(1) Kwanini vitendo vya ushoga vimeshamiri sana katika awamu hii?
(2) Kwanini vitendo vya rushwa, wizi, ufisadi, ubadhirifu, uporaji nk. vimeshamiri sana katika awamu hii?
(3) Kwanini uzembe na kutojali katika kazi za umma umeshamiri sana katika awamu hii?
Karibuni kwa majibu.