homeboy praygod
Member
- Feb 15, 2014
- 6
- 4
Wanasiasa wengi wamekuwa wakifanya mambo ya ajabu sana, kuhujumu uchumi, Kula Rushwa/Kutoa Rushwa, kula fedha za miradi ya serikali. Ahadi za Uongo na Mambo mengine mengi ya hovyo kwa kutumia Kivuli cha "tupo serikalini hakuna mtu wakutugusa".
Wanasiasa bado wanaona watu tupo kizani Ukweli ni kwamba zama zimebadilika Vitu vyote viovu mnavyofanya Wananchi wanaona.
Dunia imebadilika Teknolojia imebadilisha mawazo na fikra za watu wengi sana, Ufisadi unaofanyika watu wanauona, Uonevu wote Unaofanywa unaonekana ni Swala la Muda tu atapatikana wa kumfunga Paka kengele.