Sisi hatukubaliani na hatua alizochukua Rais dhidi ya wezi wa Fedha za Umma. Hatukubaliani pia na kibaraka wake Zitto Kabwe na ACT

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Sisi umoja wa wezi wasitaafu wa kuku za Wananchi wenzetu, wezi wa unga na mchere dukani Kwa mangi, umoja wafungwa wa kusingiZiwa na watumishi wa jeshi la polisi ambao nao wamekuwa vinara wa kutukamata sisi na kutuswendeka sero ingawa nasi sasa hivi tunawakomoa Kila kukicha tunajinyonga tukiwa sero kwa kutumia aidha chupi au singirendi na mengineyo siwez taja zana zetu mtashutukia endeleeni kutuswendeka huko rupango paspo makosa Ili hali walio wapiga Bilioni 4.8 walio zipiga nimekutana nao south Africa wanakuka Bata Batale.

Mwingine ninae HAPA bongo kaisha fukuzwa kazi ila yupo kitaa anakula Bata.

Mh Rais sisi wezi wa kuku huku mtaani hatuja rizika na hatua uliyoichukua mfano kutengua bodi ya reli Tanzania huku katibu wake yule bwana kadogosa kubakia pale huu nao sisi tunaita ni ugwadu tuuu!

Mh Rais sisi tunauliza Kwa mfano kwenye chama chetu Cha wezi wa kuku mtaani katibu wa chama chetu Huwa ndo mtendaji wetu mkuu wa matukio ya wizi tunayo yafanya Sasa tuna hoji makatibu wakuu mbalimbali chini ya wizara na mashirika yaliyochini ya wizara hizo Huwa hawausiki kwenye wizi?iweje Leo hii wawachukulie hatua wezi wenzako?

Mh Rais sisi katibu mkuu wetu hawezi na hata iweje hawezi kutuchukulia hatua sisi kamwe maana kwanza SIE ni wenzake na tunakula nae siku zote.

Mh Rais walio iba ni watumishi walio chini Yako, Kwa Nini unapiga Mpira Kwa wengine wakati mamlaka unayo?mbona Mzee mwendezake alikuwa anawapelekea moto nani alijaribu hata kufikisha mashitaka popote?tunaitaji sisi wewe uchukue hatua huwezi basi waache wale bata Batale!

Mh Rais sisi tumemsikia bwana mmoja anae julikana Kwa jina la Ta mwami Zitto Kabwe anaomba Bunge la chama Cha mapinduzi tyuuuu peke Yao eti waunde kamati ya kuchunguza sijui Nini Nini?very rubish yaani Bunge la chama Cha mapinduzi liunde kamati ya kuchunguza sjui kamati gani na gani tangu lini ccm sisi tukaazibiana?

Huyu anataka ziundwe kamati ingawa yupo nje ya Bunge Kuna jinsi atanufaika sisi umoja wa wezi wa kuku tunasema hakuna haja ya kamati jaman majizi yanajulikana yametajwa yakamatwe yafungwe huku jera tunayasubiri jaman

Mh Rais vyura vya kihansi vinapatikana Tanzania tu,ila technolojia ya kuwatunza wanao wale watu wasio kuwa navyo waliipata wapi?

Wataalamu wetu tangu 2019 walisema mazingira yaliyopo wanaweza savaivu by 90% Kwa Nini Toka hapo havijarudishwa?

Naomba nikutonye uo ni uchochoro wa watu kulia.

Mh Rais sisi umoja wa wizi WA kuku, mbuzi na Bata na vitu vingine ambao ndo tumejaa magereza tunaomba utuletee wanao Nuka manukato tulio Jaa huku tunanuka uvundo

Salamu zikufikie Mh Rais!
 
Nimependa sana ulivyotengeneza ujumbe wako, hasa hapo kwa Katibu wa wezi iweje asihusike na wizi wa kuku unaotokea mtaani?

Majibu ya hilo swali wajuaji watakwambia Rais amefuata sheria na taratibu, taratibu gani hizo za kijinga kumtenga mwizi mmoja na wenzie kisha yeye ndie ageuke hakimu wao?

Haya mambo mengine yanataka upeo, kujidai wajuaji tu wakutazama sheria inasema nini, bila kuchanganya na matukio halisi yaliyotokea field pamoja na wahusika wa matukio hayo, kisha ujiongeze, ni ujinga mtupu.
 
Umoja wa wezi wa kuku na utumbo na vichwa vya kuku mkitegemea kuonana Segerea na wezi wastaarabu mtasubiri mpake mfe.

Juzi nilimpeleka jamaa yangu kutafuta nyumba ya kupanga Kigamboni nilikuta wezi wastaarabu wamejenga mahekalu ya kutisha na upangaji ni kupitia kwa dalali wenyewe huwaoni ng'o.
 
Ngojea tupo mbioni kuandamana atukubaliana yaani wezi wanajenga kigamboni sisi tumejaawa lupango
 
Umoja wa wezi wa kuku na utumbo na vichwa vya kuku mkitegemea kuonana Segerea na wezi wastaarabu mtasubiri mpake mfe.

Juzi nilimpeleka jamaa yangu kutafuta nyumba ya kupanga Kigamboni nilikuta wezi wastaarabu wamejenga mahekalu ya kutisha na upangaji ni kupitia kwa dalali wenyewe huwaoni ng'o.
Vipi Kinondoni mmechambua report?
 
Nani anaushahidi kuwa hao ni 'wezi'? Nani anaushahidi kuwa Kadogosa ndiye anayesaini mikataba ya ujenzi wa SGR? Watanzania acheni mihemko, rais hakurupuki.
 
Umeandika ujinga kwa lengo la kuwafurahisha wajinga wenzio, kwa bahati nzuri wajinga wenyewe wamekupuuza na kukuacha ujiulize na kujijibu mwenyewe.

Vijana wengi mmeliharibu hili jukwaa kwa sababu ya kutaka ni nyinyi muonekane mko upande wa wale wazee wa kupinga pinga.

Sema bahati nzuri viongozi wa pinga pinga wanalamba asali, so haya yote yanayoongelewa humu hayatokuwa na madhara yoyote kwa serikali.

Hata ile speech ya katibu mkuu fulan ilikuwa ni ya kuwahadaa chawa wao baada ya kusikia kelele nyingi kutoka kwa chawa wao kuhusu ukimya wao. Ila kiuhalisia hakuna hatua yoyote itakayochukuliwa na chama wala viongozi wa chama. Trust me
 
Sisi umoja wa wezi wasitaafu wa kuku za WANANCHI wenzetu, wezi wa unga na mchere dukani Kwa mangi, umoja wafungwa wa kusingiZiwa na watumishi wa jeshi la polisi ambao nao wamekuwa vinara wa kutukamata sisi na kutuswendeka sero ingawa nasi Sasa HIVI tunawakomoa Kila kukicha tunajinyonga tukiwa sero Kwa kutumia aidha chupi au singirendi na mengineyo siwez taja zana zetu mtashutukia endeleeni kutuswendeka huko rupango paspo makosa Ili hali walio wapiga Bilioni 4.8 walio zipiga nimekutana nao south Africa wanakuka Bata Batale.

Mwingine ninae HAPA bongo kaisha fukuzwa kazi ila yupo kitaa anakula Bata.

Mh Rais sisi wezi wa kuku huku mtaani hatuja rizika na hatua uliyoichukua mfano kutengua bodi ya reli Tanzania huku katibu wake yule bwana kadogosa kubakia pale huu nao sisi tunaita ni ugwadu tuuu!

Mh Rais sisi tunauliza Kwa mfano kwenye chama chetu Cha wezi wa kuku mtaani katibu wa chama chetu Huwa ndo mtendaji wetu mkuu wa matukio ya wizi tunayo yafanya Sasa tuna hoji makatibu wakuu mbalimbali chini ya wizara na mashirika yaliyochini ya wizara hizo Huwa hawausiki kwenye wizi?iweje Leo hii wawachukulie hatua wezi wenzako?

Mh Rais sisi katibu mkuu wetu hawezi na hata iweje hawezi kutuchukulia hatua sisi kamwe maana kwanza SIE ni wenzake na tunakula nae siku zote.

Mh Rais walio iba ni watumishi walio chini Yako, Kwa Nini unapiga Mpira Kwa wengine wakati mamlaka unayo?mbona Mzee mwendezake alikuwa anawapelekea moto nani alijaribu hata kufikisha mashitaka popote?tunaitaji sisi wewe uchukue hatua huwezi basi waache wale bata Batale!

Mh Rais sisi tumemsikia bwana mmoja anae julikana Kwa jina la Ta mwami Zitto Kabwe anaomba Bunge la chama Cha mapinduzi tyuuuu peke Yao eti waunde kamati ya kuchunguza sijui Nini Nini?very rubish yaani Bunge la chama Cha mapinduzi liunde kamati ya kuchunguza sjui kamati gani na gani tangu lini ccm sisi tukaazibiana?

Huyu anataka ziundwe kamati ingawa yupo nje ya Bunge Kuna jinsi atanufaika sisi umoja wa wezi wa kuku tunasema hakuna haja ya kamati jaman majizi yanajulikana yametajwa yakamatwe yafungwe huku jera tunayasubiri jaman

Mh Rais vyura vya kihansi vinapatikana Tanzania tu,ila technolojia ya kuwatunza wanao wale watu wasio kuwa navyo waliipata wapi?

Wataalamu wetu tangu 2019 walisema mazingira yaliyopo wanaweza savaivu by 90% Kwa Nini Toka hapo havijarudishwa?

Naomba nikutonye uo ni uchochoro wa watu kulia.

Mh Rais sisi umoja wa wizi WA kuku, mbuzi na Bata na vitu vingine ambao ndo tumejaa magereza tunaomba utuletee wanao Nuka manukato tulio Jaa huku tunanuka uvundo

Salamu zikufikie Mh Rais!
Sukuma gaaaang at work
 
Umeandika ujinga kwa lengo la kuwafurahisha wajinga wenzio, kwa bahati nzuri wajinga wenyewe wamekupuuza na kukuacha ujiulize na kujijibu mwenyewe.

Vijana wengi mmeliharibu hili jukwaa kwa sababu ya kutaka ni nyinyi muonekane mko upande wa wale wazee wa kupinga pinga.

Sema bahati nzuri viongozi wa pinga pinga wanalamba asali, so haya yote yanayoongelewa humu hayatokuwa na madhara yoyote kwa serikali.

Hata ile speech ya katibu mkuu fulan ilikuwa ni ya kuwahadaa chawa wao baada ya kusikia kelele nyingi kutoka kwa chawa wao kuhusu ukimya wao. Ila kiuhalisia hakuna hatua yoyote itakayochukuliwa na chama wala viongozi wa chama. Trust me
Wewe unaona umeandika point hivi zile mambo ushaaachaga?aise nakutumia heshima kama mmeo wa ndoa
 
Naona unajaribu kuifufua tena thread ili isomwe, lkn nakuhakikishia hakuna mtu mwenye akili include chawa wenzako atakaesoma uharo wako.

Vijana wa upande ule mnapenda sana kusifiwa na kupewa vi Like kwenye comment na ndio maana inakuwa rahisi viongozi wenu kuwatia vibunzi kwenye vinyeo vyenu kwa sababu ya kupenda kusifiwa.
 
Back
Top Bottom