Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Kariakoo Martin Mbwana (Massawe) ni Mjumbe wa Mkutano mkuu wa CCM Kilimanjaro!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,130
Jana mwenyekiti wa Wafanyabiashara Kariakoo Martin Francis Massawe aka Martin Mbwana alisema kinachoendelea mgomo Kariakoo ni mambo ya Siasa.

Mimi nikadhani labda ni Ule Uchochezi unaofanywa na ex mayor Bonny wa Chadema.

Kumbe yeye mwenyewe Massawe ni Mjumbe wa Mkutano mkuu wa CCM huko Uchagani Kilimanjaro.

Hapo Wakinga na Waha lazima wachachamae akina bwashee kwa dili tunajulikana😄😄😄

Nchi ngumu sana hii!
 
Bwashee kuwa na heshima kwa hilo kabila, ndilo linaloongoza kwa jicho kali la kuziona fursa na kuzitumia hapa Tanzania wakati wengine wote mkiwa mmelala, hivyo msimkasirikie yule aliyechangamka, muhimu jisogeze karibu yake akuchangamshe pia.

Kama unabisha muulize Mwigulu..
 
Kila sehemu/idara/ chama/umoja), nk. Katika nchi hii, maccm lazima yatapenyenyeza tu mamluki wao, kwa ajili ya ku destabilize umoja. Hovyo kabisa.
Mtu aliyejiunga na chama cha siasa akipendacho kwa utashi wake, akagombea uwenyekiti kwa maamuzi yake na kushinda, kumuita mamluki ni kumkosea na kuingilia uhuru wake wa kufanya atakacho, pia ni kuwakosea wale waliomchagua kwa ridhaa yao, wacha udikteta wa kuingilia maamuzi yao.
 
Bwashee kuwa na heshima kwa hilo kabila, ndilo linaloongoza kwa jicho kali la kuziona fursa na kuzitumia hapa Tanzania wakati wengine wote mkiwa mmelala, hivyo msimkasirikie yule aliyechangamka, muhimu jisogeze karibu yake akuchangamshe pia.

Kama unabisha muulize Mwigulu..
Mkuu unachanganya wizi tamaa utapeli na kufanya biashara, jama ndo hivo wengi wangekua matajiri lakini hali zao kwao ni zile zile kama watanzania wengine.
 
Mtu aliyejiunga na chama cha siasa akipendacho kwa utashi wake, akagombea uwenyekiti kwa maamuzi yake na kushinda, kumuita mamluki ni kumkosea na kuingilia uhuru wake wa kufanya atakacho, pia ni kuwakosea wale waliomchagua kwa ridhaa yao, wacha udikteta wa kuingilia maamuzi yao.
Unaelewa lakini maana ya neno mamluki? Tuanzie hapa kwanza.
 
Tiss gani imejaa uvccm wanaolinda maslahi ya chama chao mchana na usiku!

Binafsi natamani kuiona Tiss iliyojaa watu wenye weledi wa hali ya juu kwenye kulinda maslahi ya nchi. Na siyo ya chama fulani cha siasa, au kikundi cha watu fulani.
Mkuu hi ni Africa na Tiss ni ya viwango vya Africa usitegemee iwe kama ya CIA ya US, viongozi wetu ni wa binafsi ni lazima wamiliki hizo tasisi zote.
 
Ni machache lakini hilo kabila limezidi mpaka lina ona kama wizi ni sifa, watoto wao kufundishwa wizi wakiwa bado wadogo, wanatumwa kuenda mikoa ya jirani kiwinda mali.
Mna mihemko sana, hebu tulieni, wakiwa wanafundishwa wizi huwa unakuwepo darasani?

Kama jibu lako ndio, basi nawe ni mwizi pia.
 
Jana mwenyekiti wa Wafanyabiashara Kariakoo Martin Francis Massawe aka Martin Mbwana alisema kinachoendelea mgomo Kariakoo ni mambo ya Siasa

Mimi nikadhani labda ni Ule Uchochezi unaofanywa na ex mayor Bonny wa Chadema

Kumbe yeye mwenyewe Massawe ni Mjumbe wa Mkutano mkuu wa CCM huko Uchagani Kilimanjaro

Hapo Wakinga na Waha lazima wachachamae akina bwashee kwa dili tunajulikana

Nchi ngumu sana hii!

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Mtu aliyejiunga na chama cha siasa akipendacho kwa utashi wake, akagombea uwenyekiti kwa maamuzi yake na kushinda, kumuita mamluki ni kumkosea na kuingilia uhuru wake wa kufanya atakacho, pia ni kuwakosea wale waliomchagua kwa ridhaa yao, wacha udikteta wa kuingilia maamuzi yao.
Kaka ukubali ukatae! Huyo jamaa hpo amewekwa kimkakati na serikali kwa ajili ya time km iz ndio maana unamuona anatetea maboss zake.
 
Back
Top Bottom