Sabaya atawafaa CHADEMA Ubunge Jimbo la Arumeru Magharibi

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
10,221
22,295
Natumaini mko wazima.

Leo nimeona nitoe ushauri wa kitaalamu kwa chama kikuu cha upinzani CHADEMA. Kwenye siasa kinachoonyesha ukubwa wa chama ni namba kwa maana ya idadi ya wanachama, wabunge, madiwani na viongozi wengine waliopatikana kupitia chaguzi mbalimbali.

CHADEMA iko vizuri kwa idadi ya wanachama ila kwa bahati mbaya ina viongozi wachache waliopatikana kupitia uchaguzi na wale wa kuteuliwa. Hadi sasa CHADEMA ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa na wabunge 19 wa viti maalum.

Binafsi nimeona CHADEMA wakikaa vizuri na Lengai Ole Sabaya atawafaa kwa kushinda jimbo la uchaguzi Arumeru Magharibi. Tukiachana na uovu wake lazima tukubaliane kwamba huyu kijana anaziweza sana siasa za majukwaani na pia fitna zote za kisiasa anazifahamu. Kimsingi ana kipaji.

Sababu nyingine inayofanya Sabaya afae kwa nafasi hiyo ni historia ya yeye kuwa diwani wa kata ya Sambasha iliyopo Arumeru Magharibi. Kupitia huo udiwani tayari hapo ana msingi wa kura nyingi.

Kwa sababu CHADEMA nayo ilishawahi shinda ubunge Arumeru Magharibi kupitia Ole Medeye basi nao wana msingi wa kura ambazo wakijumlisha na za Sabaya wanaweza shinda. Pia kura za wale loyalists wa hayati JPM walioko Arumeru zitaenda kwa Sabaya.

Kwahiyo ni jukumu la Mbowe kama mmiliki wa chama kumpigia magoti Sabaya na kumsihi ajiunge na chama chake ili awasaidie 2025. Hakuna urafiki wala uadui wa kudumu kwenye siasa. Hata kugombea jimbo la Hai bado Sabaya anafaa lakini kwa Arumeru Magharibi atafaa zaidi kwasababu pia ndo nyumbani kwao.
 
msihi ajiunge na chama chake ili awasaidie 2025. Hakuna urafiki wala uadui wa kudumu kwenye siasa. Hata kugombea jimbo la Hai bado Sabaya anafaa lakini kwa Arumeru Magharibi atafaa zaidi kwasababu pia ndo nyumbani kwao.

Nini vyema agombee kupitia CCM maana huko uovu ni sifa, au hicho chama kilichoasisiwa na sukuma gang cha umoja party.

Hata hivyo Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Hata Hai wanamhitaji pia
 
Natumaini mko wazima.

Leo nimeona nitoe ushauri wa kitaalamu kwa chama kikuu cha upinzani CHADEMA. Kwenye siasa kinachoonyesha ukubwa wa chama ni namba kwa maana ya idadi ya wanachama, wabunge, madiwani na viongozi wengine waliopatikana kupitia chaguzi mbalimbali.

CHADEMA iko vizuri kwa idadi ya wanachama ila kwa bahati mbaya ina viongozi wachache waliopatikana kupitia uchaguzi na wale wa kuteuliwa. Hadi sasa CHADEMA ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa na wabunge 19 wa viti maalum.

Binafsi nimeona CHADEMA wakikaa vizuri na Lengai Ole Sabaya atawafaa kwa kushinda jimbo la uchaguzi Arumeru Magharibi. Tukiachana na uovu wake lazima tukubaliane kwamba huyu kijana anaziweza sana siasa za majukwaani na pia fitna zote za kisiasa anazifahamu. Kimsingi ana kipaji.

Sababu nyingine inayofanya Sabaya afae kwa nafasi hiyo ni historia ya yeye kuwa diwani wa kata ya Sambasha iliyopo Arumeru Magharibi. Kupitia huo udiwani tayari hapo ana msingi wa kura nyingi.

Kwa sababu CHADEMA nayo ilishawahi shinda ubunge Arumeru Magharibi kupitia Ole Medeye basi nao wana msingi wa kura ambazo wakijumlisha na za Sabaya wanaweza shinda. Pia kura za wale loyalists wa hayati JPM walioko Arumeru zitaenda kwa Sabaya.

Kwahiyo ni jukumu la Mbowe kama mmiliki wa chama kumpigia magoti Sabaya na kumsihi ajiunge na chama chake ili awasaidie 2025. Hakuna urafiki wala uadui wa kudumu kwenye siasa. Hata kugombea jimbo la Hai bado Sabaya anafaa lakini kwa Arumeru Magharibi atafaa zaidi kwasababu pia ndo nyumbani kwao.
Wajinga na Wapumbavu mnazidi kuongezeka Tumia Akili muda mwingine
 
Acha ujinga wewe.
Kwani aliko hakumfai.
 
Kahukumiwa kifungo hivyo atasubiri miaka mitatu ili aweze kugombea .
Hata hivyo wajua ujambazi wake mwingi aliufanya Hai na Arusha hususan Arumeru na pia huko wanakumbuka baba yake alipokuwa mkurugenzi Arumeru alivyo nyanyasa watu wakati wa Kodi ya maendeleo.
 
Baba yake hajawahi kuwa mkurugenzi Arumeru
 
Kahukumiwa kifungo hivyo atasubiri miaka mitatu ili aweze kugombea .
Hata hivyo wajua ujambazi wake mwingi aliufanya Hai na Arusha hususan Arumeru na pia huko wanakumbuka baba yake alipokuwa mkurugenzi Arumeru alivyo nyanyasa watu wakati wa Kodi ya maendeleo.
Kwenye hukumu yake karuhusiwa kujihusisha na siasa.
 
Back
Top Bottom