Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama Rais hana muda wa kupokea waandamanaji wote basi waratibu wa sherehe hizi za Mei Mosi walipaswa kupunguza makundi ya waandamanaji. Watu wamepoteza muda wao kujiandaa, wakatafuta na t-shirts...
15 Reactions
38 Replies
3K Views
Lusubilo Mwakabibi aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, alitimuliwa kwenye kazi hiyo na kushitakiwa Mahakamani kwa Uhujumu uchumi, ambako aliachiwa kwa dhamana huku kesi yake ikipangiwa...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara huko Sengerema , Mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema , Ezekia Wenje amesema kwamba kila Wilaya nchini Tanzania ina DSO mwenye mafunzo yote na ina OCD mwenye...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Za ndani kabisa zinadai risala ya shirikisho la umoja wa vyama vya wafanyakazi imejaa "asante" na "pongezi" nyingi kwa mama. Yaani risala haina tofauti na ile inayosmwa na UVCCM. Vyama vya...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Kama umemsikiliza vizuri Utouh alipokuwa anaongea juzi, ni kwamba ingawa katika Halmashauri umetokea ubadhirifu mkubwa na labda wizi, lakini kwa ujumla, Serikali Kuu imeweza kupunguza ubadhirifu...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Ikiwa yamebakia masaa machache kabla ya kuhitimishwa kwa muda uliotolewa na Mahakama, wa Cyprian Musiba kumlipa Ndugu Bernard Membe kitita cha hela Taslim zaidi ya Bil 9 za kitanzania , na huku...
38 Reactions
132 Replies
13K Views
Kamati za Kudumu za Bunge ndio jicho la wananchi kwenye kuisimamia Serikali na tumeona kila leo zinafanya ziara na kukagua miradi ya maendeleo na kutoa pongezi kwamba kwa kazi nzuri zinazofanywa...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Bila shaka sasa maisha kwa watz yapo vizuri sana! Hamna kero kabisa, Maana si kawaida kwa huyu jamaa kuwa kimya namna hii!
5 Reactions
48 Replies
3K Views
Hivi ni kweli mpaka leo umekosekana ufumbuzi wa suala la umeme, nchi nzima na kiza kimetanda, au mama hajui au anaongopewa? Mpaka imejidhihirisha uwanjani mechi za kimataifa haoni? Hizi kelele...
2 Reactions
3 Replies
625 Views
Hili la umeme kwangu mimi Uzima Tele ndilo pekee hunifanya nimkumbuke kwa uzuri hayati Rais John P. Magufuli kuwa alifanya vyema chini ya u - Rais wake. Honestly, katika kipindi cha uongozi wake...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Mhe. Rais kilichofanywa na wizara ya Habari hakina hata chembe ya Haki. Ukisoma barua ya wizara inasimamisha wafanyakazi kazi kisha barua hiyo hiyo inaeleza kwamba wanaharakisha mchakato WA tenda...
4 Reactions
4 Replies
681 Views
MHE. HAMIS TABASAM AWAKARIBISHA WANAMWANZA KWENYE SHEREHE ZA MEI MOSI ZITAKAZOFANYIKA SENGEREMA Mbunge wa Jimbo la Sengerema Mkoa wa Mwanza, Mhe. Hamis Tabasam amewakaribisha wananchi wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
MBUNGE MHE. ABOOD ANAWAKARIBISHA WATANZANIA WOTE KATIKA SHEREHE ZA MEI MOSI MOROGORO Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini MHE. DKT. ABDULAZIZ M. ABOOD anawakaribisha Watanzania wote kutoka kila Eneo...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa wale Waislamu inatakiwa Muunge Mkono pendekezo la Siku ya Ijumaa kujumuishwa kama public holiday yaani Weekend hakuna kufanya kazi. Kwa nini Jumapili na Jumamosi ni Weekend na sio Ijumaa...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Sasa imebainika wazi waliomuua aliyekuwa waziri wa Fedha Dr.Mgimwa. Watuhumiwa hao walitumia ustadi na umakimi wa hali ya juu kuhakikisha kuwa huyu waziri anaondoka katika nafasi ya Waziri wa...
43 Reactions
198 Replies
46K Views
Habari wana uchumi wa JF! Kama somo linavyosema hapo juu.. Kwa mara ya kwanza tangu Kenya ijinyakulie Uhuru 1963 , serikali imeshindwa kuwalipa mishahara wafanyakazi wa umma na wabunge. Kufikia...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Waziri wa fedha Dr Mwigullu Nchemba PhD amesema Serikal ya Awamu ya 6 inajenga Uchumi utakaowezesha vizazi vijavyo kufaidi Matunda ya uhuru wa nchi Yetu Dr Mwigullu amesema Hazina ya Nchi iko...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Sijajua huku Tanganyika mnafeli wapi kajifunzeni Zanzibar. Mwalimu Nyerere alikuwa anaangalia TVZ muda wote wa Uongozi wake. Ahsanteni!
0 Reactions
10 Replies
720 Views
MBUNGE SAMIZI ATIMIZA AHADI YA KUCHANGIA SARUJI UJENZI WA ZAHANATI NA SHULE ILI KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA. Dkt. Florence George Samizi ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Jana...
0 Reactions
0 Replies
675 Views
Meya mstaafu wa Ubungo mh Jacob Boniface amesema kwenye Uchaguzi wa Chadema kura yake kwa nafasi ya Mwenyekiti Taifa atampa mwenyekiti wa sasa mh Freeman Mbowe Bonny amesema yeye atagombea Ubunge...
1 Reactions
80 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…