Lema ana ushirika na shirika la ujasusi la Kenya? George Wajackoya ni jasusi nguli la Kenya, ndilo lilimtorosha Tanzania

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,004
20,681
George Wajackoya ni Jasusi ambalo limeajiriwa na shirika la ujasusi la Kenya, Kuna msemo kwamba jasusi hastaafu. Jasusi huyu ndiye alihusika na "mission" nzima ya kumtorosha Lema Tanzania, akamuweka Nairobi katika makazi ya Siri, na sasa ameingia Tanzania kumpokea.

Lema ni agent wa shirika la ujasusi la Kenya? Wana mikataba ipi na shirika hilo? Je, lina mkataba na CHADEMA? CHADEMA kila wanapofanya vurugu wakaumia, kuna taarifa kwamba huwa wanachukuliwa kwa siri kwenda kutibiwa Kenya, Mdude na Mbowe ni wafaidika wa matibabu.

Kunani kati ya hiki chama na intelligence ya Kenya?

Ngoja inyeshe tujue panapovuja.

Screenshot_20230228-081720.jpg
Screenshot_20230228-145646.jpg
 
George Wajackoya ni Jasusi ambalo limeajiriwa na shirika la ujasusi la Kenya, Kuna msemo kwamba jasusi hastaafu. Jasusi huyu ndiye alihusika na "mission" nzima ya kumtorosha Lemma Tanzania, akamuweka Nairobi katika makazi ya Siri, na Sasa ameingia Tanzania kumpokea.

Lemma ni agent wa shirika la ujasusi la Kenya? Wana mikataba ipi na shirika Hilo? Je Lina mkataba na Chadema? Chadema Kila wanapofanya vurugu wakaumia, Kuna taarifa kwamba huwa wanachukuliwa kwa Siri kwenda kutibiwa Kenya, Mdude na Mbowe ni wafaidika wa matibabu.

Kunani kati ya hiki chama na intelligence ya Kenya?

Ngoja inyeshe tujue panapovuja.

View attachment 2532262
Hamna jasusi mzee boss, nenda shule ukasome propaganda upya.
 
Mwendazake alikuwa anadhalilisha na kuua watu, as a results watu waliamua kumkimbia nchi kuokoa maisha yao, nani asiyelijua hili

Hacha uboya ww kuua na kuteka watu unadhani ni kazi ndogo?,Viongoz wote wa vyama vya upinzani hakuna aliyeuwawa ata mmoja....Zitto aliwai sema mfuasi wake ametekwa ila humu humu jamii forum tulikuja jua kwamba yeye ndo alimteka na kumficha baada ya kijana kuamua kumdai hela zake zaid ya mln kadhaa,ikagundulika na ikaisha hivyooo,
LISSU alisema alipigwa risasi na watu na anawajua akakimbia nchi na kuishi uamishoni hakuwai wataja zaidi ya kula bata tu mpaka karudi, hakutaja na karejea tena uhamishoni bila kuwataja.
Mbowe alilewa Faru John akaangka kwenye ngazi akavunjika mguu,Akasingiziwa amepigwa cctv zilionyesha ukweli yakaishia hapo.
N.k
So hacheni kupandikiza chuki kwa mzee Kidevu yule jamaa alikuaa mtu na Nusu...haitokaa itokee tupatemtu kama huyuu miaka nenda rudi
 
Ongeza nyama kuhusu huyo Jamaa basi..

Umeandika juu juu sana, Ni kama vile umetoa habari sehemu ukaikimbiza humu.

Tupe salio la huyu Mwamba na Lema, ilikuwajekuwaje?...

pIA TUREJEE YA hANSPOPE NA Meko , JINSI ALIVYOKIMBILIA kENYA
 
DUH Mnashtua sana ndugu. waBRITISH wana usemi " BIRDS OF SAME FEATHER FLOCK TOGETHER " jee hii inamaanisha nini, Iwapo Mzee WAJACKOYAH ni Mvuta Bangi Maarufu na hata anapigania Uchumi wa Bangi.
 
Back
Top Bottom