johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,017
- 142,056
Waziri wa Ardhi Dr Mabula amesema taarifa iliyotolewa na Meya wa Kinondoni mh Songoro kwamba Wizara inashughulikia Migogoro wa Slipway Ltd siyo ya kweli
Dr Mabula amesema Sera ya kuboresha maeneo ya Masaki na Oysterbay ya Mwaka 2011-2031 ilipitishwa na Baraza la Mawaziri hivyo mgogoro wowote wa Wawekezaji unaamuliwa na Baraza la Mawaziri siyo Meya
Aidha Waziri Dr Mabula amemuagiza RC Makalla na Wakuu wote wa mikoa kusimamia kwa karibu maswala ya Wawekezaji ili kuwaondolea usumbufu kutoka kwa walio chini yao
Source: Star tv