Eraldius
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 1,120
- 906
Kupitia akaunti yake ya Twitter ameandika Balozi Hamis Kagasheki;
Nakumbuka baada ya kupata uhuru 1961, baadhi ya viongozi waliona ni adabu kumuita kiongozi wa wakati huo kama "Mtukufu" na vyeo vingine. Aliposikia alikuwa mkali mno. Alisema mbali na utambulishi wa nyadhfa zake ie Rais au Mwenyekiti wa Chama, hakutaka aitwe kwa titles nyingine Alisema yeye sio Mungu kuitwa "Mtukufu". Alisema kapewa "Udaktari", "Uprofessor" nk. anashukuru lakini visitumike.
Alisema yeye alikuwa "Mwalimu" na kuwa "Rais" hakujabadili historia yake kwa hiyo hilo atalikubali na tangu hapo sote tukamuita "Mwalimu".
#KSK_Balozi