Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MPINA AMEAMUA KUWA MZABIBU MWITU AU AMEFIKA BEI KWA MAFISADI? Niko kwenye mfungo wa mwezi mkukufu wa Ramadhani, wakati alasiri inayoyoma kuelekea magharibi nimeketi kwenye uwa wangu nikisikiliza...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Katika demokrasia ya vyama vingi, vyama vya upinzani hutafuta madudu ya serikali na kuyatoa kwa jamii. Hapa Tanzaia vyama vyetu vya upinzani vinatumia taarifa za serikali kuikosoa serikali. Kwa...
6 Reactions
90 Replies
4K Views
Juzi hapa ilitangazwa kwamba Prof. Mwandosya ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa EWURA. Wengi walishangaa kwa nini Prof. Mwandosya kaletwa kutoka hali ambayo wengi wetu tulidhani ni ustaafu na kurudi...
20 Reactions
130 Replies
11K Views
Ameandika Zitto Kabwe, kiongozi wa ACT Wazalendo: CAG akishatoa ripoti yake AMEMALIZA. Ripoti yake ni ya mwisho. Ni FINAL. Kazi inayofuata ni ya Bunge. Umma ujue kwamba, kabla CAG hajatoa ripoti...
10 Reactions
28 Replies
2K Views
Naona kwenye mitandao ya Kijamii wanashambuliwa Sana hususani baada ya ripoti ya CAG kutoka!! Nijuavyo hii ripoti ni ya 2021/2022 na wizara nyingi zimeguswa ndani ya ripoti hiyo, Sasa najiuliza...
4 Reactions
105 Replies
8K Views
Tusishangae kwa nini hoja ya ushoga au upinde 🌈 imepamba moto duniani kwa miaka hii miwili toka Joe Biden achuguliwe kuwa Rais wa USA. Kwa makusudi mazima alichagua mashoga maarufu kushika nafasi...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Nimepita mikoa mingi ya nchi yetu na kukuta mabango mengi yanayomsifia Samia. Kwa maoni yangu mabango haya ni kiashiria cha CCM kuanza kumnadi mgombea wa ccm kabla ya nec kupuliza kipenga cha...
4 Reactions
9 Replies
849 Views
Serikali imesema imetenga shilingi Bilioni 10 kwa ukarabati wa viwanja kadhaa vya michezo ambavyo kwa sasa vinamilikiwa na CCM. Kiuhalisia viwanja hivyo vilijengwa na wananchi wakati wa chama...
5 Reactions
15 Replies
943 Views
Inadaiwa tangu vurugu za kuchoma moto kituo cha polisi Muganza zitokee paranja lilipita na kamata kamata ikafanyika. Viongozi wa Chadema inasadikiwa walishawishi wananchi kufanya vurugu...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe Jana alipata I-ftari na Wanachama wa ACT wazalendo na CUF ambao wamehamia Chadema huko Tandale kwa Tumbo Msikiti wa Mbuyuni Mbowe amesema amepata faraja...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Ndugu Dr Tulia Ackson Mwansasu,spika wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania na uongozi mzima wa bunge letu,kichwa cha habari kimejieleza vyema. Ripoti ya CAG imejaa madudu mengi sana...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Naomba niende mbali zaidi kuwa niwe Whistle Blower katika baadhi ya sehemu kulikopotea/kufujwa hela za umma. Rais wetu ana nia nzuri zana anapofanya teuzi mbalimbali ila wengi wanamwangusha...
4 Reactions
3 Replies
813 Views
Jumla ya Wanachama zaidi ya 200 wa CUF wamehamia CHADEMA kwa hiyari yao bila kulazimishana Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe ndiye aliyewapokea Wanachama hao wapya Mungu awabariki sana!
1 Reactions
16 Replies
2K Views
RAIS MAGUFULI VITUO VYA AFYA 44 MIAKA 3 | RAIS SAMIA VITUO VYA AFYA 220 MIEZI 3 Ukisoma "Kitabu Cha Hali ya Uchumi Tanzania " cha mwaka 2018 ukurasa wa 60,utaona wakati Rais Kikwete anaondoka...
28 Reactions
241 Replies
23K Views
Serikali imesema majina maarufu yanapotumika katika masuala ya utalii mfano kwa Wanyama kama ilivyokuwa Simba aliyejulikana kwa jina la Bob Jr na mwanaye Rihanna ni sehemu ya kujitangaza...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Wanasiasa wengi wamekuwa wakifanya mambo ya ajabu sana, kuhujumu uchumi, Kula Rushwa/Kutoa Rushwa, kula fedha za miradi ya serikali. Ahadi za Uongo na Mambo mengine mengi ya hovyo kwa kutumia...
2 Reactions
2 Replies
366 Views
Habari za kazi wana JF, Nadhani na nyie ni mashahidi jinsi tulivyopumzika/kupumua juu ya mapambio na kusifusifu na kuabudu kwenye kero ya hali ya juu kutoka kwa baadhi ya viongozi wasio na...
0 Reactions
5 Replies
808 Views
======== Wanakaa vikao wanafanya market allocation, wanapanga bei za simenti na ninataka nikwambie hata bunge hili kuna wakati tunakaa tunapitisha vitu hapa masikini ya Mungu bila kuelewa hapa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndivyo ilivyo huko Uyunani katika kila hatua ya Ukaguzi Watuhumiwa wanakamatwa na kushtakiwa na kufungwa kabisa wale wenye Hatia Kwa Wayunani kitendo cha CAG kusoma Ripoti ni kuujulisha Umma...
23 Reactions
30 Replies
3K Views
Wanabodi labda tusaidiane nchini kwetu tuna Waziri Mkuu je kazi zake hasa ni nini? Ukiacha kuwasimamia Mawaziri au kutusomea bageti ya ofisi yake vipi ana uwezo wa kufanya maamuzi bila kuingiliwa?
0 Reactions
58 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…