 Reactions
43 Replies
5K Views
Namshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma aliye nijalia kwa rehma zake mfungo wa Ramadhan salama salimin. ALHAMDULILLAH. Hoja yangu ya leo ni UAMSHO kwa ndugu zangu waafrika juu ya nadharia ya...
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Mwigulu, Nape na January wakati mnashirikuana na Mzee wa Msoga kumpokonya Lowasa Urais mliaminishwa kwamba ninyi nifamilia Bora na mtaendelea kuneemeka na siasa za Tanzania. Lakini Magu...
10 Reactions
32 Replies
3K Views
Na Beatrice Kimaro BBC Mchambuzi Tanzania Katika miongo miwili iliyopita, tumeshuhudia uwekezaji mkubwa ukifanywa na Serikali ya Tanzania kwenye miundo mbinu ya usafiri na usafirishaji. Ukiacha...
5 Reactions
15 Replies
3K Views
Angalia raia maskini wanavyohangaika kulima kwa jembe la mkono na kulipa kodi na tozo kandamizi. Angalia wavuvi ambao hawalali na familia zao wanalipa kodi na tozo kandamizi huku wakikesha majini...
6 Reactions
43 Replies
2K Views
Sauti yake, manjonjo yake na mwonekano wake, ni MC mashuhuli, eti leo ni waziri? Tanzania tuna tabu sana! Tegemeeni bando kupanda kila uchwao na mitandao kuwa chini zaidi Hatusemi kwa ubaya, ni...
1 Reactions
15 Replies
838 Views
Akizungumza katika Baraza la Eid El Fitri katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo Rais wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ameendelea kuonesha na...
10 Reactions
63 Replies
7K Views
Serikali ya Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu imeandika historia mkoani Kigoma ambapo imetoa zaidi ya Shilingi Bilioni 567 kwa ajili ya miradi tisa ya ujenzi wa barabara zenye urefu wa kilometa...
0 Reactions
3 Replies
868 Views
Chadema wamekuwa na Tabia ya kumuhurumia zaidi Mwenyekiti Wao Mbowe kuliko mtu mwingine yoyote hapo Ufipa st Tunakumbushana tu kuna Watu wamepitia majanga makubwa zaidi wakiipigania Chadema...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Yamesikika mengi kuhusu ripoti ya CAG. Haikubaliki jiwe kuachwa juu ya jingine. Maendeleleo hayana chama hatimaye tuko hapa: Haikuwa rahisi kufika hapo. Pongezi kwao wote waliosimama imara...
2 Reactions
16 Replies
888 Views
Kutokana na taifa hili kuvamiwa kijeshi na kikundi cha watu wasio julikana miaka saba ya utawala wao taifa hili lilijazwa hofu watu kutekwa na kuuawa kama kuku, kupiga risasi watu hovyo na wengine...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimemsikia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan na kupata ngumu faraja sana ndani ya kipindi cha mwezi mmoja nyuma! Kuna kitu nimejifunza na kuanza kutamani sana...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Maandalizi ya Huu mtanange wa Urais 2030 siyo wa kitoto Dr Mwigullu featuring Mbowe vs Makamba featuring Zitto Huko Twitani mafaili yataanza kufunguliwa Jumatatu baada ya Kwaresma na Ramadan...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Namkumbuka Magufuli kwa kitu kimoja, Akijua we ni threat kwake basi atatafuta mapungufu yako kisheria ambayo yanawza kugeuka jinai ili uwe mtumwa wake EL alitaka kumvimbia akaitwa ikulu...
16 Reactions
67 Replies
7K Views
Nimeshangaa kumuona Steve Nyerere akimshambulia Abdul Nondo wa ACT Wazalendo na kumwita ni mshamba. Mengele amesema Maandamano ni 'ushamba' na kwamba ripoti ya CAG imeshafanyiwa kazi katika...
8 Reactions
60 Replies
5K Views
Serikali imehamia Dodoma, na jengo mengi ya serikali jijini DSM ni mapango ya popo. Kwanini serikali isitoe jengo hata moja tukapata ofisi ya RC yenye hadhi ya jiji bora kabisa East and Central...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wakuu, hamjambo? Kipekee ningependa kuchukua wasaa huu kuwatakia waamini wa dining ya Kiislamu na madheebu yake yote kwa ujumla heri ya sikukuu na kuwakaribisha kuendelea na maisha ya Kila...
0 Reactions
2 Replies
431 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…