Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kurudisha wabunge kama hawa bungeni basi sio swala tena la kushangaza bali litakuwa la kipuuzi kabisa. Watu wazima tena waheshimiwa wanaona mbunge jasiri Luhanga Mpina anawatetea wakulima na...
15 Reactions
48 Replies
4K Views
Lisemwalo lipo ni msemo wa wahenga. Niliwahi kuandika hapa jamvini kuwa jimbo la Mbeya linarudi kwa CHADEMA. Watu walinibeza hasa wale UVCCM. Nilijua kuwa wana Mbeya hatumtaki kabisa Tulia na...
25 Reactions
90 Replies
5K Views
HOTUBA YA WAZIRI KIVULI WA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI-ACT WAZALENDO NDG. MTUTURA ABDALLAH MTUTURA KUHUSU MPANGO WA BAJETI WA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/24. Utangulizi...
0 Reactions
0 Replies
775 Views
MHE. MARY MASANJA - MUUNDO WA JESHI LA UHIFADHI UNAFANYA KAZI VIZURI Serikali imesema Taasisi za Uhifadhi nchini zimeendelea kutekeleza majukumu yake ipasavyo kufuatia muundo wa sasa wa Jeshi la...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Yawezekana Rais wa awamu ya sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, uongozi wake ukawa ndio uongozi ambao umetoa mwanya kwa kila kiongozi wa ngazi yoyote ile kuonyesha uwezo...
0 Reactions
2 Replies
952 Views
Na Bwanku M Bwanku. Leo Alhamisi Mei 04, 2023 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ni mgeni rasmi na atafungua mkutano wa Mawaziri wa Michezo wa Baraza la Michezo...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza kwa njia ya "video" na wajumbe wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Michezo katika Kanda ya IV ya Afrika (AU Sports Council of Ministers Meeting – Region IV)...
0 Reactions
2 Replies
811 Views
Hatua ya Rais Samia Suluhu kutoweka wazi kiwango cha nyongeza za mishahara ya wafanyakazi katika siku kuu ya Mei Mosi imewaibua wachambuzi wa Siasa na uchumi, ambao wanaona kwamba hatua hiyo...
1 Reactions
0 Replies
464 Views
Abdul Nondo amesema hakuna mtu mwenye Hati miliki ya Jimbo hivyo 2025 atakwaana na boss wake Zitto Kabwe Kwenye kura za Maoni ACT Wazalendo kugombea Ubunge Kigoma mjini Sasa ndugu zangu wa...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
MHE. HAMAD CHANDE (NAIBU WAZIRI FEDHA) - BAJETI ZITAZINGATIA JINSIA Serikali imeeleza kuwa Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya mwaka 2023/24 umetoa maelekezo kwa Maafisa Masuuli...
0 Reactions
0 Replies
449 Views
MILIONI 16 ZACHANGIA UJENZI WA ZAHANATI 13 JIMBO LA BAHI, DODOMA Mbunge wa Jimbo la Bahi Mhe. Kenneth Nollo tarehe 03 Mei, 2023 alifika Kijiji cha Mapinduzi Kata ya Kigwe kwa lengo la kutembelea...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu imeendelea na juhudi mbalimbali za kuhamasisha na kuvutia uwekezaji nchini. Akiwasilisha Bajeti ya Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara...
0 Reactions
0 Replies
407 Views
Serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan inazidi kuboresha huduma za afya kwa wananchi na kuanzia sasa akina mama wajawazito wanaofika kwenye kliniki za uzazi na zile za...
2 Reactions
2 Replies
628 Views
Mimi ni miongoni mwa walioamini kwamba Kambaya ameingia Chadema kwa Malengo maalum, na nilitarajia kwamba baada ya muda fulani atarudi alikotoka, sema sikudhani kwamba ataondoka haraka namna hii...
19 Reactions
48 Replies
3K Views
Watanzania tulio wengi kwa Imani kubwa tulimchagua Shujaa Magufuli 2015 kuwa Rais wetu Uchapa kazi wake ukasababisha CCM ishinde Majimbo ya Uchaguzi kwa 99% na ndio Wabunge aliotuachia Shujaa...
1 Reactions
6 Replies
523 Views
Km mtakavyokumbuka tarehe moja mwezi huu wa 5 ilikuwa sikukuu ya wafanyakazi duniani yaani mei mosi. Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ndiye aliyekuwa mgeni rasmi. Wakati wa hutba zake...
0 Reactions
3 Replies
614 Views
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 18 leo Mei 4, 2023. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson amewataka wabunge Kulipa TBA kodi ya nyumba...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Katika Nchi zilizoendelea wizara ya kazi ni wizara muhimu Sana. Kwasababu inatakiwa kusimamia haki za wafanyakazi katika sekta zote. Ili hao wanaofanya kazi waweze kulipa kodi Kwa kila kazi ambayo...
0 Reactions
0 Replies
779 Views
Watawala hawajui hiki kitu. Wanawakumbatia sana Chawa pasipo kugundua siku wakifa wale Chawa huangalia binadamu mwingine mwenye hali ya kuwakaribisha anahamia huko. Kama huamini Rais wa sasa...
0 Reactions
3 Replies
564 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…