Dkt. Mwigulu, kulipa watu na kupiga selfie kwenye mkutano uliokukosoa ni dharau kwa mamlaka za uteuzi

Skyway

JF-Expert Member
May 19, 2019
274
299
Jana ilikuwa siku ngumu kwa waziri wa Fedha Mhe Dr mwigulu nchemba kila mfanyabiashara wa Maduka kariakoo au kutoka mikoa mbalimbali tuhuma zilielekezwa kwa Dr mwigulu.

Waziri mkuu alisimama Masaa 6 na alipotaka kumuinua Mwigulu Sauti zilisikika Ajuzuluuuuu ; Hatumtaki
Waziri mkuu akamuokoa hakumsimamisha.

Baada ya muda mkutano kwisha kalipa waandishi kaposti selfie.

Hiyo ni dharau kwa mamlaka ya uteuzi; ni dharau kwa mkutano na yaliyosemwa yote.
 
Mwigulu ana madudu mengi, lakini pia ana maadui wengi, afanye jema, afanye baya lazima walie nae, pale alipo kuna watu wanaloga usiku na mchana lazima wamtoe ile nafasi
 
Jana ilikuwa siku ngumu kwa waziri wa Fedha Mhe Dr mwigulu nchemba kila mfanyabiashara wa Maduka kariakoo au kutoka mikoa mbalimbali tuhuma zilielekezwa kwa Dr mwigulu.

Waziri mkuu alisimama Masaa 6 na alipotaka kumuinua Mwigulu Sauti zilisikika Ajuzuluuuuu ; Hatumtaki
Waziri mkuu akamuokoa hakumsimamisha.

Baada ya muda mkutano kwisha kalipa waandishi kaposti selfie.

Hiyo ni dharau kwa mamlaka ya uteuzi; ni dharau kwa mkutano na yaliyosemwa yote.
Nakazia, dharau kubwa mno
 
Huyu ni aibu na mzigo kwa Serikali ya Samia na Chama chake,he should go.Samia kuendelea kumkumbatia inaonyesha kwamba naye ni kama yeye.Ndege wanaofanana ndio wanaotembea pamoja.
 
Jana ilikuwa siku ngumu kwa waziri wa Fedha Mhe Dr mwigulu nchemba kila mfanyabiashara wa Maduka kariakoo au kutoka mikoa mbalimbali tuhuma zilielekezwa kwa Dr mwigulu.

Waziri mkuu alisimama Masaa 6 na alipotaka kumuinua Mwigulu Sauti zilisikika Ajuzuluuuuu ; Hatumtaki
Waziri mkuu akamuokoa hakumsimamisha.

Baada ya muda mkutano kwisha kalipa waandishi kaposti selfie.

Hiyo ni dharau kwa mamlaka ya uteuzi; ni dharau kwa mkutano na yaliyosemwa yote.
Kamlipa nani? Kuna watu hawajawahi muona Waziri au Mbunge face to face kama wamepata fursa kwanini wasichukue ukumbusho?

Anaweza kuwa ana madhaifu yake ila hao wafanya biashara walimkosoa Mwigulu kama waziri ila baada ya kikao anakua MTanzania kama wenzie so mnacheka na kupiga story kama kawa.

Tusivunje umoja na mshikamano kisa vikao tu.
 
Huyu no aibu na mzigo kwa Serikali ya Samia na Chama chake,he should go.Samia kuendelea kumkumbatia unaonyesha kwamba naye ni kama yeye.Ndege wajaopatana ndio wanaotembea pamoja.
Kwa maoni Yako nani anafaa kuwa waziri wa uchumi?
 
Waziri wa fedha,sio wa uchumi.Anyway,sina ambaye yupo kichwani mwangu,ila out of 58+ million Tanzanians,hatuwezi kukosa a better alternative than Mwigulu,yupo,kinachotakiwa ni political will of the incumbent President kumuondoa.
 
Mamlaka ya uteuzi inajidharau yenyewe, kukumbatia huu ujinga wa Mwigulu ni ujinga zaidi, Samia ni dhaifu sana.
 
Waziri wa fedha,sio wa uchumi.Anyway,sina ambaye yupo kichwani mwangu,ila out of 58+ million Tanzanians,hatuwezi kukosa a better alternative than Mwigulu,yupo,kinachotakiwa ni political will of the incumbent President kumuondoa.
This question was strategic.... Wengi humu tunalalamika tu ila mkiombwa suluhu hamna. Maana naamini akichaguliwa hapo say Dr Kigwangallah mtalalamika zaidi.
 
Acheni chuki za ajabu ajabu... MTANZANIA anaweza akakonda kisa tu kasikia rafiki yake kapandishwa cheo Kazini. Kwahyo....
Umekaa toka Jana huna raha ukaamua utungue uzi ili wenzako waje wakufariji POLE SANA MKUU

Hivi kwa nini una penda kutuumbia Watanzania maneno machafu?
Ngoja nakwambia kama wewe naligamilia lako liko hivyo nakuomba kabisa usituingize katika laana zako za umaskini, allha, upumbavu wako mkae nao hukohuko
Pathetic idiot
 
This question was strategic.... Wengi humu tunalalamika tu ila mkiombwa suluhu hamna. Maana naamini akichaguliwa hapo say Dr Kigwangallah mtalalamika zaidi.
Suluhu ndio hiyo,wapo wengi,sio LAZIMA mimi niwajue,wafanye vetting vizuri,watu wapo.Tatizo ni kwamba wanachaguana kwa vimemo au kujuana.

Mwisho,nilijua maana ya wewe kuuliza hilo swali,ndio maana na mimi nikakujibu nikivyo-kujibu.Katika kuwatumikia Watanzania kama kukiwa na nia njema,nothing will be impossible.
 
Hivi kwa nini una penda kutuumbia Watanzania maneno machafu?
Ngoja nakwambia kama wewe naligamilia lako liko hivyo nakuomba kabisa usituingize katika laana zako za umaskini, allha, upumbavu wako mkae nao hukohuko
Pathetic idiot
Wewe jamaa mbona umepaniki sana.. kwanini na wewe unakuwa na upumbavu wa kufatilia maisha ya watu kwanini usifatilie maisha ya ndugu zako pumbavu.... kwani Mwigulu amekunyima hewa kwamba hupumui...hzo laana ni zako na ndugu zako kiazi we! Badilikeni achana na maisha ya watu fanya yako...mtu atahukumiwa na wanao mfanyia tathimini siyo kwa hzo chuki zako zilizo jaa wivu na fitna.
 
Jana ilikuwa siku ngumu kwa waziri wa Fedha Mhe Dr mwigulu nchemba kila mfanyabiashara wa Maduka kariakoo au kutoka mikoa mbalimbali tuhuma zilielekezwa kwa Dr mwigulu.

Waziri mkuu alisimama Masaa 6 na alipotaka kumuinua Mwigulu Sauti zilisikika Ajuzuluuuuu ; Hatumtaki
Waziri mkuu akamuokoa hakumsimamisha.

Baada ya muda mkutano kwisha kalipa waandishi kaposti selfie.

Hiyo ni dharau kwa mamlaka ya uteuzi; ni dharau kwa mkutano na yaliyosemwa yote.

Tuoneshe ushahidi wa kwamba aliwalipa watu ili wapige naye picha.
 
Back
Top Bottom