Wabunge wa CCM wakirudi Majimboni wanakwenda kuwaeleza nini wapiga kura wao kuhusu DP WORLD kununua Bandari zote Bara?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,830
21,460
Nimejaribu kufikiria hili swali sijapata majibu.

Mfano wabunge wa Mkoa wa Dar es salaam wanakwenda kuwaambia nini wapiga kura wao kuhusu kuuzwa kwa Bandari zote?

2. Mbunge wa Jimbo la Hai huko Kilimanjaro wapiga kura wake wamemkataa tangu apitishe mkataba wa kuuza nchi.

3. Mbunge wa Arusha mjini wapiga kura wanakusubiri kwa hamu.

4. Mbunge wa Moshi mjini Nenda Jimboni kwako haraka kesho kuna mziki mkubwa wa Chadema.
5. Waziri Mkuu amrpiga kimya susla la kuuzwa kwa bandari.

6. Saa100 ujio wa kagame ulikuwa ni muuganiko wa DP world kununua bandari ya Dar kwa sababu DP world ilishanunua bandari kavu Kigali na bandari kavu haiwezi kufanya kazi bila bandari ya Dar, utawaambia nini wanaccm mama?

F0BAB7C9-1E0B-4D0C-A440-E22C78E8FEC5.jpeg
77BB9A47-BAC4-4ADA-8B78-95AE02A77C8D.jpeg
E6D771F0-92CE-4B77-A279-D757F40E71CD.jpeg
 
Nikumuangalia yule mpuuzi msukuma nashindwa kummaliza

#Munguatalipasoon
Anasema Rushwa adui wa haki, hivyo mtu kama yule hata akitaka kuongea nafsi I namwambia nyamanza wewe, huna haki ya kusema... Ndio pale unaona mtu mzima anajichanganya akiongea, maana nafsi imekataa domo tu ndio linangea na domo Halin a akili.. Akili iko ktk nafsi.. Lazima aongee makorokocho... Alooo😂😂
 
Back
Top Bottom