Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watu milioni kumi wanapaswa kukabidhiwa viongozi wanaweza kuwa na maono makubwa kuweza kuwasaidia wafikie malengo. Chalamila siyo mtu sahihi katika jiji la DSM, maendeleo kwa ulimwengu wa sasa...
14 Reactions
103 Replies
9K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah El Sisi uliowasilishwa kwake na Mjumbe Maalum ambae pia ni...
1 Reactions
1 Replies
673 Views
Habari za muda huu WanaJukwaa. Najarbu kutafakari hii hamisha hamisha ya Wakuu wa Mikoa.. Inaonyesha udhaifu wa Katiba yetu 1. Hii hamisha hamisha ya hawa Wakuu wa Mikoa ina implications ktk...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Yule Mwamba anayekubaliwa na wengi kwa kupigania Haki za Watu woote bila kujali misingi yao ya kiitikadi ametoa ushauri wake kuhusu sakata la Kariakoo na Wafanya biashara. Huyo Champion wa siasa...
6 Reactions
29 Replies
4K Views
Inafahamika vyema, Dar es salaam ni miongoni mwa miji yenye hekaheka sana hapa Afrika. Kila wakati, watu tunajihisi tupo nyuma ya muda au tunadaiwa kitu, hivyo kutupelejea kila wakati tuwe...
0 Reactions
2 Replies
756 Views
Tujikumbushe "Matumizi ya Helikopta kwetu ni usafiri wa Kawaida." Mwenyekiti
4 Reactions
43 Replies
2K Views
Wafanyabiashara wa Kariakoo wameonesha weledi mkubwa katika kuelezea kero zao mbele ya waziri mkuu Kassim Majaliwa. Wengi wa wafanyabiashara hawajasoma sana kama waalimu, wahadhiri, madaktari, nk...
1 Reactions
2 Replies
540 Views
Ukusanyaji kodi una Siri kubwa kwa sababu wanaotunga sheria za kodi ni Wanasiasa hao hao wanaojidai kuwatetea leo Nilipenda sana ile kauli ya Shujaa Magufuli ya kupitisha gunia Moja Moja kwa...
1 Reactions
2 Replies
421 Views
BANDARI YA DAR ES SALAAM NA SOKO LA KARIAKOO NI FURSA YA DHAHABU KWA WATANZANIA. Leo 12:15pm 17/03/2019. Imekuwa ni shida sana kwa watanzania wengi kung'amua fursa inayopatikana kupitia uwepo...
8 Reactions
33 Replies
9K Views
Mfanyabiashara huyo amesema, "TRA wanatufuata mpaka nyumbani jamani, tunaomba namba wakija ili tuwatumie picha, wanatutishia wanazuia Biashara zetu, kwanini watufuate nyumbani? Waziri Mkuu siwezi...
3 Reactions
7 Replies
953 Views
Wakati biashara ya kariakoo ikiendelea kusua sua kila kukicha kwa siku 2 sisi wana cdm tunazidi kupasua anga. Kesho ni zamu ya kuongea na wana Kigoma na kuwaeleza jinsi ccm ilivyoshindwa...
10 Reactions
107 Replies
4K Views
Akiwasilisha kero kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, mmoja wa Wafanyabiashara amesema, "Kuna Askari anaitwa Mpemba hapo Kamata amenipelekesha sana, pia kuna mwingine mweusi yuko hapohapo...
2 Reactions
0 Replies
507 Views
Mkutano wa aina hii kiukweli mara ya mwisho niliushuhudia Wakati wa Hayati Sokoine. Waziri mkuu anatoa nafasi kwa Watu zaidi ya 50 kuuliza maswali na kutoa maoni. Nashauri Wabunge wote Kuanzia...
0 Reactions
1 Replies
642 Views
Rais tumemchagua sisi wenyewe kwa mujibu wa katiba. Anaongoza serikali na nchi kwa jumla kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi kwa ujumla wake. Kutokumtii Rais ni kuwadharau wananchi na...
2 Reactions
5 Replies
772 Views
Wafanyabiashara wa kariakoo (wananchi) wanavyofunguka kueleza kero zao kwa waziri mkuu ni kuwachana watendaji wa wizara ya fedha kinaridhisha. Mambo mengine tulizoea kusikia kwa wapinzani ndani...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Bado hali ya uchumi wa nchi yetu ktk sehemu kubwa ya taifa letu Wananchi hujishughulisha na kilimo na bado inasemekana uchumi wetu hutegemea kilimo. Kwa kutofundishwa somo la kilimo ni tafsiri...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba PhD amesema zamani mtu akimaliza form 4 au 6 alikuwa anaajiriwa moja kwa moja na ukiwa Chuo ukimaliza tu unakutana na Barua 3 au 4 za ajira inayokusubiri. Lakini...
1 Reactions
43 Replies
3K Views
Wataalamu wa uchumi wameshauri eneo la Kariakoo, Dares Salaam liwe mkoa maalumu wa kibiashara na pia mamlaka za serikali zinazohusika na biashara ziwe na mifumo inayosomana ili kuepuka migomo ya...
1 Reactions
8 Replies
850 Views
Kitabu cha Biblia, kinatanabaisha kuwa msingi mkubwa wa kutenda dhambi ni tamaa. Biblia inawataja binadamu wa kwanza Adam na Hawa kuwa kilichowafanya kutenda dhambi ya uasi kwenye bustani ya Eden...
0 Reactions
0 Replies
431 Views
Mwenyekiti wa Chadema leo ameipokea Chopa ya kisasa ambayo itatumika kwenye operesheni 255 , ambayo ni ya kufundisha wananchi wa Tanzania juu ya Umuhimu wa Katiba Mpya , ambayo pamoja na mazuri...
6 Reactions
36 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…