Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Serikali katika Mwaka huu wa Fedha yaani 2022/23 imetoa vibali vya Ajira 30,000. Maelezo hayo yametolewa na Mh. Ridhiwani Kikwete, Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama kuna watu walikuwa wanasumbua CHADEMA katika mwonekano wa jamii ni John Shibuda. Huyu bwana alikuwa CCM akatoka na kuingia CHADEMA ili agombee ubunge na CHADEMA ikampitisha na kweli...
8 Reactions
48 Replies
6K Views
Mbunge wa Makambako, Deo Sanga amesema Rais Magufuli amefanya kazi kubwa katika nafasi yake ya Urais. Ametoa ombi la kuongezewa muda wa kubaki madarakani kama Rais ili mipango anayoendelea nayo...
15 Reactions
328 Replies
32K Views
Mwanza. Wahandisi 40 kutoka Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) wametembelea Daraja la Kigongo-Busisi jijini Mwanza kujifunza masuala mbalimbali ikiwemo teknolojia mpya. Teknolojia ya...
12 Reactions
56 Replies
8K Views
Narudia tena na tena hatutakuja kupata Marais wanaojua siasa, Uongozi na utawala Kama Rais Hayati Nyerere na mstaafu Kikwete. Nyerere pamoja na misukosuko yote ya vita ila alisimama na watanzania...
9 Reactions
52 Replies
4K Views
Wadau nawasalimu. Bunge letu limesema Sakata la Report ya CAG litajadiliwa November kupisha mjadala wa ushoga. Tukumbushane tu Sakata la Richmond, lingesubiri nalo November Mzee aliyejiuzulu...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Elimu ni mojawapo ya nguzo kuu za maendeleo ya taifa lolote lile. Kwa bahati mbaya, mfumo wa elimu wa Tanzania umekuwa ukiathiriwa na changamoto nyingi kwa muda mrefu sasa. Wengi wanaamini kuwa...
1 Reactions
2 Replies
619 Views
Vitu vichache vya kipekee vinajionyesha katika bajeti ya Tanzania iliyofanyiwa ukaguzi na CAG. Kwa mfano, kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania kwenye miaka ya hivi karibuni, mapato...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Haiwezekani kabisa CAG afanye kazi yake akabidhi wezi wa fedha zetu, alafu tuendelee kupanga bajeti nyingne, ili tuwape fursa wakaibe tena!!? Nawaomba wote wenye uzalendo wa kweli tuungane pamoja...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
468 WAFUTIWA UANACHAMA WA NHIF KWA UDANGANYIFU Na Mwandishi Wetu Katika kupambana na udanganyifu unaofanywa na wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wasio waaminifu jumla ya wanachama 468...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Miezi miwili inakatika haiujulikani waziri huyu mchapakazi yuko wapi? Kwenye matukio muimu kama bungeni haonekani, kuanguka kwa ghorofa kunakomhusu ukizingatia bodi zote za ERB, na AQRB ziko chini...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama kuna ambao nitawakwaza katika hili nawaombeni Radhi ila nikiwa kama Mzalendo na Mtanzania wa kweli nadhani nami pia nina Wajibu katika Kuwasilisha yale ambayo kiukweli nakumbana nayo 24/7...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
"Mimi ni mzee sasa na maneno yangu pengine hudhaniwa ndoto za uzee. Ningetamani mambo mawili, moja la hakika lingine la kufikiriwa. La hakika tuwashawishi watanzania Rais wetu asipate kura ya...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Baada ya uchaguzi mkuu ambao ni moja ya chaguzi mbaya kupata kutokea Tanzania, bunge la Tanzania kupitia wabunge wake wa chama kimoja waliopatikana baada ya uchaguzi kuchafuliwa na tume ya...
9 Reactions
45 Replies
4K Views
Juzi wakati Rais anapokea Report ya CAG, alitamka mambo mengi kwa hasira na jazba sana hadi wengine wanaona hakuwa sahihi. Kwa cheo alicho nacho na maana ya report ya CAG hakutakiwa kutoa hukumu...
12 Reactions
46 Replies
4K Views
Mubashara: Mhe. Dkt. Philip Isdori Mpango ameapishwa kuwa makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; na Jaji mkuu wa Tanzania mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma katika lkulu, Chamwino...
7 Reactions
151 Replies
20K Views
Bunge la 12 Mkutano wa 11, Kikao cha Saba, Ijumaa Aprili 14, 2023 SERIKALI YASEMA TANZANIA INA DIASPORA MILIONI 1.5 Takwimu hizo za Diaspora ni kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisi za Kibalozi za...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro Katika kutekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi, Machi 27-29, 2023 alipofanya ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo alichangia kiasi...
0 Reactions
0 Replies
972 Views
Habari wadau wa siasa. Mnamkumbuka mkulima wa kigoma aliyewania urais ndani ya CCM 2015? Nakumbuka pia alipungukiwa hela za kuchukua Fomu na alipambana hadi kesho yake akazipata na kuchukua fomu...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Back
Top Bottom