Ni wakati wa kubinafisisha Bunge letu!

Trable

JF-Expert Member
Jan 3, 2023
1,783
3,281
Amani Tanzania!

Sina mengi ya kuwachosha wana janvi!

Muda wa kubinafisisha Bunge letu umewadia rasimi!

Ninazo sababu kuu mbili tu, mengine mtaongezea

# Ni kwa sababu bunge letu, halina uwezo kabisa wa kushauri serikali na pia halina uchungu na watanzania kwa ujumla, lipo tayari kupitisha miswada na kubinafisisha mashirika ya kiserikali bila kujali hasara nchi itapata na watanzania wangapi wataumia!

#Kama bunge ndiyo dira ya serikali na limeonyesha kufeli kwa kiwango hiki, tujivunie nini sisi kama nchi, kwa nini lisibinafishwe ili tuwape watu wa nchi za kikoloni huko?

#Kwa kuwa nchi yetu huwenda ndio imeanza safari ya haraka sana kuelekea kutawaliwa tena na mkoloni, basi nadhani ni vema bunge letu ndo likawa la kwanza kubinafisishwa ili lisivuruge zaidi kubinafisisha vitu ambapo faida yake ni ndogo ukilinganisha na tutakapopata wabia watakaokuwa na uelewa zaidi ya hapa tulipo!

Tunapoanza kubinafisisha Bandari, kitakachofuata ni viwanja vya ndege, 😂😂😂

Sjui tutakuwa tunavalia wapi sisi baada ya kuoga?
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Amani Tanzania!

Sina mengi ya kuwachosha wana janvi!

Muda wa kubinafisisha Bunge letu umewadia rasimi!

Ninazo sababu kuu mbili tu, mengine mtaongezea

# Ni kwa sababu bunge letu, halina uwezo kabisa wa kushauri serikali na pia halina uchungu na watanzania kwa ujumla, lipo tayari kupitisha mswada wa ubinafisishaji shirika fulani la kiserikali bila kujali hasara nchi itapata na watanzania wangapi wataumia!

#Kama bunge ndiyo dira ya serikali na limeonyesha kufeli kwa kiwango hiki, tujivunie nini sisi kama nchi, kwa nini lisibinafishwe ili tuwape watu wa nchi za kikoloni huko?

#Kwa kuwa nchi yetu huwenda ndio imeanza safari ya haraka sana kuelekea kutawaliwa tena na mkoloni, basi nadhani ni vema bunge letu ndo likawa la kwanza kubinafisishwa ili lisivuruge zaidi kubinafisisha vitu ambapo faida yake ni ndogo ukilinganisha na tutakapopata wabia watakaokuwa na uelewa zaidi ya hapa tulipo!

Tunapoanza kubinafisisha Bandari, kitakachofuata ni viwanja vya ndege, 😂😂😂

Sjui tutakuwa tunavalia wapi sisi baada ya kuoga?
Ingawa ni kitu hakiwezekan ila bunge letu ni mtihan san. Bora lile la kipind cha Mzee Sita, lkn la kuanzia awamu ya tano na sita 😪😪
 
Amani Tanzania!

Sina mengi ya kuwachosha wana janvi!

Muda wa kubinafisisha Bunge letu umewadia rasimi!

Ninazo sababu kuu mbili tu, mengine mtaongezea

# Ni kwa sababu bunge letu, halina uwezo kabisa wa kushauri serikali na pia halina uchungu na watanzania kwa ujumla, lipo tayari kupitisha miswada na kubinafisisha mashirika ya kiserikali bila kujali hasara nchi itapata na watanzania wangapi wataumia!

#Kama bunge ndiyo dira ya serikali na limeonyesha kufeli kwa kiwango hiki, tujivunie nini sisi kama nchi, kwa nini lisibinafishwe ili tuwape watu wa nchi za kikoloni huko?

#Kwa kuwa nchi yetu huwenda ndio imeanza safari ya haraka sana kuelekea kutawaliwa tena na mkoloni, basi nadhani ni vema bunge letu ndo likawa la kwanza kubinafisishwa ili lisivuruge zaidi kubinafisisha vitu ambapo faida yake ni ndogo ukilinganisha na tutakapopata wabia watakaokuwa na uelewa zaidi ya hapa tulipo!

Tunapoanza kubinafisisha Bandari, kitakachofuata ni viwanja vya ndege, 😂😂😂

Sjui tutakuwa tunavalia wapi sisi baada ya kuoga?
Mtajuana wenyewe cc bunge la chama kimoja linatuhusu nn bazee
 
Nakubaliana na HOJA yako, like Bunge Kuna wabunge wachache tu huenda ni Asilimia 5 ambao akiongea unaona Facts !!.

Walobaki wengine wote ni vichwa maji, kazi yao ni Kupiga makofi, kusema ndioooooooooooo, Kucheka chekaaaa.

Fatilia mabunge ya wenzetu wazungu, wanaongea Vitu vya maana mwanzo mwisho.

Kwa aina hiii ya Bunge unatàkiwa uwe na Serikali Makini yenye RAIS MWENYE AKILI, HEKIMA NA BUSARA KAMA ALIVYOKUA HAYATI JPM.

Namaanisha nn?? Maana yangu ni kwamba, Ombwe lilanoletwa na Bunge, lingekia linafunikwa na Serikali .

Sasa angalieni Bunge lilivyo, njoooni kwenye Serikali hasa Urais 🤣.

Ndo utajua Kipofu anaongozaa na Kipofu !!.
 
Amani Tanzania!

Sina mengi ya kuwachosha wana janvi!

Muda wa kubinafisisha Bunge letu umewadia rasimi!

Ninazo sababu kuu mbili tu, mengine mtaongezea

# Ni kwa sababu bunge letu, halina uwezo kabisa wa kushauri serikali na pia halina uchungu na watanzania kwa ujumla, lipo tayari kupitisha miswada na kubinafisisha mashirika ya kiserikali bila kujali hasara nchi itapata na watanzania wangapi wataumia!

#Kama bunge ndiyo dira ya serikali na limeonyesha kufeli kwa kiwango hiki, tujivunie nini sisi kama nchi, kwa nini lisibinafishwe ili tuwape watu wa nchi za kikoloni huko?

#Kwa kuwa nchi yetu huwenda ndio imeanza safari ya haraka sana kuelekea kutawaliwa tena na mkoloni, basi nadhani ni vema bunge letu ndo likawa la kwanza kubinafisishwa ili lisivuruge zaidi kubinafisisha vitu ambapo faida yake ni ndogo ukilinganisha na tutakapopata wabia watakaokuwa na uelewa zaidi ya hapa tulipo!

Tunapoanza kubinafisisha Bandari, kitakachofuata ni viwanja vya ndege, 😂😂😂

Sjui tutakuwa tunavalia wapi sisi baada ya kuoga?
Naunga mkono hoja
 
Mkuu hao wabunge wenyewe sio wa kuwaamini yawezekana nao wamehongwa fedha na kuahidiwa kurudi Bungeni 2025.
 
Back
Top Bottom