Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jamani wana jamii wenzangu samahanini kwa kutokuwepo mtandaone kwa muda kidogo. Hivi ina maana Muungwana haoni kelele zote hizi wanazopigiwa hawa mafisadi.Yule aliyekuwa mkurugenzi BOT na...
0 Reactions
156 Replies
31K Views
Je, Kikatiba, Makamu wa Rais ana uwezo wa kukataza au hata kuamrisha chochote? I mean, ana uwezo wowote wa hire and fire yoyote yule Tanzania? Nauliza kwa maana isije kuwa tunalishwa matango...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
MKATABA WA SHILINGI BILIONI 4.7 KUWAFIKISHIA WANANCHI MAJI SAFI NA SALAMA KATA YA MUGANGO NA TEGERUKA WASAINIWA WIZARA ya Maji imemtaka mkandarasi kampuni ya Kiure Engineering L.T.D. kukamilisha...
0 Reactions
2 Replies
648 Views
Kitu kimoja ambacho Shujaa Magufuli alikuwa nacho ni kuogopa mambo madogo na kuwa jasiri kwenye mambo makubwa na Mazito. Shujaa aliogopa Mikutano ya Huu upinzani Uchwara lakini lilipokuja jambo...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
I have never gotten the logic like this all my life. Ati mwizi mmoja akishikwa anaanza ama mnaanza kusema hata XYZ ni mwizi mbona hajashikwa. We have to start somewhere now! Hizi hela...
7 Reactions
16 Replies
1K Views
Mwanasiasa wa Tanzania na mbunge wa zamani wa Arusha Mjini anaeishi uhamisho nchini Kanada, Godbles Lema ambaye pia ni makamu wa Rais wa masoko barani Afrika wa kampuni Kanada, Solar ship inc...
9 Reactions
44 Replies
8K Views
KAMPUNI iliyopewa kazi ya kukusanya fedha za kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) – Push Mobile Media Limited – inahusishwa na watuhumiwa wa ufisadi nchini, MwanaHALISI limegundua. Kwa mujibu wa...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
KAMATI ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC), imebaini ufisadi mwingine wa mabilioni ya fedha kwenye marejesho ya zile zilizochotwa awali kifisadi katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA). Fedha hizo...
9 Reactions
96 Replies
12K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Dk Stephan Ngailo amesema serikali itatoa mbolea kwa miaka mitatu mfululizo kuanzia mwaka 2022/2023 hadi 2024/2025 ili...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Napita hapa mnadani wilayani Maswa nakuta wanafunzi wamekaa sita wa kike wamekaa vibandani. Nawauliza kulikoni hamuendi shule? Wananijibu "jana tulipigwa na leo tusipopeleka hela ya waalimu...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwanza kabisa niwatakie Jumatatu ya Pasaka yenye Baraka. Sasa naomba majibu ya swali langu. Masanja Kadogosa ni Katibu wa Bodi ya TRC na anaingia Hapo siyo kwa kuteuliwa bali kutokana na Cheo...
5 Reactions
69 Replies
7K Views
Serikali ya Awamu ya Sita imesimama imara katika kutafuta fehda za miradi mbalimbali ya maendeleo, hivyo juhudi hizo zinapswa kulindwa maendeleo yapatikane kwa haraka katika jamii. Uwepo wa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
BENKI ya Dunia imeimwagia sifa Tanzania kwa usimamizi mzuri wa uchumi na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayopata fedha kutoka kwenye taasisi hiyo ikilinganishwa na nchi nyingine...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu baada ya kusomwa kwa ripoti za CAG miaka ya nyuma huwa wabadhirifu na wale wote waliotajwa hujificha kwenye kivuli cha uwajibikaji wa kisiasa. "Yaani mhusika anatumbuliwa na mara...
6 Reactions
40 Replies
3K Views
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) ametoa angalizo kwamba kupanda mazao katika maeneo ya Hifadhi ni ukiukwaji wa sheria huku akisisitiza kuwa yeyote atakayebainika...
0 Reactions
0 Replies
549 Views
Kadri siku zinavyoenda ubaya, visasi, utengano na husda baina ya jamii yetu iliyojengewa umoja na upendo hali inaendelea kuwa tete. Si wale wapinzani hata wanaccm, wote wamepata kuonja machungu...
25 Reactions
174 Replies
18K Views
Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama amesema Tajiri Yusuf wa Almathaya ndio aliyemzika Yesu katika kaburi lake la kifahari Kimaro amesema Kanisa linawahitaji Matajiri kwa sababu ndio...
34 Reactions
272 Replies
16K Views
Huo mfumo tunaotumia sasa wa bunge zima na wabunge wote kujadili kila masuala hautupi tija na pia unaligharimu taifa bila umuhimu wote. Kama huu ndio mfumo wa mabunge ya jumuiya ya madola basi...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
(1) Kwanini vitendo vya ushoga vimeshamiri sana katika awamu hii? (2) Kwanini vitendo vya rushwa, wizi, ufisadi, ubadhirifu, uporaji nk. vimeshamiri sana katika awamu hii? (3) Kwanini uzembe na...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Mwandishi: Ripoti ya CAG imetoka na majibu ya Rais ni kwamba waliofanya madudu wampishe. Unadhani hiyo ni kauli ya kitendaji au ya kimamlaka? Lissu: Kwanza wizi na ufisadi ni ule ule wa miaka...
27 Reactions
103 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…