Kalenga: Bendera zote za Chadema kata ya Ifunda zang'olewa ili kumpisha Chongolo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,726
218,288
Hii ndio Taarifa mpya iliyopatikana leo kutoka huko Iringa kwenye Jimbo la Kalenga , kwamba kwa vile Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Chongolo anafanya ziara Kwenye Jimbo la Kalenga basi ikaamriwa bendera zote za Chadema zing'olewe usiku wa manane ili Mtukufu Chongolo asizione.

Bado haijafahamika kama siasa hizi za Kishamba zimeletwa na Chongolo Mwenyewe au watu wa Kalenga wameamua tu kujipendekeza.

Bali tunawakumbusha tena Watu wa Kalenga kwamba , kanuni ni ile ile tu wala haijabadilika , KILA UBAYA UTALIPWA.
 
Hii ndio Taarifa mpya iliyopatikana leo kutoka huko Iringa kwenye Jimbo la Kalenga , kwamba kwa vile Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Chongolo anafanya ziara Kwenye Jimbo la Kalenga basi ikaamriwa bendera zote za Chadema zing'olewe usiku wa manane ili Mtukufu Chongolo asizione

Bado haijafahamika kama siasa hizi za Kishamba zimeletwa na Chongolo Mwenyewe au watu wa Kalenga wameamua tu kujipendekeza .

Bali tunawakumbusha tena Watu wa Kalenga kwamba , kanuni ni ile ile tu wala haijabadilika , KILA UBAYA UTALIPWA
Sisi tunataka kusikia hao waliong'oa hizo bendera wameshavunjwa viuno na kutobolewa macho mbona Bavicha Iringa mnakuwa wapole bila sababu za msingi? Jino kwa jino ndiyo kanuni muafaka
 
Hii ndio Taarifa mpya iliyopatikana leo kutoka huko Iringa kwenye Jimbo la Kalenga , kwamba kwa vile Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Chongolo anafanya ziara Kwenye Jimbo la Kalenga basi ikaamriwa bendera zote za Chadema zing'olewe usiku wa manane ili Mtukufu Chongolo asizione

Bado haijafahamika kama siasa hizi za Kishamba zimeletwa na Chongolo Mwenyewe au watu wa Kalenga wameamua tu kujipendekeza .

Bali tunawakumbusha tena Watu wa Kalenga kwamba , kanuni ni ile ile tu wala haijabadilika , KILA UBAYA UTALIPWA
Bali tunawakumbusha tena Watu wa Kalenga kwamba , kanuni ni ile ile tu wala haijabadilika , KILA UBAYA UTALIPWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanamdanganya.....bahati mbaya viongozi wa ccm wanapenda kupakwa mafuta kwa mgogo wa chupa
 
Aende mnyika kule na nyie mkashushe za CCM
Ushamba huo wa kushusha bendera CDM hawana. Na CDM hawawezi kuiga mambo hayo ya kishamba. Ukipoteza ushawishi na ukawa unatumia mbeleko ya vyombo vya dola zaidi, ndio utafanya mambo hayo.
 
..Chadema tulieni.

..CCM hawana hoja.

..Hayo yanayotokea ni mbinu ya kutaka mu-overeact ili mikutano yenu ya hadhara ifungiwe.
 
Wanaleta haya ya akina Aden Rage

2183704_IMG_1183.jpg
 
Ushamba huo wa kushusha bendera CDM hawana. Na CDM hawawezi kuiga mambo hayo ya kishamba. Ukipoteza ushawishi na ukawa unatumia mbeleko ya vyombo vya dola zaidi, ndio utafanya mambo hayo.
Vizuri unalitambua Hilo, mchadema ukishusha bendera ya CCM ujue kabisa jela inakuhusu.
 
Ni kweli maana CCM bado wana siasa za kizamani na kishamba sana. Ukiwa unaungwa mkono huna haja ya kufanya siasa za kishamba.
 
Back
Top Bottom