Ifunda: Chadema wadai Bendera zao zote zimeshushwa na UVCCM Ili kupisha Ziara ya Katibu mkuu wa Taifa Komredi Chongollo

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,025
Chadema huko Ifunda Jimboni Kalenga Mkoani Iringa wamelalamika bendera zao katika vijiwe Vyote zimeshushwa usiku ili kupisha mapokezi ya Katibu mkuu wa chama Komredi Chongolo

Ifunda maeneo ya Ihemi ndiko kuna Chuo Kikuu cha UVCCM

Siasa ni Sayansi!
 
Wao walikua wap pind zinashushwa na wanataka Watanzania wawasaidie nn

Ni jukumu lao kurinda mali za chama na sio kuja kutafta huruma za wananchi
 
Chadema huko Ifunda Jimboni Kalenga Mkoani Iringa wamelalamika bendera zao katika vijiwe Vyote zimeshushwa usiku ili kupisha mapokezi ya Katibu mkuu wa chama Komredi Chongolo

Ifunda maeneo ya Ihemi ndiko kuna Chuo Kikuu cha UVCCM

Siasa ni Sayansi!
Akili ndogo ikishusha bendera za Wapinzani inaona imefanya jambo la maana sana
 
Chadema huko Ifunda Jimboni Kalenga Mkoani Iringa wamelalamika bendera zao katika vijiwe Vyote zimeshushwa usiku ili kupisha mapokezi ya Katibu mkuu wa chama Komredi Chongolo

Ifunda maeneo ya Ihemi ndiko kuna Chuo Kikuu cha UVCCM

Siasa ni Sayansi!
UVCCM kuna VIHIYO wa kutosha kwani BENDERA zinazuia Ziara kufanyika?
 
Chadema huko Ifunda Jimboni Kalenga Mkoani Iringa wamelalamika bendera zao katika vijiwe Vyote zimeshushwa usiku ili kupisha mapokezi ya Katibu mkuu wa chama Komredi Chongolo

Ifunda maeneo ya Ihemi ndiko kuna Chuo Kikuu cha UVCCM

Siasa ni Sayansi!
Ila ni ujinga ambao haupasw kuushabikia kwa maan kitambaa juu ya mti kinakuzuia nn kufanya yako? While unamiliki mamlaka zote za nchi!!
 
Chadema huko Ifunda Jimboni Kalenga Mkoani Iringa wamelalamika bendera zao katika vijiwe Vyote zimeshushwa usiku ili kupisha mapokezi ya Katibu mkuu wa chama Komredi Chongolo

Ifunda maeneo ya Ihemi ndiko kuna Chuo Kikuu cha UVCCM

Siasa ni Sayansi!
Hicho chuo lusinde Livingstone alipitia kusoma hapo
 
Back
Top Bottom