Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa mara nyingine elimu haina mwisho na ni mburula pekee mwenye kuamini kuwa kafika. Hapo kwa majirani Ruto na Kenya Kwanza wanapelekwa mpera mpera. Kisa na mkasa kitisho cha uhakika cha nguvu ya...
0 Reactions
15 Replies
715 Views
Mtoto wa mwasisi wa mapinduzi ya Zanzibari amelipuka na madai kuwa Dr Hussein Mwinyi Raisi wa Zanzibari na CCM hawajawahi kushinda uchaguzi wowote Zanzibari tangu uchaguzi wa mfumo wa vyama vingi...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika anesema amepokea Barua Kutoka kwa Msajili wa vyama vya Siasa Jaji Mutungi ikiwaalika kushiriki Mkutano wa kuratibu Katiba Mpya Mnyika amesema Serikali imeamua...
14 Reactions
75 Replies
5K Views
Naomba tu kuelimishwa namna Mgombea uRais wa Zanzibar anavyopatikana hapo Chadema Itatusaidia na itamsaidia yule balozi Karume kule Mifenesini Ahsante! Pia soma > Lissu: 2020 Chadema tulifanya...
0 Reactions
0 Replies
354 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Mbowe anesema ukiondoa Wafanyabiashara wachache, Watanzania walio wengi hawajui thamani ya kodi zao. Wengi hawajui hata kama wanalipa kodi ndio sababu fedha...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema reli ya kisasa (SGR) haitokosa umeme wala kukwama kufanya kazi kwa sababu ya kukatika au kutokea hitilafu katika miundombinu ya umeme. Kauli hiyo...
0 Reactions
2 Replies
701 Views
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dr Philemon Senguti anakwamisha uwekezaji wa ndani Bunge liliagiza Wakulima wa Dengu kuhuza dengu katika Soko huria ( Free Market) Nje ya Mfumo wa AMCOs lakini cha...
6 Reactions
15 Replies
3K Views
Kama tulisharuhusu Wanasiasa katika level fulani wawe na Kinga ya kutoshtakiwa leo tunalalamika nini? Tuache double standard Wanasiasa kwa sababu kinachawakinga Nyie ndio kinawakinga na Wale pia...
1 Reactions
2 Replies
543 Views
Mnakumbuka siku Rais alikutana na Mawaziri Wakuu wastaafu? Walisimama kuongea machache, Lakini kilichonishtua kwenye mkutano ule ni kauli ya Sumaye ya kusema nimehamia Chadema kwa faida ya CCM...
8 Reactions
17 Replies
3K Views
Amani iwe juu yenu Watanzania wenzangu! Nimeitafakari vya kutosha nchi yangu mpaka hapa ilipo. Hakuna awezae kuzuia kifo isipokua ni Mungu pekee, raisi wangu mama yetu ameingia madarakani...
3 Reactions
14 Replies
988 Views
Siasa za nchi hii zimekuwa za kijinga sana aisee mbaya zaidi hata wananchi wenyewe wamekuwa kama mbwa koko hawawezi kuuma yaani wapowapo yaani hawana hili wala lile kila uchwao kulalamika tu bila...
0 Reactions
3 Replies
515 Views
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 37 leo Mei 31, 2023. Kuanzishwa kwa Benki ya Vijana ya wajasiriamali Serikali imesema ipo kwenye hatua ya kuandaa mkakati wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna mengi yanasemwa kuhusu chama cha walimu na isivyo bahati kati ya hayo mengine ni hasi. Siku ya mei mosi 2023 katika uwanja wa Jamhuri Morogoro wale wenye hasi wangeweza kujibiwa na wimbo wa...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
KUMBUKUMBUYA KIFO CHA JPM KWA UPANDE WANGU. Ilikuwa saa 5 usiku 17 March 2021. Nilikuwa ndani ya kuta za gereza la Ruanda mkoani Mbeya selo namba 16. Nikasikia kelele nyingi selo zingine...
16 Reactions
44 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa ACT - Wazalendo mzee Juma Duni Haji amesema endapo Wapinzani hawataamka kutoka usingizini na kuungana basi CCM itaendelea kutawala kwa zaidi ya miaka 100 ijayo. Mzee Duni amesema...
4 Reactions
77 Replies
4K Views
Hebu angalia watu kama akina mpina wanadhulumi ardhi waziwazi halafu waandishi wanazuiwa kuhoji chochote na ukihiji unapotezwa. Leo wananchi wameandamana kwamba walidhulumiwa enzi ja jpm. Makonda...
14 Reactions
61 Replies
4K Views
Mama kwa kifupi hatua unazochukua katika kilimo sina uhakika na zote lakini hili la kufungua masoko ya nje ni mwarobaini wa kilimo. Kilimo cha Tanzania kilidumaa kwa sababu ya upofu wa viongozi...
4 Reactions
44 Replies
3K Views
Akizungumza kwenye Oparesheni ya chama chake inayoitwa 255 ambayo sasa iko Mkoa wa Katavi Tundu Lissu, amedai kwamba amepewa Taarifa ya kupelekwa Muswada wa marekebisho ya sheria ya Usalama wa...
24 Reactions
118 Replies
9K Views
Wakuu kwa miaka ya hivi karibuni Nchi ya Zambia Imekuwa Inaleta Sana chokochoko na usumbufu kwenye issue ya kufanya biashara na Tanzania. Mara Wazuie Malori yetu,Mara waseme yamebeba...
5 Reactions
144 Replies
15K Views
Back
Top Bottom