Tetesi: John Shibuda mgombea Urais Chadema 2025

Desprospero

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
887
2,201
Wadau zipo taarifa kuwa Uongozi wa Chadema unafanya mazungumzo na mwanasiasa machachari John Shibuda apeperushe bendera ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 nafasi ya Urais.

Hesabu zinazopigwa ni namna ya kupata kura nyingi kutoka Sukuma Land (Kanda ya Ziwa) kutokana na takwimu za Sensa 2022 kuonesha wenye sifa za kupiga kura kutoka Kanda hiyo kuwa 8.6milioni. Hizi kura ni nyingi na mtu pekee mwenye ushawishi Kanda hiyo ni John Shibuda.

Taarifa hizi zimevujishwa na Shibuda mwenyewe akiongea na viongozi wa chama chake Ada-Tadea jijini Dodoma kikao cha ndani akisema, "tujiandae kisaikolojia kujiunga na Chadema na mimi nigombee Urais 2025 kupambana na Rais Samia, maongezi yanaendelea".

Nawatakia kila lakheri.
 
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Kama ni taarifa za Ada Tadea kwanini sio mgombea wa huko🤔
 
Hongera Sana mkuu kwa kujiingizia b7 , ... Bila Chadema hzo b7 ungezipatia wp ???
Mtaji wa uvccm na wapumbavu wao ni kuiandika vyovyote Chadema, kisha uwapelekea vibwengo wenzao kuona kama imeandikwa wanavyotaka wao , basi inavutwa b7 jamaa anaenda zake
 
Hifadhi bandiko hili. Ushauri tu.
 
Shibuda Msukuma anaeongea lafudhi ya kipemba kuna wasukuma wa kumuelewa??

Shibuda anastahili tuzo ya kuongea Kiswahili fasaha ..kama sio msukuma
 
Wadau zipo taarifa kuwa Uongozi wa Chadema unafanya mazungumzo na mwanasiasa machachari John Shibuda apeperushe bendera ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 nafasi ya Urais.

Hesabu zinazopigwa ni namna ya kupata kura nyingi kutoka Sukuma Land (Kanda ya Ziwa) kutokana na takwimu za Sensa 2022 kuonesha wenye sifa za kupiga kura kutoka Kanda hiyo kuwa 8.6milioni. Hizi kura ni nyingi na mtu pekee mwenye ushawishi Kanda hiyo ni John Shibuda.

Taarifa hizi zimevujishwa na Shibuda mwenyewe akiongea na viongozi wa chama chake Ada-Tadea jijini Dodoma kikao cha ndani akisema, "tujiandae kisaikolojia kujiunga na Chadema na mimi nigombee Urais 2025 kupambana na Rais Samia, maongezi yanaendelea".

Nawatakia kila lakheri.

Huyu huyu John Magale Shibuda Mbunge wa zamani wa Maswa Magharibi au majina tu yamefanana?

Huyu huyu Shibuda ambaye 2025 Nov atakua na miaka 76 ndiyo CHADEMA imteue kugombea kiti kikubwa kwa nafasi ya kisiasa Tanzania?

Miaka 76?
Mkilewq viroba muwe mnaenda kulala,msitusumbue tafadhali
 
Huyo huyo.
 
Wadau zipo taarifa kuwa Uongozi wa Chadema unafanya mazungumzo na mwanasiasa machachari John Shibuda apeperushe bendera ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 nafasi ya Urais.

Hesabu zinazopigwa ni namna ya kupata kura nyingi kutoka Sukuma Land (Kanda ya Ziwa) kutokana na takwimu za Sensa 2022 kuonesha wenye sifa za kupiga kura kutoka Kanda hiyo kuwa 8.6milioni. Hizi kura ni nyingi na mtu pekee mwenye ushawishi Kanda hiyo ni John Shibuda.

Taarifa hizi zimevujishwa na Shibuda mwenyewe akiongea na viongozi wa chama chake Ada-Tadea jijini Dodoma kikao cha ndani akisema, "tujiandae kisaikolojia kujiunga na Chadema na mimi nigombee Urais 2025 kupambana na Rais Samia, maongezi yanaendelea".

Nawatakia kila lakheri.
Siamini kabisa,maana Hana credibility ya kuwa presidential material kuliko tundu lissu na wengine walioko chadema.hivyo chadema hawawezi kuhangaika na mtu kama shibuda kuwa mgombea urais wa chadema 2025.ni Bora agombee heche mara mia watapata Kura nyingi tu.
 
Wadau zipo taarifa kuwa Uongozi wa Chadema unafanya mazungumzo na mwanasiasa machachari John Shibuda apeperushe bendera ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 nafasi ya Urais.

Hesabu zinazopigwa ni namna ya kupata kura nyingi kutoka Sukuma Land (Kanda ya Ziwa) kutokana na takwimu za Sensa 2022 kuonesha wenye sifa za kupiga kura kutoka Kanda hiyo kuwa 8.6milioni. Hizi kura ni nyingi na mtu pekee mwenye ushawishi Kanda hiyo ni John Shibuda.

Taarifa hizi zimevujishwa na Shibuda mwenyewe akiongea na viongozi wa chama chake Ada-Tadea jijini Dodoma kikao cha ndani akisema, "tujiandae kisaikolojia kujiunga na Chadema na mimi nigombee Urais 2025 kupambana na Rais Samia, maongezi yanaendelea".

Nawatakia kila lakheri.
Tumia basi vizuri hiyo akili ya kwenye kisoda!
 
Duh...!, kama Chadema wamefika hapa!.
Shibuda huyu huyu ... Shibuda kuondolewa CHADEMA leo
Na huyu Swali: CHADEMA Ifanye Nini Kuwadhibiti kina Shibuda Wapya?
Shibuda ni rafiki yangu huwa tunaongea Elections 2010 - Sakata la mauaji ya Dereva wa CCM Maswa na hatima ya Shibuda
Na Shibuda apania kugombea dhidi ya JK CCM, ajitoa ghafla

Shibuda ni type ya wanaume ambaye anaweza kugombea na Mwanamke. Huyu anaweza!
P
 
Ndiyo ujifunze kuwa mkweli,mdadisi na mtulivu.Siyo ukijisikia kumshambulia mtu tu unamshambulia bila hata sababu.
Huo moto umeshawaka na ushahidi utauona kwenye stream media soon kama ilivyokuwa Kwa Padre Wilbroad Slaa 2010 dhidi Mushumbuzi. Time will tell
 
Ningekuwa kiongozi wa ccm ningekishauri chama changu kuacha / kusitisha malipo yako mara Moja. Badala ya kukisaidia chama nyie machawa mnazidi kukipaka mavi na kuonekana uvccm yote ya hovyo
 
Back
Top Bottom