Mgongano wa maslahi Spika unaangamiza Watanzania kukosa mafuta

Stuka

JF-Expert Member
Jul 19, 2022
214
686
Mgongano wa maslahi wa wazi wazi Spika wa Bunge amemnyamazisha Mbunge Tabasamu asiongelee kuchezewa kwa tenda katika mchakato wa ununuzi wa mafuta wanaondesha mchakato unaolalamikiwa na Tabasamu ni Ewura na bosi wa hiyo taasisi ni mume wa Spika.

Hii ina maana Makamba alimshauri Rais amteue mume wa Spika kenye nafasi hiyo kama sehemu ya kuu win mhimili wa Bunge ili lisiweze kusimama na wananchi.

Mwenye ile CLIP ya Tabasamu akizuiliwa na Spika asiongelee suala la mafuta aitupie hapa
 
Watu walishaugundua uwezo wa mama kitambo sana,ingawa wananchi tulichelewa kumgundua, yaani ataacha historia mbaya sana baada ya kutoka madarakani
 
Sema maza naye hajui hata nchi inaendaje yupo kama sisi yeye atakacholetewa na Makamba ni safi, angalia sijui Maharage TANESCO umeme imekuwa kama hisani
 
Tabia za rango zimejionesha tanzania
IMG_0137.jpg
 
Uzuri wenyewe ni kwamba hata kijani nao wanaipata fresh tuuu mbona.Au mlifikiri ni chadema tuu wanaopata taabu.

Majaribio mwaka aa sitini na zaidi hakuna kusofea mbele ni mwendo wa kurudi nyuma tuuu,bado kufanya maamuzi ,hii siyo haki hata kidogo.
 
Back
Top Bottom