Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kumekuwa na fukuto kubwa baina ya wanachama wa chama Cha Mapinduzi CCM wakimjia juu aliyekuwa katibu mkuu wa chama hicho Dkt. Bashiru Ally. Wanachama hao wanamlaumu Bashiru kwa uchochezi na...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Vikao vya ngazi ya Taifa vya Chama Cha Mapinduzi (CCM) vimeanza jijini Dodoma huku miongoni mwa kazi zitakazofanyika ni kupokea mapendekezo, kujadili, kupitisha na kufanya uteuzi wa mwisho wa...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Moja, wakulima ni kundi kubwa sana. Yeyote anayeeleweka kwa wakulima anakuwa amejiweka kwenye nafasi nzuri sana kisiasa. Mbili, kazi ya kusemea kero za wananchi si ya wakati wa kampeni tu. Ni...
10 Reactions
39 Replies
2K Views
Ama kweli mkuki uusafishao kila siku ndiwo wenye kuweza kukujeruhi hapo siku za mbele. Kenani Kihongosi ni jina lililopendekezwa na Polepole kwa Bashiru ili lipelekwe Ikulu kwa Mamlaka za juu ili...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Watu 20, akiwamo Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha, Ndirango Senge Laizer wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha wakikabiliwa na shtaka la mauaji ya kukusudia ya...
7 Reactions
30 Replies
3K Views
Jamani Kama kuna Mtu anajua CV ya Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Na Kupambana na Dawa za Kulevya Bwana Rogers William Sianga anijuze.: Nimesikiliza Hotuba yake Leo kidogo nikaona nimugoogle...
2 Reactions
246 Replies
64K Views
Kwenye siasa kila maamuzi yanazaa matokeo na matokeo yanaweza kuwa chanya au hasi. Hapa chini nitaweka baadhi ya matukio ya kimaamuzi yaliyofanyika kimakosa na Rais Samia mwanzoni mwa utawala wake...
16 Reactions
71 Replies
4K Views
Huo ndio mtazamo wangu ukiniuliza juu ya utawala wa HayatiMagufuli. Kaburi kilikuwa kikubwa aliogopewa na kila kiumbe Cha Tanzania alizungumzwa sirini watu waliogopa hata kuta za nyumba zao...
81 Reactions
179 Replies
15K Views
Mkuu wa mkoa wa Tabora ndiye aliyeyasema maneno hayo. Mkuu Wa Mkoa Wa Tabora Aggrey Mwanri Amesema Wao Kama Watu Wa Tabora Watamuomba Mungu Kwamba Yeye Mungu Ndio Amshukuru Rais Wetu Na Kumwambia...
12 Reactions
299 Replies
38K Views
Safu ya uongozi wa nchi imekaa mbele, kuna waziri mkuu, makamu wa raisi naibu Spika. Wote hawa hawajavaa barakoa na wala hawako umbali unaofikia mita mbili kutoka kwa kila moja. Hata hivyo raisi...
47 Reactions
158 Replies
19K Views
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, Kwa mara ya kwanza Jamhuri ya watu wa China imepitisha uamuzi wa kuondoa kodi (Zero-Tarrif) kwa asilimia 98 ya bidhaa zinazotoka Tanzania kuanzia Mosi Disemba 2022...
9 Reactions
57 Replies
3K Views
Ni wazi kuwa nchi sasahivi inajiongoza tu automatic, kila mtumishi wa serikali analamba asali kama walivyolekezwa na kiongozi wa Chama Chao tawala, wakurugenzi wanapiga, wakuu wa wilaya na mikoa...
4 Reactions
12 Replies
790 Views
Manji alirudisha fedha kwa niabaya "Kagoda" akidai kuwa aliyehusika ni marehemu baba yake. Serikali ikapokea fedha hizo na kuzijumlisha kwenye ile jumla ya Rais. Soma pia Kagoda Agriculture Ltd...
1 Reactions
81 Replies
11K Views
Wananodi, Baada ya Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Dr. Bashiru Ali Kakurwa kutoa kauli hii, CCM, kwachafuka, wengi wamemjia juu kama moto wa kifuu, kwa kumshukia kama mwewe, huku wengine...
38 Reactions
79 Replies
6K Views
Mkoa wa Morogoro ulifanya uchaguzi wake wa kumpata Mwenyekiti wa Mkoa ambapo rafu mbaya akichezewa mgombea Nasoro Duduma aliyekuwa mmoja wa wagombea. Baada ya uchaguzi huo uliyompa ushindi James...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Pamoja na malalamiko yako kuwa historia ya Tanu / CCM imekosewa mbona hawa jamaa hawa concede kama kweli? Hiyo ya kwako mbona inakuwa kama haikubaliki...
2 Reactions
43 Replies
3K Views
Waziri wa Kilimo muda huu akiwa anahutubia katika mkutano wa hadhara mkoani Manyara amesema kuwa Wakulima matatizo yao hayaondolewi kwa kuleta vitisho bali kwa uwezo wa kushirikiana nchi yetu...
0 Reactions
3 Replies
730 Views
Wanafilosofia wanawajua vyema watu hawa. Yuda alikuwa ni mwanafunzi aliyependwa na yesu, msomi kiasi cha kuaminiwa kushika fedha za huduma ya Yesu. Yuda alimsaliti Yesu na baada ya Yesu kufa yuda...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Friends and Our Enemies, Kuna msemo wa wanazuoni unaosema kwamba chochote kinamchomfaa mamba Kwa kuliwa either kiwe kimetumbukia mtoni au kimekaa kihasara hasara kwenye kingo za mto mamba...
12 Reactions
60 Replies
3K Views
Kwa mfano ikitokea nikawa na Msaidizi wangu ndani ya Ikulu ambaye nilimwamini mno ila baadae akaanza Kunikosoa, Kuchukizwa na Utendaji wangu na tabia zangu za Ukatii wa Kurithi huku nikagundua...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…