Zitto Kabwe: Majibu ya Ripoti ya CAG yatatolewa na Bunge 2024 hivyo tunataka iundwe Kamati maalumu kuchunguza Mabehewa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,957
141,946
Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema kwa mujibu wa kanuni, Ripoti ya CAG iliyowasilishwa bungeni itaanza kushughulikia na PAC mwezi August na majibu yatapelekwa Bungeni mwakani 2024.

Hivyo kutokana na Ripoti ya CAG kuchukua muda mrefu, tunamuomba Spika Tulia aunde Tume maalumu ya Bunge kuchunguza Ubadhirifu wa TRC ikiwemo Ujenzi wa SGR na Ununuzi wa Mabehewa.

Kumekucha!
 
Mbona kuiba hawasubiri mwaka?

Wanajua kuna matukio kibao yatatokea na watayafunika haya

Hawa jamaa wamejua sisi ni misukule haswa
 
Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema kwa mujibu wa kanuni Ripoti ya CAG iliyowasilishwa bungeni itaanza kushughulikia na PAC mwezi August na majibu yatapelekwa bungeni mwakani 2024

Hivyo kutokana na Ripoti ya CAG kuchukua muda mrefu tunamuomba Spika Tulia aunde Tume maalumu ya Bunge kuchunguza Ubadhirifu wa TRC ikiwemo Ujenzi wa SGR na Ununuzi wa Mabehewa

Kumekucha!
Ongezea mfumo mzima wa mawasiliano ya reli (GSM-R), wamefunga very old equipments.
 
Back
Top Bottom