Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

1. Umeme umekuwa bidhaa adimu kwenye maeneo mengi huku kila siku kukiwa na matamko ya megawati. 2. Upatikanaji wa maji safi na salama imekuwa ni anasa maeneo mengi na hasa katika jiji la Dar es...
75 Reactions
204 Replies
12K Views
Akizungumza kwenye ibada ya kuaga mwili wa Anethi Kaaya aliyekufa kwenye ajali ya Precision Air Katibu wa CCM mh Palanjo amempongeza Majaliwa Jackson kwa Ushujaa aliouonesha. Palanjo amesema yeye...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Hakuna ubishi kuwa, mambo katika nchi yetu hayako shwari. Uamusho na ukombozi huwa hauji katikati ya furaha ya kula na kunywa. Mambo yalifikia ukomo wa uharibifu mwaka 2015 mara baada ya John P...
13 Reactions
63 Replies
4K Views
Nionavyo mgao wa umeme nchini unaendelea kwa sasa ni mkakati wa kuleta majenerata ya kina Agrekko, na Symbion walionyang'anywa tenda hizo na hayati Magufuli, japo watakuja kwa majina mengine kwa...
0 Reactions
4 Replies
591 Views
Iwapo ripoti za Mkaguzi mkuu wa fedha za serikali CAG ziatakaposoma upigaji 0.001, na pesa haitoshi ktk kuendesha nchi, hapo ndipo twaweza kwenda kukopa Waziri wa fedha unasini mikopo ya bilioni...
3 Reactions
3 Replies
663 Views
Nimeliongea hili kwenye uzi wangu VYAMA VYA UPINZANI AZIENI HAPA... kuhusu ndoa ya CCM na Serikali ambapo hii akaunti inayojinasibisha kuwa ni ya serikali ikitumika kama eneo la kampeni ya...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Ripoti ya Ubora wa Maisha ya Dijiti ya 2022, iliyotolewa na kampuni ya Surfshark ya Uholanzi, imeonesha raia wa DRC wana hali mbaya zaidi kidijitali, kati ya nchi 117 zilizofanyiwa utafiti, huku...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
WATANZANIA mpaka sasa tuna shindwa kukubaliana na ukweli kuwa tatizo kuu la taifa letu sio Chama Cha Mapinduzi [ CCM ] bali tatizo letu kuu linalo pelekea umasikini na matatizo mbalimbali kwetu ni...
32 Reactions
120 Replies
6K Views
Tanzania ni nchi yenye vyama vingi vya kisiasa, tokea tuache mfumo wa chama kimoja mwaka 1992 na 1995 rasmi katika uchaguzi hadi leo 2022, vyama vingi vya kisiasa vimesajiliwa. Lengo la vyama...
0 Reactions
4 Replies
657 Views
HALMASHAURI ya Wilaya ya Meatu kama ilivyo maeneo mengine ya Serikali za Mitaa inasimamiwa na kuongozwa kwa kuzingatia Sheria mbalimbali za nchi ikiwemo Sheria ya Serikali za Mitaa ya mwaka...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Inashangaza kipindi ambacho taifa linapambana kuhakikisha tunawapatia Watanzania ukombozi wa kweli ndiyo mara ghafla wale jamaa wa kusifu na kuabudu au kwa jina maarufu wakiitwa Thug au S.Gang...
1 Reactions
3 Replies
584 Views
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wilaya ya Hai, Riziki G Lesuya ametolea ufafanuzi shutuma hizo zinazomhusu Mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafuwe Pia soma: Mbunge wa Jimbo la...
0 Reactions
1 Replies
865 Views
Profesa Muhongo amedai Bungeni kwamba, mpaka kufikia mwishoni mwa mwaka GDP PER CAPITAL itakuwa US$ 990 na kwa hesabu hiyo tumeaga rasmi kwenye Uchumi wa Kati, Tumerudi chini tunaenda kwenye kundi...
42 Reactions
239 Replies
14K Views
Baraza la Mawaziri la serikali ya Tanzania limepokea taarifa ya awali ya ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea Novemba 6, 2022, Bukoba mkoani Kagera na kugharimu maisha ya watu 19. Kauli...
2 Reactions
42 Replies
3K Views
Mchague Paul N. Kawawa Mgombea Nafasi ya Mwenyekiti UVCCM - Mkoa wa Tabora
1 Reactions
4 Replies
965 Views
Msisitizo wa Rais Samia Suluhu ni 10% za mapato ya Halmashauri zitolewe kama mkopo kwa Vijana, wananawake na walemavu. Pesa hizo zinasaidia makundi hayo kujiajiri na kuendesha maisha yao ya kila...
0 Reactions
1 Replies
535 Views
Watawala na Watawaliwa:-"Inawezekana tatizo la panya kwa paka lingekwisha kama paka angefungiwa kengele shingoni: taabu ni kumpata panya wa kuifanya kazi hiyo. Na panya watakuwa wajinga sana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni kweli kumekua na tatizo la upungufu wa maji uliosababishwa na ukame. Swala hilo linapelekea maji ya kwenye mabwawa yanayotumika kufua umeme kupungua. Lakini pamoja na hayo yote tunaweza...
2 Reactions
15 Replies
978 Views
Kuliitishwa kikao cha dharula cha Baraza la mawaziri, kuongelea kitu kimoja pekee, ajali ya ndege ya Precision Air, iliyotokea zaidi ya wiki moja iliyopita! Hata hivyo kilichonishangaza zaidi ni...
7 Reactions
23 Replies
3K Views
Mwaka 1982 mwalimu aliambiwa na wana CCM kwenye Mkutano wa Halamashauri Kuu ya CCM kuwa mzee hali ni mbaya. Walimwambia tumefikia mahali rushwa imeshamiri kiasi kwamba Daktari anapokuwa thieta...
0 Reactions
1 Replies
569 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…