Tundu Lissu: Ukiwa CHADEMA ni shida, ukiwa CCM ni shida, hata ukiwa Askari polisi ni shida!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,974
141,985
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu amesema Tanzania ni nchi ya shida kila mahali.

Lissu amesema "Ukiwa CHADEMA ni shida, ukiwa CCM ni shida hata ukiwa Askari polisi ni shida. Askari polisi hela zao za uniforms na kufa na kuzikana SACCOS zimeliwa," amesisitiza Lisu

Lissu alikuwa akihutubia mkutano mkoani Kigoma.

Mlale Unono!
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema Tanzania ni Nchi ya Shida kila mahali

Lisu amesema " Ukiwa Chadema ni shida, Ukiwa CCM ni shida hata ukiwa Askari polisi ni shida"

Askari polisi hela zao za uniforms na Kufa na Kuzikana Saccos zimeliwa, amesisitiza Lisu

Lisu alikuwa akihutubia Mkutano mkoani Kigoma

Mlale Unono!
Kasemaje yule jama aliyelimbia na pesa zao hawa watumishi maalum?
 
Anajisahaulisha tu, huku akiwalamba lamba miguu taratibu. Tushasikia jumbe zao kuhusu polisi. Hakumbuki tu yeye alikuwa shida kwao, tena sana tu.
Ithiasa.
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema Tanzania ni Nchi ya Shida kila mahali

Lisu amesema " Ukiwa Chadema ni shida, Ukiwa CCM ni shida hata ukiwa Askari polisi ni shida"

Askari polisi hela zao za uniforms na Kufa na Kuzikana Saccos zimeliwa, amesisitiza Lisu

Lisu alikuwa akihutubia Mkutano mkoani Kigoma

Mlale Unono!
Lissu ni shujaa

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Ila kula hela za polisi na kuweka mambo hadharani imewapunguzia sana heshima.

Inabidi wajitahidi kurudisha hadhi ya jeshi la polisi.
Nakubaliana na wewe 100% viongozi wa Polisi wamesababisha hii aibu Kwa kutowajibishana. Kwani Kufa na Kuzikana iko Polisi peke yake?
 
Back
Top Bottom