CHATO: Viongozi wa CHADEMA wasota rumande ya polisi kwa kukosa dhamana

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,126
4,169
Inadaiwa tangu vurugu za kuchoma moto kituo cha polisi Muganza zitokee paranja lilipita na kamata kamata ikafanyika. Viongozi wa Chadema inasadikiwa walishawishi wananchi kufanya vurugu.

Wanasota rumande wamenyimwa dhamana. Leo hii zaidi ya wiki na na siku kadhaa wameshonwa nyavuni

Mbowe yupo kimya.

Hizi siasa hazifai.
 
Why mbowe not lisu? Not myika, ?

Wakati mbowe yupo segerea hao unaowasema walikuwa wapi?
 
Inadaiwa tangu vurugu za kuchoma moto kituo cha polisi Muganza zitokee paranja lilipita na kamata kamata ikafanyika. Viongozi wa Chadema inasadikiwa walishawishi wananchi kufanya vurugu.

Wanasota rumande wamenyimwa dhamana. Leo hii zaidi ya wiki na na siku kadhaa wameshonwa nyavuni

Mbowe yupo kimya.

Hizi siasa hazifai.
Chama hakina watu!
 
Muuza Kangara,umechangia nini au lawama kwa wengine tu.
 
Chadema haijamtuma mtu kuchoma kituo cha polisi, na kama Kuna mwanachadema kafanya huo upuuzi basi acha Sheria ifuate mkondo wake...
Are you sure kuwa wananchi waliokamatwa ndio waliochoma kituo?

Tuhuma zibaki kuwa tuhuma Hadi pale zitakapothibitishwa mahakamani.
 
Halafu sio kila kosa la aina hiyo ni kuihusisha Chadema kama chama. Chadema kinao wafuasi wake nao wako kwenye jamii kama Watanzania wengine na wanatenda makosa kama hiyo jamii na wanashughulikiwa sio kama Chadema bali kama wananchi.
Mbona tunajua wanaccm ndio waliokwapua mabilioni kulingana na CAG report lakini hawatashtakiwa kama CCM bali individuals maana hao ccm wengine upele mpaka makalioni kwa umasikini na hawahusiki na wizi huo.
 
Back
Top Bottom