Dkt. Mwigulu Nchemba yuko wapi anguko la Dola?

Stuka

JF-Expert Member
Jul 19, 2022
214
686
Daktari wa Uchumi, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba alijitapa bungeni kuwa Dola zipo za kutosha na hakuna tatizo la Dola na kwamba yeye ni Mbobevu wa Uchumi watanzania wasiwe na mashaka naye wanaweza kujadili mambo ya uganga wa kienyeji tu.

Leo Dola zimepotea Waziri yuko Kimya.
 
Daktari wa Uchumi,, Dk. Mwigulu Lameck Nchemba alijitapa bungeni kuwa Dola zipo za kutosha na hakuna tatizo la Dola na kwamba yeye ni Mbobevu wa Uchumi watanzania wasiwe na mashaka naye wanaweza kujadili mambo ya uganga wa kienyeji tu.

Leo Dola zimepotea Waziri yuko Kimya.
🚶
 
Inaonekana tuna bidhaa nyingi ya kuuza Nje kwa hiyo tuna devalue shilingi wanunuane wa Nje wavutike!

Swali, ni bidhaa gani hiyo inayouzwa Nje?
 
😁😁😁kweli ukiwa mwana siasa lazima ujitoe ufahamu maana si kwa kunangwa huku...
 
....anawaza na kusubiri aje sign noti mpya za Tanzania ...bado sana sagari ndefu hakuna kitu paleee......bure kbsss
 
Ushawishi wa Kikwete kwa huyu mama ndio ulifanya huyu apewe hiyo wizara lkn ki uhalisia hana kabisa sifa ya kuisimamia hiyo wizara.

Ni vizuri vilevile kuelewa kwamba zaidi ya nusu za PhDs katika nchi hii ni za ulaghai mtupu kwani ktk nchi hii watu wanaona sifa kusemwa kwamba ana PhD kwamba ndio msomi wakati ukikaa naye kwa muda kidogo tu ukaona reasoning yake ndipo utagundua kwamba nyingi za PhDs ni feki tu.
 
Daktari wa Uchumi,, Dk. Mwigulu Lameck Nchemba alijitapa bungeni kuwa Dola zipo za kutosha na hakuna tatizo la Dola na kwamba yeye ni Mbobevu wa Uchumi watanzania wasiwe na mashaka naye wanaweza kujadili mambo ya uganga wa kienyeji tu.

Leo Dola zimepotea Waziri yuko Kimya.
Atakuwa anabuni chanzo kipya cha tozo.
 
Alisema tusiotaka tozo tuhamie Burundi.

Haya kiko wapi, mchumi first class
 
Back
Top Bottom