Kwa Sasa Dunia yetu inapitia mengi sana sana ...tuanze na la ushoga na usagaji....Kisha vita ya wenyewe kwa wenyewe ....tatu ugaidi ukiongozwa na makundi mbalimbali ya wanamgambo...ukame ukosefu...
Mkuu wa mkoa wa DSM Amos Makalla ameupiga Marufuku Wafanyabiashara kuuza bidhaa kwa kuzipanga chini
Agizo hilo limeanza mara moja hasa kwenye bidhaa za Vyakula ukizingatia Huu ni msimu wa mvua...
Inashangaza kuona baadhi ya maeneo bado wanatumia opras kama rejea ya utendaji kazi wa watumishi. Ikumbukwe kwamba fomu hizi hujazwa na mtumishi kwa kushirikiana na kiingozi wake.
Kwa asilimia...
1.Mlilalamikia kikokotoo kisiwepo,serikali ikaweka
2.Mkalalamikia nyongeza ya mishahara Kwa miaka nenda rudi,nyongeza ni mpaka serikali iamue na iongeze ionavyo
3.Mmelalamikia annual...
Leo hii Jumatatu April 17 2023 Serikali imesaini mikataba na kampuni tatu za madini za Australi zinazohusisha uendeshaji wa uchimbaji wa Madini ya Kinywe (GRAPHITE) na madini adimu (RARE EARTH...
Waziri wa Ardhi Dr Mabula amesema taarifa iliyotolewa na Meya wa Kinondoni mh Songoro kwamba Wizara inashughulikia Migogoro wa Slipway Ltd siyo ya kweli
Dr Mabula amesema Sera ya kuboresha...
MHE. NDAISABA RUHORO ATEMBELEWA BUNGENI NA KAMATI YA SIASA WILAYA YA NGARA
Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. Ndaisaba George Ruhoro wiki hii aliialika Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Ngara chini ya...
George Wajackoya ni Jasusi ambalo limeajiriwa na shirika la ujasusi la Kenya, Kuna msemo kwamba jasusi hastaafu. Jasusi huyu ndiye alihusika na "mission" nzima ya kumtorosha Lema Tanzania...
Jambo Jambo?
Mtautesa umma wa Watanzania, Mafisadi yatendelea kuiba, mtawafutia Bima za afya za bei rahisi.
Mtaweka tozo kila sehemu na hela za tozo zitaibwa na mafisadi na walamba asali. Ripoti...
Wakati Kikosi cha Usalama Barabarani kikiendelea na misako mbalimbali inayosaidia kupunguza ajali za barabarani, mkuu wa kikosi hicho Mkoani Iringa , Mosi Ndozero ameikamata haice iliyyokuwa...
Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete licha ya shughuli zake kubwa za kitaifa...
Ni wajibu wa vyama vinavyojitanabaisha kuwa vya ukombozi kuwahamasisha na kuwaongoza watu kudai haki zao.
Mtaji wa vyama hivyo ni watu. Ni jukumu kipaumbele la vyama vinavyojitambua kuwa mkao wa...
Geita. Mkuu wa mkoa wa Geita, Martine Shigella amezitaka halmashauri za mkoa huo zinazopokea fedha za uwajibikaji wa kampuni kwa jamii (CSR) kuhakikisha miradi inayotekelezwa inaleta matokeo...
Sungusia hana Uwezo wa kuongoza nyakati Ngumu! Huyakimbia matatizo!
Historia ya Wakili Harold Sungusia inamuweka upande wa watu ambao hawana uwezo wa kukabiliana na changamoto ngumu pindi...
Tanzania itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa nchi 14 Wanachama wa Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika, Kanda ya Nne wa Mawaziri na Wakurugenzi wa Michezo utakaofanyika jijini Arusha kuanzia tarehe 2...
Tukio la tapeli wa kiroho Bwana Paul Mackenzie kuratibu mauaji ya watu zaidi ya 76 kwasasa, ambapo kwamjibu wa makadirio wa Idara ya upelelezi na maafa ya Kenya inasema wanaweza kufika 150 baadae...
DHAHABU NI NZITO KULIKO DAMU?
Kuna msemo wa Kiswahili unaosema “damu mzito kuliko maji”. Kwa ufahamu wangu, hakuna binadamu anayeweza kuishi bila kuwa na damu. Hivyo damu ni uhai. Lakini umuhimu...
Salaam,
Hatimaye ile ndoto ya siku nyingi ya Uwanja wa ndege sumbawanga uliokuwa hautumiki imetimia.
Leo Serikali inayoongozwa na rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Samia Suluhu Hassan...
Kipindi cha sakata la Membe,Makamba na Mzee Kinana kuhojiwa na kamati kuu Mh Membe pekee ndiye aliyegoma kuomba radhi kwa chama na viongozi kwa madai kuwa hakuna kosa alilofanya na alisema yuko...
Kwa yale yanayotokea Sudan kwa sasa nimeamua kumpa Freeman Mbowe baraka zote abaki kwenye Maridhiano vinginevyo watakaoumia ni Watu wa kawaida na Wanyonge
Maridhiano ndio mpango mzima...