Kwa elimu ya awali kabisa ya sheria inayohusiana na mkataba kile kilichopelekwa bungeni na kuzaa azimo la bunge hakina sifa ya kuitwa mkataba (contract) bali ni makubaliano (agreement). Wasomi...
Waziri wa Fedha Dkt. #MwiguluNchemba, amependekeza marekebisho hayo kwa mujibu wa Kifungu cha 86(1) cha Sheria ya Usimamizi wa Kodi ili kushusha hadi Tsh. 3,000,000 (20%) ya kiwango cha Adhabu...
Nimeshukuru Serikali kwenye budget Mhe. Mwigulu amejaribu kuangalia marekebisho kwenye suala la ulipaji wa VAT.
Lakini nimeona bado pendekezo lake la kuweka turnover ya milioni 200 bado haijakaa...
Nimemsikiliza Lissu vizuri, anasema tumeuzwa na Raisi, kazi iendelee.
Nilikuwa mmoja wa watu ambao nilimpinga Lissu kipindi kile kwenye yale mambo ya makinikia. Mwisho Lissu ameibuka mshindi...
Watanzania tambueni haya kuhusu DPW:-
Eneo lihitajilo wafanyakazi 100 kwa kawaida Dubia Port hupunguza na kubaki 2 pekee hii ni kwa sababu ya mifumo ya TEHAMA.
Tarajieni CEO na wasaidizi wake...
Hivi viongozi wamepatwa na Uwendawazimu gani?
Nimepita sehemu nikamwona Mwigulu anahutubia. Mwanzoni sikujua ni tukio gani. Baadaye, nikashangaa kuona watu wengi wanasonya. Nilipouliza...
Siwafahamu kiundani,.lakini nina uhakika vyombo vya dola vinawafahamu vizuri zaidi na ndio maana vikapeleka majina yao kwa Mh. Rais kwa nafasi za Ukuu wa Wilaya.
Sasa kinachoonekana kwa sasa ni...
Kwa mtazamo wangu ghafi,
Hawa mabwana wangepewa bandari zilizopooza na kufakufa wazifufue zishindane na bandari yetu mama ya DSM.
Sisi tungewawekea tu miundombinu kuhakikisha wanatekeleza wajibu...
Dunia inabadilika sana, wanasiasa, wachumi na watu wa mipango wetu wasije kuja kutoa visingizio kuwa hawakujua kuwa itakuwa hivi.
Mabadiliko ya uchumi na mpangilio wa uchumi wa dunia inaonekana...
Ama kwa hakika hali ni tete, pamoja na kuchukuliwa poa , wananchi wa Tanzania ni kama wameanza kuamka kutoka kwenye usingizi wa pono.
Pamoja na yote yanayoendelea Bungeni kuhusiana na Bajeti ya...
Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Bajeti 2023/2024 ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango. Saa 09:00 Mchana. Tarehe 15...
Pesa ambayo Mama Samia meipeleka kwa wananchi tangu aingie madarakani ni pesa nyingi Sana. Amejenga madarasa, vituo vya afya, ameanzisha utaratibu Wa kupeleka mil 500 kila jimbo kwa ajili ya...
Ndugu zangu watanzania,
Maneno machache ya Rais wetu shupavu, madhubuti,mchapa kazi,Hodari,mzalendo,Jasiri na imara mh mama Samia suluhu Hassani yamewagusa mamilioni ya watanzania.kazungumza kwa...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyapendekeza...
Balozi Ally Karume, mwanaccm aliyeshiriki Makandokando yote ya kuhujumu chaguzi za Zanzibar ili kuibeba CCM, na ambaye hivi karibuni ameamua kutubu na kumrejea Muumba wake kwa kusema ukweli mtupu...
Unakaa na kutumia elimu ya PhD kuweka Kodi kwenye matangazo ya akina Juma Lokole! Mtu anapost kutangaza Shanga na Chupi halafu eti naye unamfikiria kama Chanzo cha Mapato!
Tumechoshwa na watu...
Rais Samia anesema atakamilisha miradi yote ya Sengerema kwa sababu kule ni ukweni kwa Shujaa Magufuli
Rais Samia amesema amekuta miradi mingi ya Buchosa na Sengerema kwenye mafaili hivyo...
Naweka wimbo ambao Waziri wa Fedha Mwigulu Nchembe ameunukuu, "Mpeni Mama Maua yake."
Wimbo huu ni wa Roma Mkatoliki, usikilizeni, lakini je, kwanini wabunge walilipuka kwa shangwe lote lile...
Wana wema,
Ni muda sasa sijamtia machoni wala kumsikia hata kumsoma magazetini isiyo kawaida yake.
Namzungumzia Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Komredi Abdulhaman Kinana. Hata sakata la DP World...