Jina la Dkt. Samia Suluhu Hassan sidhani kama kuna mwananchi wa bara la Afrika kwa karne hii ya ishirini na moja ambae halifafahamu jina hili, unashindwa vipi kufahamu jina la Rais wa kwanza...
Namsikia sikia aliyekuwa mgombea Urais 2020 kupitia CHADEMA Tundu Lissu akijisulubu nafsi yake kwa dhana ya kufikirika tu kwamba hakuna hata kiongozi hata mmoja aliyeshinda.
Anayesema haya...
MUFINDI KUSINI WAMZAWADIA RAIS SAMIA NG'OMBE
“Zawadi hizi; Ng'ombe Wawili, Mmoja kwa Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na mwingine kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo zimetolewa na...
Kwa wahusika,
Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi wilaya ya Sengerema hajatoa nakala za hukumu ya kesi nyingi na leo ni siku ya 36 baada ya hukumu kutolewa, na ikumbukwe kuwa muda wa kukata rufani ni...
Mungu ni mwema wakati wote.
Kwa wale wale wabobezi wa masuala ya uchumi na fedha naomba kujua tafsiri sahihi ya deni la taifa kuwa "Himilivu"
Kila zama na kitabu chake!
Pongezi kwako Mh Rais wetu kwa mageuzi yenye tija ktk nyanja kadhaa.
Maendeleo ni mchakato endelevu na wenye kuhitaji dira imara na maamuzi thabiti ya kimapinduzi.
Tunajenga miundombinu...
Mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe amewataka Watanzania Kutoka majumbani kwao na kuipambania nchi hii wakiwa mstari wa mbele
Mbowe anesema wakati Huu ambapo CCM wamelalia Magodoro ya Sponji " Vono"...
Chadema huko Ifunda Jimboni Kalenga Mkoani Iringa wamelalamika bendera zao katika vijiwe Vyote zimeshushwa usiku ili kupisha mapokezi ya Katibu mkuu wa chama Komredi Chongolo
Ifunda maeneo ya...
Hii ndio Taarifa mpya iliyopatikana leo kutoka huko Iringa kwenye Jimbo la Kalenga , kwamba kwa vile Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Chongolo anafanya ziara Kwenye Jimbo la Kalenga basi ikaamriwa bendera...
Hili suala la kuchangisha walimu mchango wa mwenge limekuwa endelevu Kwa sababu Kila mwaka walimu wanakuwa wakichangia Kwa kulazimisha.
Mbaya zaidi Kila mwaka fedha inakuwa ikiongezeka...
BILIONI 7.2 KUPELEKA MAJI SAFI NA SALAMA VIJIJI 8 HALMASHAURI YA WILAYA YA MOMBA
MBUNGE wa Jimbo la Momba Mhe. Condester Sichalwe (CCM) amesema matamanio yake ni kuona Vijiji vyote 72 vya...
Akihitimisha Ziara ya Operesheni +255 Mkoani Tabora mwenyekitu wa Chadema Mh. Mbowe anesema katika ukaguzi waliofanya Kigoma, Katavi na Tabora wamegundua hakuna Serikali ya Kijiji wala Mtaa...
WIZARA YA TAMISEMI INAKUSAIDIA KUTENGA FEDHA KWA AJILI YA UJENZI WA STENDI YA HALMASHAURI YA MOMBA
Katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni Jijini Dodoma Mbunge wa Jimbo la Momba Mhe...
Baraza la Biashara la Afrika Mashariki limemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kukabidhi ardhi kwa baraza hilo yenye ukubwa wa hekta tatu.
Hati miliki ya ardhi hiyo namba 4/2 iliyopo eneo la...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Sherehe ya kuapishwa Rais Mteule wa Nigeria Mhe. Bola Tinubu katika Eagle Square Abuja chini Nigeria leo tarehe 29...
Kile Chama Pekee cha Kisiasa Nchini Tanzania chenye uwezo wa kufanya mikutano ya hadhara , leo kimeingia Mkoani Tabora na kutoa elimu Kabambe kuhusu Umuhimu wa Watanzania kuhakikisha katiba mpya...
Uzi huu utakuwa maalumu kwa kupeana taarifa za miradi mbalimbali inayosuasua au iliyokwama kumalizika ujenzi wake ili kusaidia kuiamsha serikali iweze kutupia jicho kwenye hiyo miradi iweze kuisha...
Hapa ni kauli tokea katika kile chama ambacho wapuuzi hawapendi kusikia kwamba ni tegemeo la wengi:
Lissu: Tusipopata Katiba Mpya kabla ya Uchaguzi tunyamaze milele
Ameyatamka TAL rais wa...
MHE. JANEJELLY NTATE AFANYA KONGAMANO LA WALIMU WA SANYANSI NA HISABATI MKOA WA DAR KUTAFUTA CHANZO CHA WANAFUNZI KUTOKUWA NA UFAULU MZURI KATIKA MASOMO HUSIKA HASA WANAFUNZI WA KIKE
Mhe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.