RC Kagera: Tumeomba kujengewa uwanja mpya wa ndege Omukajunguti

Hivi kwa nini Wachaga hawasilimu na kuwa Waislamu kwa maana duh, ndo maana hata ugali hakuna sasa hivi KLM njaa imetamalaki sehemu ambayo imebarikiwa na maji ya barafu ktk juu ya Mlima lkn wana baa la njaa kama Somalia na hii yote sababu ya kumuacha Kristo, mnapotea sana na nafikiri too late tena!
 
Hivi kwa nini Wachaga hawasilimu na kuwa Waislamu kwa maana duh, ndo maana hata ugali hakuna sasa hivi KLM njaa imetamalaki sehemu ambayo imebarikiwa na maji ya barafu ktk juu ya Mlima na hii yote sababu ya kumuacha Kristo, mnapotea sana na nafikiri too late tena!
Naona umechanganya cha Njombe na cha pale kwa Ndugayi
 
Hili siyo wazo au ombi jipya kabisa.

Kabla ya Magufuli hajaingia madarakani 2015 tayari kulikuwa na mpango huo wa kujenga uwanja wa ndege pale OMUKAJUNGUTI.

Lkn baada ya kuingia Magufuli hatukujua nini kilitokea hadi wazo la omukajunguti likayeyuka na tuastukizwa na Chato Airport.
Magufuli alichukia sana makabila haya maarufu mawili; Wahaya na Wachagga. Muache aendelee kuungua na moto
 
Hivi kwa nini Wachaga hawasilimu na kuwa Waislamu kwa maana duh, ndo maana hata ugali hakuna sasa hivi KLM njaa imetamalaki sehemu ambayo imebarikiwa na maji ya barafu ktk juu ya Mlima lkn wana baa la njaa kama Somalia na hii yote sababu ya kumuacha Kristo, mnapotea sana na nafikiri too late tena!
Amount of sarcasm in this comment is beyond comprehension
 
Hivi kwa nini Wachaga hawasilimu na kuwa Waislamu kwa maana duh, ndo maana hata ugali hakuna sasa hivi KLM njaa imetamalaki sehemu ambayo imebarikiwa na maji ya barafu ktk juu ya Mlima lkn wana baa la njaa kama Somalia na hii yote sababu ya kumuacha Kristo, mnapotea sana na nafikiri too late tena!
Tumia bangi ukiwa umekula
 
umelogwa wewe kijana, umekuwaje rafiki mwanangu
 
Poleni sana...
Ni lazima tukiri kwamba sasa mkoa wa Kagera tumempata Mkuu wa Mkoa mchapa kazi na mwenye maono sahihi kwa mkoa uliodumaa kitambo kwa maendeleo. Tatizo ninaloliona ni udhaifu wa viongozi wa chini yake. Mtu kama DC wa Bukoba mjini ambaye CV yake haina mashiko zaidi ya uana harakati akiwa upinzani. Wabunge nao tunawasikia zaidi kwenye vyombo vya habari lkn miaka zaidi ya miwili sasa hatujaona mradi wa maana zaidi ya kupokea tsh. Bilion 1 zilizoletwa na Makamu wa Rais kwa mradi wa Stendi ya mabasi. Really??
Watu wengi wasioupenda mkoa wa Kagera na watu wake mara nyingi husahau kwamba mkoa huu umezungukwa na nchi tatu za uganda, rwanda na Burundi na ziwa kubwa katika Afrika. Kwa hiyo ni very strategically located region kiulinzi, kiuchumi na kijamii.
Tunamtakia kila la heri Mh. Chalamira na mwelekeo mzuri wa serikali ya awamu ya 5. Tumeona sasa maandalizi ya ujenzi wa chuo kikuu eneo kangabusharo yameanza ingawaje hivi karibu tumeona vioja ambapo magreda yalikuja na kachimba barabara mita chache tu na siku chache baadaye wakatoweka bila maelezo. Hatujui walikuja na magreda kufanya nini hawa kama siyo viini macho na ukosefu maandalizi makini??
 
Back
Top Bottom