Kama kichwa Cha habari kinavyosema,...ntawashangaa Sana wafanyakazi watakaowapigia kura hawa viongozi wanaoendelea kuwakandamiza kwa kupigia debe ulipaji kwa njia ya kikotoo ambAcho Ni kandamizi...
Kwenye nchi ya watu makini, haiwezi kuruhusu kuwa na aina ya sipika kama huyu! Sipika asiye na uchungu wa mali za nchi na kodi zetu???
Ukisikia mtu haipendi nchi na watu wake na hafai kuaminiwa...
Katika wimbo wake mpya, Mwanamuziki Roma Mkatoliki amekilinganisha Chama Cha Mapinduzi na Maandazi na kudai ikiwa atatakiwa kuchagua, atachagua Maandazi badala ya CCM. Siyo lengo kumjadili Roma...
"Ni aibu mbunge anaposimama bungeni na kushangaa..eti ni kwa nini hakuna hata waziri wetu mmoja anayemiliki hata ndege moja nchini?" Je, kwa pato lipi kama sio kuusifia wizi,ufisafi na ubadhirifu...
Sasa tunao walamba asali, walamba shubiri, walala hoi na pia mafisadi papa na machawa wao! Mnajitoa akili sababu ya shibe haramu, mnasifia mlipostahili kukemea! Wabunge mmegeuka "wabonge". Mbunge...
Nadhani kuna ukimya umetawala Kwa Sababu Tu wanaoongoza nchi wote wanatoka sehemu moja. Nafurahi kuona upo ufanisi na mabadiliko makubwa yaliyofanywa na Marais wawili waliopo. Changamoto...
Sijawahi kupiga ramli wala si mtabiri ila kwa yanayoendelea nchini na kwa manung'uniko ya wananchi kila mahala ,si ajabu hiki chama kiko mbioni kuvifuata vyama vyenzake vya ukombozi huko mahala...
Mtu anayetenda Wizi au Ubadhirifu hiyo ni Jinai na Wanaohusika nao ni DCI, DPP na Takukuru
Bungeni yanafanyika maamuzi ya kisiasa na kisera, swala la nani ashtakiwe kwa mujibu wa sheria ni la...
Leo nimesoma habari ya Uteuzi wa Naibu Gavana Dk. Natu, najua alikua kwy bodi ya BOT kwa kipindi kirefu na ni mwadhiri katika Chuo chetu kikuu, but akiwa kama mjumbe wa bodi ya BOT kwa kipindi...
Ndugu zangu Rais Samia anahangaika huku na kule kutafuta fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kimaendeleo, anahangaika kila mahali kutafuta wawekezaji , anashindwa kupata hata...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohammed Mchengerwa na Balozi wa Ujerumani nchini, Regine Hess, wameshuhudia kusainiwa kwa Mkataba wa Utekelezaji wa Mradi wa Bilioni 15 (Euro milioni 6), Kusaidia...
RAIS SAMIA NI KIONGOZI WA VITENDO
Na.Amon Nguma
Tumetimiza miaka miwili kwa mafanikio makubwa na sasa tumeingia mwaka wa tatu kwa kishindo kikubwa zaidi chini ya Uongozi wa Mama Mhe. Rais. Dkt...
Hii ndio Hali inayoendelea Kwa Sasa ,Mwenye shibe hamjui mwenye njaa.
Nchi Ina Vipaombele vya hovyo sana hii.
---
Waziri wa TAMISEMi, Angellah Jasmine Kairuki amewasilisha Bungeni Makadirio ya...
Akiwa ziarani hata sitaki kujua ni wapi makamu wa rais alitoa tamko na kuomba msmaha kwa watu kukasimamishwa barabarani kupisha msafara wake upite. Hili kwa maoni yangu hata kama halikumfurahisha...
Tumeshuhudia kanisa la mfalme Zumaridi, Word of Reconciliation Ministries (WRM) la anayejiita Nabii Suguye na Spirit Word Ministry la Ceasar Masisi yakifungiwa kwa sababu mbalimbali ambazo hasa...
Hivi huyu kijana mwenzetu ana usafi gani hata achafuliwe binafsi na kwa wafuatiliaji wenzangu wa siasa ndani ya ccm watatambua ridhiwani kikwete hana usafi wowote hata kuwa katika nafasi ya...
Ni vizuri kama hao watu wangepatana, kwa sababu they are on the same side. Inaoŋyesha kwamba makachero wanagombana wenyewe kwa wenyewe.
Mimi napinga hili ambalo naliona kama jaribio la kuwatisha...
Nimejiuliza sana tena sana, kwanini tunadanganyagwa na wanasiasa tusiowapenda kwa kupewa vijizawadi visivyo na tija maishani?
Wanasiasa hao huja na vijizawadi vya kipuuzi kama vile chumvi ya...
HOTUBA YA WAZIRI KIVULI WA UTUMISHI WA UMMA, UTAWALA BORA NA MUUNGANO-ACT WAZALENDO NDG. PAVU ABDALLAH JUMA KUHUSU MPANGO WA BAJETI WA OFISI YA RAIS- MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA...
Katika kusikiliza kipindi cha kuchangia mada ya kuhusiana na swala la ardhi ya Loliondo kupitia BBC leo Tarehe 10/04/2013 saa 7:15 jioni idhaa ya Kiswahili balozi waziri Kagasheki ameapa na kudai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.