CHADEMA yaingia Kanda ya Kusini

CHADEMA yaingia Kanda ya Kusini

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
82,189
Reaction score
88,145
Chadema Sasa waja na mbinu ya Kufuturisha Ili kuvutia Watu kwenye Mikutano Yao 😁😁

20230412_164448.jpg
20230412_164450.jpg
Inaonesha Wananchi wamechoshwa na hadithi zisizo na matokeo..

Wakubwa wanalamba asali harafu wanakuja kuwapigia kelele Watu.
 
Chadema Sasa waja na mbinu ya Kufuturisha Ili kuvutia Watu kwenye Mikutano Yao 😁😁

View attachment 2585449View attachment 2585450Inaonesha Wananchi wamechoshwa na hadithi zisizo na matokeo..

Safi sana. Wananchi wakishapewa somo kuhusu madhila ya ccm wanapewa na futari wasipate shida kuwahi muda wa kufuturu. Big up CHADEMA
 
Chadema Sasa waja na mbinu ya Kufuturisha Ili kuvutia Watu kwenye Mikutano Yao 😁😁

View attachment 2585449View attachment 2585450Inaonesha Wananchi wamechoshwa na hadithi zisizo na matokeo..

Wakubwa wanalamba asali harafu wanakuja kuwapigia kelele Watu.

Kwahiyo wakienda kwenye futari ndio wataona matokeo? Mtu mzima kuleta story isiyochekesha nayo ni aibu ya aina fulani.
 
Chadema Sasa waja na mbinu ya Kufuturisha Ili kuvutia Watu kwenye Mikutano Yao 😁😁

View attachment 2585449View attachment 2585450Inaonesha Wananchi wamechoshwa na hadithi zisizo na matokeo..

Wakubwa wanalamba asali harafu wanakuja kuwapigia kelele Watu.
yaani wewe ni mpumbavu kuliko wapumbavu wengine, VIJANA wa CCM mtakua na akili kidogo lini? Nachoka kuwaelekeza kila siku
 
Acheni upumbavu wenu nyie, muwage na akili kidogo tafadhali, acheni kutumia makalio kufikiria
Kama mna kiongozi kaliba ya jambazi sikushangai kutoa mitusi hiyo
 
Haya mambo ya kukusanya watu always ni muhimu kua na kitu kitakacho wavutia. Kama ambavyo tuliona upande wa pili walivyokua wanajaza wasanii. Vinginevyo bila kufanya hivyo basi mapenzi ya wananchi yapo juu sana kwa wakati huo
 
yaani wewe ni mpumbavu kuliko wapumbavu wengine, VIJANA wa CCM mtakua na akili kidogo lini? Nachoka kuwaelekeza kila siku
Wahi hospital una tatizo la Afya ya akili ndugu mtabiri 😁😁
 
Chadema Sasa waja na mbinu ya Kufuturisha Ili kuvutia Watu kwenye Mikutano Yao 😁😁

View attachment 2585449View attachment 2585450Inaonesha Wananchi wamechoshwa na hadithi zisizo na matokeo..

Wakubwa wanalamba asali harafu wanakuja kuwapigia kelele Watu.
Ingekuww zama zile za giza, OCD wa Kilwa angeweza kujitokeza hafharani na kuwaambia kila mtu akafuturu kwake kwani hali ya usalama haijakaa vizuri maeneo hayo!!
 
Back
Top Bottom