Huu ndio ushauri wangu kwasababu dini zote zinatambua na kuhuburi msamaha kwa wakosaji.
Kwa msingi huo, kiongozi mwenye imani ya kidini, atakuwa sahihi zaidu kutoa msamaha kwa wafungwa katika...
Kipima Joto leo wageni ni Mwandishi nguli mh Atiki na mh Miraji
Hawa wote ni Wazanzibar sasa mjadala umekuwa wa upande mmoja inabidi mtangazaji Juliet Robert ndio awe mtetezi wa Tanganyika...
Ndugu zangu watanzania,
Kwa hakika Rais Samia Anastahili pongezi kutoka kwa kila mtanzania mzalendo, Rais wetu Ni mpambanaji na aliyepambana kishujaa na kijasiri Sana kwa ajili ya Taifa letu...
Kinachofanya kiongozi afanikiwe ni kujitenga na washauri wasiofaa. Kwa upande wa Rais, Baraza la Mawaziri ndio chombo muhimu cha kumshauri Rais.
Inapotokea kiongozi kufanya mishe za kunywa chai...
Mwanzoni nlijua ni TPDC peke yake kumbe shida na EWURA ni Shida.
Wanakwamisha vibali vya kufunga vituo vya kujazia Gesi asilia kwenye magari.
Kwa sasa Tanzania nzima vituo vilikuwa viwili tu vya...
Ukitoa mapendekezo juu ya masilahi kwa walimu wanaopinga Ni Walimu wenyewe hivi kwanini lakini, mfano... mapendekezo ya kuwepo kwa;
1. Teaching allowance.
2. Mafunzo kazini Mara mbili kwa mwaka...
Wakati wa Mkapa Kanali Nsa Kaisi na mzee Kingunge walikuwa Washauri upande wa Uchumi na Siasa
Awamu ya Shujaa Magufuli sijawahi kusikia kama ana Washauri ama wa Uchumi au hata Siasa
Naomba...
Kimsingi Law School of Tanzania inapaswa kushughulika na kuwawezesha wanafunzi kupata ujuzi kwa vitendo ndiyo maana inaitwa LEGAL PRACTICAL TRAINING! Inalenga kuwapatia wanafunzi weledi katika...
Kijana huyu kabadilika sana, baada ya kupata Madaraka, amelewa na Madaraka. Yaani kijana huyu kila mtu anamuongea kuwa hasalimii watu na hata wanapomsalimia haitikii.
Kijana badilika, acha...
Eid Mubarak.
Mara kadhaa nimewahi kusikia kuhusu uhusiano wa CCM n BAKWATA. Hili suala lina ukweli gani? Na kama lina ukweli nani anafaidika na uhusiano huo?
Lakini pia inakuwaje mara kadhaa...
Ndugu zangu watanzania.
Ulimi Ni kiungo kidogo Sana katika mwili wa binadamu lakini chenye madhara makubwa Sana kikitumiwa vibaya,Katika uongozi na kwa kiongozi hasa kwa nafasi ya Urais ulimi Ni...
Mbunge wa Ngara ameiomba serikali kuanzisha mtaala mpya wa Utajiri mashuleni ili kuwezesha Wahitimu kuwa na ari ya uwekezaji wanapomaliza masomo yao , amesema jambo hilo ni muhimu likafanyika ili...
Balozi Dk slaa amerudi kibabe tena kibabe akiwa na kiapo cha ubalozi moyoni mwake ameona aje kuwatetea wananchi wa Tanzania licha ya kiapo.
Dk slaa ana kiapo cha utii ila ameamua kusema ukweli...
Hatari sana habari imesomwa kutoka UHAI Tv. Inasikitisha hawa ndugu zetu 80 kutolewa kafara baada ya mfungo. Wamekufa wakikanyagana kugombea misaada ya Eid.
Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan, anawatakia Kheri ya sikukuu ya Eid al Fitr Waislamu wote, na kuwakumbusha kuendeleza misingi waliyoiishi katika siku 30 za mwezi mtukufu wa Ramadhani, kwa kutenda...
Kimeendelea kunuka Kenya. Hakuna anayekioanisha na ukabila isipokuwa kutokea Tanzania.
Leo Raila alikuwa kapigwa kalamu kufanya vitu vyake Murang'a Ukikuyuni huko.
Unamsimamisha vipi Tutu...
Kwanza nitoe pole kwa polisi Tanzania kwa kifo cha shemeji yao NURYA MKONDA (18) aliyefariki na mwanao Joas Oscar (2) kwa ajali ya moto wilayani kiteto mkoani manyara,Mungu wahifadhi waliko...
Kama mpaka leo hamjajifunza, basi wadanganyika mna laana.
Mamba haya hayana tofauti na yale ya kuchota hela kwenye mifuko ya sandarusi na kelele zilipozidi, mkaambiwa na Mamlaka ya juu kuwa zile...
Mishahara ya watumishi ni midogo saaana kuliko huduma/jasho wanayoitoa kipindi chote Cha ujana yao. Mishahara ya watumishi haiwatoshi kuishi, kuSomesha, na kujenga nyumba. Kima Cha chini cha...
Ukiangalia Bungeni Live kwa sasa!
Utakachokiona ni mashindano ya wabunge wa CCM kusifia na kupongezana!
Utakachokiona ni picha ya Unafiki uliopitiliza kwa asilimia kubwa ndani ya jengo la bunge...