Kuna haja ya kuwa na viongozi rundo sehemu moja!

Jun 29, 2013
8
3
Hivi kama siasa ingekua ni Kwa ajili ya watu hivi Kuna haja ya kuwa na viongozi rundo sehemu Moja mfano. Wilayani Kuna mkurugenzi, mkuu wa wilaya, katibu tawala, Mwenyekiti wa halmashauri, wakuu wa Kila idara ..........na wengine wengi na wote wanalipwa mshahara na asilimia kubwa wanateuliwa
 
Back
Top Bottom