Kwenye mkutano wake ule wa juzi na Viongozi wa Wanafunzi vyuo vikuu
Rais Samia, alilikazia sana hili Suala, Tena akawa kama anafanya manipulation hivi Et "Tena akipatikana nikiwa bado Rais...
Na Daniel Limbe Chato
SERIKALI wilayani Chato mkoani Geita imekanusha vikali uvumi uliosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa standi kuu ya mabasi ya Chato "Kahumo bus terminal" imetelekezwa na...
Ukiziangalia takwimu za tume ya takwimu zinatotokana na sensa ya 2022 karibu watanzania 55M ama ni watoto, wako shule, wanatafuta kazi au wamepoteza uwezo wa kufanya kazi wakitegemea nguvu kazi...
PATO LA TRILLION 200 , ONGEZEKO LA TRILLION 15 KWA MIAKA MIWILI: A JOKE ? NO, LET'S SEE.
Duniani IMF imejitengeneza kuwa benchmark ya twakwimu na kipimo cha ukuaji wa uchumi Duniani tangu ianze...
Meya na diwani wa zamani wa Kinondoni na Ubungo akiwa na ripoti za CAG mbele yake mezani studio ya Wasafi MEDIA na kuulizwa maswali na jopo la watangazaji na pia wasikilizaji anafafanua sababu za...
Anaandika Ezekiel Kamwaga:
Tuwe makini
Kuna fasheni imeanza ya watu kujionyesha wana msimamo mkali dhidi ya ushoga. Taratibu, jambo ambalo liko mbali sana kwenye matatizo yetu linaanza kukuzwa...
Mwanzo mimi ni moja ya watu ambao sikuamini kwamba Rais wetu mpendwa atatuvusha katika utawala wake.
Lakini baada ya kuzitazama tawala zote 6 toka tupate uhuru pengine Rais Samia kwa mtazamo...
Nilikuwa miongoni mwa wafatiliaji wa nukuu za Mh Waziri wa habari na mawasiliano kijana mwenzetu, ndugu Nape Moses.
Lengo langu halikuwa baya siku Ile ya uzinduzi wa mkongo wa Taifa ingawa...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 6 leo Aprili 13, 2023 jijini Dodoma.
SERIKALI YAAGIZA NHIF ITOE KIBALI MATUMIZI YA CT SCAN HOSPITALI YA IRINGA
Agizo hilo...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 11 leo Aprili 20, 2023.
Utafiti uliofanywa na Serikali kuhusu takwimu za idadi ya Watoto wa Mtaani Mwaka 2017/18 ulibaini kuna...
Anaposema Walimu waajiriwe wakujitolea hayupo sahihi Kwa mitazamo yangu. Hajui walimu wanaojitolea mashuleni ni zaidi ya laki moja nchi nzima na ajira zenyewe mnawapa kiduchu tena za masimango...
ACT WAZALENDO’S STATEMENT ON THE SITUATION IN SUDAN.
ACT Wazalendo follows with great concern the on-going armed conflict in Sudan between Sudan Armed Force (SAF) and Paramilitary Rapid Support...
Habari jf ,binafsi nimefanikiwa kuishi na wazanzibar wengi sana ,kitu kikubwa nlichokiona kwanza hawana tamaa ya Mali na ni wa aminifu sana.
Hivyo basi binafsi Nina Imani kubwa sana na Rais Samia...
Wakuu wa nchi huwekwa madarakani na Mungu wa mbinguni na ndio sababu Huapa kwa kutumia Vitabu Vitakatifu.
Ukitegemea waganga kama Pakipande au Mandondo Ikulu utaendelea kuisikia tu hadi uzeeni na...
Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anahojiwa na ofisi ya Mkurugenzi wa upelelezi wa Makosa ya jinai ( DCI) Jijini Dar Es Salaam muda huu.
Maxence anahojiwa muda mchache baada ya...
Nakerwa sana na tabia za wabunge wa ccm wakati wa kuchangia mijadala bungeni. Hii fashion ya kutumia karibu robo ya muda wa kuchangia kumsifia rais naona ni waste of time. Kumbe kikao Cha budget...
Magufuli alikuwa anaiimarisha CHADEMA kwa yake yote aliyokuwa akiyafanya pasipo kujua. Wananchi waliingiwa na imani na kuamini CHADEMA ilikuwa ina pambana kwa ajili yao.
Mama Samia ametumia mbinu...
Ndugu zangu watanzania,
sauti za mamilioni ya Watanzania ni kiu Yao ya kuhitaji utumishi wa Rais Samia mpaka 2030, watanzania wengi wameguswa na uchapakazi wa Rais Samia, wametekwa mioyo Yao na...
Ifahamike kwamba serikali ya Tanzania ina mpango wa kuijenga upya barabara inayotoka njia panda ya Boda mpaka Itungi Port, tayari TANROAD wameanza upimaji na kazi inakaribia kuanza.
Kama kawaida...